Kwanini idara ya elimu ndiyo kila mtu anaweza zungumzia lolote tofauti na idara zingine

Pesanyingi

JF-Expert Member
Apr 15, 2023
396
658
Moja kwa moja niende kwenye mada.Nakumbuka siku za nyuma waziri wa elimu alishawahi kupiga marufuku wakati wa likizo watoto wetu kuendelea kusoma kwa kisingizio cha madarasa ya mitihani waendelee kusoma kujiandaa na mitihani.

Waziri rudi tena kupiga marufuku kwa watoto wetu wanakosa muda wa kujifunza mambo mengine ya uzalishaji mali na shughuli mbali mbali za nyumbani.

Mbaya zaidi wanaowangangania watoto wetu ni walimu, wao wakipokea maagizo toka kwa wanasiasa.

Ni vema ratiba za siku za kusoma ziheshimiwe kama ilivyopangwa na wizara na siyo kuleta ujuwaji usiokuwa na tija kuongeza mambo ambayo hayapo kwenye ratiba.
 
Back
Top Bottom