elimu

  1. Z

    Duniani asilimia kubwa ya wanavyuo wana part-time jobs inayowafanya kuepuka kuwa tegemezi

    "Uko duniani asilimia kubwa ya wanavyuo wana part-time jobs inayowafanya kuepuka kuwa tegemezi pindi wanapograduate. Na hii inatokana na mifumo mizuri ya uendeshaji inayozingatia upatikanaji wa mda kwa mwanachuo kujitafuta nje ya ratiba ya masomo yake. "Huku kwetu, nmekutana na kijana mmoja...
  2. J

    Mtaalam atoa elimu ya kuotesha miche ya michungwa

    ..Mtaalamu anaeleza hatua kwa hatua namna bora ya kuotesha miche ya Michungwa. ..Nadhani maarifa haya ni nadra kuyapata kwingine.
  3. Mayweather78

    Elimu ya bure kwa waajiri

    Salaam, Napenda kuchukua fursa hii kuwapa elimu kwenu wamiliki wa makampuni (wasimamizi wake) na wasiomiliki kampuni kwa maana biashara Local au wasimamizi wa ajira zisizo rasmi hasa linapokuja Suala la UAJIRI. Kitendo cha kumuajiri mfanyakazi kinakwenda sambamba na mambo yafuatayo: 1...
  4. Mganguzi

    Kauli ya Waziri wa Elimu ya kwamba walimu wafanye mtihani kabla ya ajira ni ya udhalilishaji

    Watabisha sana lakini kauli ya waziri wa elimu kuhusu ajira za walimu ni kauli za udhalilishaji wa waalimu na Maprofesa wa vyuo husika! Kama mitaala ya vyuo vya walimu inasimamiwa na wizara ya elimu! Kama vyuo vyetu vina ubora unaokidhi vigezo! Kwanini waziri anawataka walimu wafanye mitihani...
  5. Suley2019

    Prof. Mkumbo aweka wazi muingiliano wa kimajukumu kati ya TAMISEMI na Wizara ya Elimu. Apanga kukaa vikao kutatua changamoto

    Kamati ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imebainisha leo Jumanne Mei 16, 2023, kwamba kuna mgongano na mwingiliano wa majukumu katika uendeshaji wa elimu na uendeshaji wa shule kwa ngazi ya elimu ya awali, msingi na sekondari. Kulingana na Mwenyekiti wa kamati hiyo, Profesa Kitila Mkumbo...
  6. Kaka yake shetani

    Mlikuwa mna maana gani kwenye tahasusi ya elimu za dini kutumia Divinity?

    Kuna sehemu kama inaonekana wa kristo wamekosewa heshima kuwekwa kwenye kundi divinity maana yake ni uungu. Mean A divinity is a religious being, like a god or angel. It's also a word for the study of religion, which is studied at divinity school. If you know the word divine means holy or...
  7. The bump

    Natafuta Mdada/Binti wa kazi Smart Mwenye Elimu Kuanzia Form 4 kwa ajili ya kazi ya duka

    Eneo Duka Lilipo : DAR - STOP OVER MAJUKUMU : 1.Kuuza Vitu Dukani 2.Kuwashawishi Wateja Kununua Kwa kuwaelezea Faida na Hasara ya Kutotumia Bidhaa Husika. 3.Usafi wa Vitu na Duka Zima kwa Ujumla 4.Ku record Mauzo ya Siku husika/Matumizi ya Siku Nzima,nk. SIFA ZA BINTI ANAEHITAJIKA 1.Uwe...
  8. Roving Journalist

    Madai ya Wanafunzi wa Rutabo kupewa chakula kidogo, Afisa Elimu asema 'tatizo ni siku ya Wali na Nyama'

    Baada ya member wa JamiiForums.com kuripoti kuwa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Rutabo hawapewi Chakula cha Kutosha kutokana na uhaba wa Chakula na kudai kuwa hatua hazichukuliwi, Serikali imechukua hatua. Awali member alidai Shule hiyo inawapikia Wanafunzi Chakula kidogo hali inayowalazimu...
  9. jastertz

    Binti yako kama hana elimu asikanyage Dar es Salaam

    Ndefu kidogo.... Leo acha niseme kidogo kuhusu dada zetu tuseme Betina aka Tyner. Picha linaanza akifika Dar, ngozi halisi inaanza kuonekana. Kumbe hakuwa mweusi tii bali ni rangi ya chokoleti. Maji ya chumvi, vipodozi, misosi flani, sabuni na mafuta anayoanza kupaka. Kombinesheni yote hii...
  10. Insidious

    Majukumu ya Wizara ya Elimu na Wizara TAMISEMI kwenye elimu ni yapi

    Habari wananzengo, Napenda kujuzwa juu ya majukumu ya Wizara ya Elimu kwenye elimu na Wizara TAMISEMI kwenye elimu. Na, Je hakuna uwezekani majukumu yao kuingiliana?
  11. The Sheriff

    UN: Uganda imekidhi kuwa nchi ya uchumi wa kati wa chini (lower-middle income) baada ya kuboresha afya, elimu na viwango vya kipato kwa wananchi

    Umoja wa Mataifa (UN) umetangaza kuwa Uganda imekidhi vigezo vya kuorodheshwa kama nchi ya kipato cha kati cha chini (lower-middle income) baada ya kuboresha kwa kiasi kikubwa afya, elimu na viwango vya kipato vya wananchi wake. Bibi Susan Ngongi Namondo, mratibu wa Umoja wa Mataifa nchini...
  12. Zee la madawa

    Elimu ya Tanzania ina shida gani? Eti Physics, Kiswahili na Geography nayo ni combination moja

    Lengo ni nini? Haya maamuzi yamefanyika kwa kushirikisha wataalamu kweli? Tunakusudia kujenga taifa la aina gani? Mtu akisoma Physics, Kiswahili na Economics (PKE) anaadaliwa kuwa nani? Au anayesoma Chemistry, Comerce na Mathematics (CCM) mnamuandaa kuwa nani kama sio kuwa chawa? Nadhani idadi...
  13. M

    Wahitimu wa vyuo vikuu wengi wana depression. Vijana ambao hawajavuka hata form 4 wanazidi kujipata tu, sababu hawana aibu na hawajipi class ya juu

    Elimu ya chuo kikuu ni muhimu lakini karama ya kuzalisha pesa ni muhimu zaidi. Average age ya kuhitimu ama kumaliza digrii ya kwanza Tanzania ni miaka 24. Vijana wengi waliohitimu chuo wana msongo mkubwa wa mawazo sababu ajira hakuna. Na pia elimu imewaweka daraja la juu hawawezi kufanya kazi...
  14. tamsana

    Picha: Maoni ya mdau kuhusu tofauti ya wazungu na waafrika katika elimu

    Picha inajieleza. Comments za wadau zinahuzunisha zaidi
  15. A

    KERO Elimu Bure ni nini? Je, ni sawa wazazi kuendelea kuchangishwa pesa za chakula, mpishi, usafi na mitihani ya kujipima?

    Kuna shule ya Msingi inaitwa Gulukakwalala iliyopo Ilala, kabla mtoto hajaingia darasani lazima atoe Tsh. 1,200 ambayo ni Tsh 1,000 ya chakula na Tsh 200 ya uji kila siku, ambapo kama huna hela hiyo mtoto hawezi kuingia darasani. Sasa hivi wanasema kila mwezi mzazi atoe Tsh 2,000 ya mpishi na...
  16. D

    Natamani kusoma Mechanical Engineering, naomba ushauri

    Ninaomba ushauri, nina ufaulu wa Phy D, Math D, Chem C, Bios C na Geo C na nahitaji kusoma Mechanical maana advance combination zinabalance arts, je nifanyeje? Na ufaulu huo na nikipata two?
  17. J

    Rushwa hushusha Ubora wa Elimu na Kuondoa Ari ya Wanafunzi Kusoma

    Ufisadi unaharibu ubora na upatikanaji wa huduma za elimu kwa kuvuruga upatikanaji wa elimu. Inawaathiri sana maskini, wakiacha watoto wanaokabiliwa na changamoto kutegemea huduma duni za elimu ambapo elimu kidogo inaweza kufanyika. Ina athari mbaya katika sehemu zote za elimu, kutoka...
  18. DodomaTZ

    Dkt. Biteko ataja ongezeko la ajira kwa Walimu, madaraja na Bajeti ya Elimu, ataka Walimu wawe na Siku Maalum ya Motisha

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, uwekezaji wowote unaofanywa katika Sekta ya Elimu lazima umguse Mwalimu kwani ndiye injini na kiongozi wa rasilimali zote zinazowekwa kwenye mfumo wa elimu nchini. Dkt. Biteko mesema hayo tarehe 13 Machi 2024 wakati...
  19. D

    PreGE2025 Kuhusu Elimu: Nini sifa za mgombea Urais 2025?

    Wadau naomba nikumbushwe na kisha tujadili kwa faida mapana ya nchi yetu. Kama sijakosea Kuna mwaka fulani kigezo cha mgombea Urais kiliwekwa kuwa ni pamoja na kuwa na walau digrii moja bila kueleza ni ya nini. Kigezo hiki kilimfanya Frederick Sumaye kukimbilia Marekani kusaka digrii. Hali...
  20. Revolution

    Waziri wa Elimu: Shule zinazoongoza kwa ufaulu za binafsi haziruhusu mikutano ya wazazi

    Habari ndugu zangu kuna tatizo kubwa katika hili suala nililowasilisha hapo juu. Shule nyingi kuanzia chekechea hadi kidato cha sita zina matatizo makubwa haswa zile zinazotoa ufaulu wa kiwango cha juu. Wanafunzi wanaamka saa nane na wanalala saa saba usiku ili wakeshe madarasani wakariri...
Back
Top Bottom