Elimu juu ya ku assemble gari kama madau alivyoeleza hapo chini, nahitaji kwa ufafanuzi zaidi kwa anayejua hiyo mbinu👇

chogo_mwamba

New Member
Feb 7, 2022
3
3
Naomba msaada wa elimu kwa anae jua hii mbinu anipe ufafanuzi zaidi kama alivyoeza hapo chini mdau.👇
Screenshot_20221226-223408.jpg
 
Mkuu hivi kuweka plate namba ya gari nyingine iliyopata ajali, hv ukikamatwa na police siyo kosa kisheria kweli? ata mimi kuna jirani yangu gari yake ilikuwa namba B, gara siku hizi inasoma namba D, sijui akikamatwa itakuwaje?
 
Utaozea jela. Kwasababu chasis number itakua tofauti kwenye gari na kwenye kadi.

Kuna kipindi ulikua unafanyika huo uhuni kwenye magari common mfano IST. Inakua hivi:

Gari inaibiwa yote, hafu inabadirishwa mfano rangi na muonekano, kisha inatafutwa kadi ya gari kama ilo iliopata ajali na kutelekezwa (haijaenda kufutwa usajili TRA). Ila kumbuka ukitokea ukaguzi serious wakifananisha chasis number kwenye kadi na gari zinakua tofauti.

Wengine (nasikia) walikua wanaagiza gari kama IT, mfano wanasema inaenda Malawi, afu (nasikia) ikifika mpakani/check point wanatoa hela kwamba imetoka imeenda Malawi ila ipo kumbe. Kisha wanaivalisha namba za gari iliopata ajali na kadi yake.

Izo ni story za vijiweni, sipo tayari kusaidia polisi.
 
Back
Top Bottom