elimu

  1. Pfizer

    TAWA yaweka kambi rufiji, elimu ya kuepuka madhara ya mamba na viboko yatolewa Na. Beatus Maganja

    Timu ya Maofisa uelimishaji kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA imeweka kambi maalumu wilayani Rufiji yenye lengo la kutoa elimu ya namna ya kuepuka madhara yatokanayo na mamba na viboko kwa wananchi walioathiriwa na mafuriko wilayani humo. Hayo yamesemwa leo na Afisa...
  2. BARD AI

    CAG Kichere: Wizara ya Elimu haijatoa Tsh. Bilioni 1.23 za Elimu Bure

    Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia haijatoa Sh1.23 bilioni kwa ajili ya elimu bila malipo, ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imebaini. Kulingana na ripoti kuu ya ukaguzi wa Serikali za Mitaa kwa mwaka wa Fedha 2022/2023 iliyowasilishwa leo Jumatatu, Aprili 15...
  3. Gol D Roger

    Wanawake naombeni mnipe elimu juu ya hili swala

    Habari 👋 Wakuu naombeni mchango wenu, ni swala linalohusu mahusiano. Nipo katika mahusiano na mwanamke(22) ambaye juzi nimetoka kumtoa bikra. Cha kushangaza ni kwamba maumivu kwake hayakati, hii ni mara ya nne sasa tunafanya mapenzi lakini bado anasikia maumivu, hii ni hali ya kawaida?? Mara...
  4. baba aura

    Ni elimu gani muhimu lakini haifundishwi shuleni wala vyuoni?

    Wakuu habari, nimekuwa najiuliza kila siku kuwa ni elimu gani muhimu ilahaifundishwi mashuleni wakuu
  5. Cheology

    Changamoto kwenye maombi ya ajira Mfumo wa TAMISEMI upande wa Afya na Elimu

    Mfumo umefunguka vizuri. Ninaingiza taarifa vizuri. Kwa nini sehemu ya kuingiza namba ya NIDA nikibofya inazunguuka muda mrefu haiendeleei? Msaada wanaujua hili suala.
  6. R

    Dr. Emanuel Nchimbi put your words into action

    “Embracing Nyerere's Legacy for Tanzanian Progress” In an emotive and forward-thinking speech delivered at the Mwalimu Nyerere Memorial Academy on April 8th, 2024, Dr. Emanuel Nchimbi, the Secretary-General of Chama cha Mapinduzi (CCM), outlined a compelling roadmap for Tanzanian leaders to...
  7. O

    Mkanganyiko juu ya siku za mwanamke nipeni elimu

    Je ni kawaida kwa mwanamke kuona siku zake(mzunguko) kwa tarehe zisizo na utulivu mara kwa mara kwa karibu tena miaka miwili. Mwanamke ambaye siku zake sio steady atapataje mimba? Mfano mwanamke kuona siku zake za mwezi tarehe 9 mwezi flani then mwezi unaofata anaona tarehe 7 au kama kaona...
  8. C

    Elimu juu ya ku assemble gari kama madau alivyoeleza hapo chini, nahitaji kwa ufafanuzi zaidi kwa anayejua hiyo mbinu👇

    Naomba msaada wa elimu kwa anae jua hii mbinu anipe ufafanuzi zaidi kama alivyoeza hapo chini mdau.👇
  9. 101 East

    Ni level gani ya elimu imekupa marafiki?

    Ni level gani ya elimu imekupa marafiki ambao umedumu nao hadi leo, kati ya 1. Primary 2. Secondary 3. A level 4. Chuo 5. Kitaa
  10. BigTall

    Dkt. Slaa: Wananchi hawahitaji Elimu ya Katiba ya Miaka mitatu, mchakato urejeshwe

    https://www.youtube.com/watch?v=xoyfxK2zxJk Nipo nawasikiliza Wachambuzi wa masuala ya Sias wakijadili Katiba Mpya. Baadhi ya washiriki wa mjadala ni: Dkt. Anna Henga, Mkurugenzi Mtendaji, LHRC Dkt. Willibrod Peter Slaa, Mbunge Mstaafu Zitto Kabwe, Kiongozi Mstaafu , ACT-Wazalendo Salma...
  11. Manyanza

    Itafute elimu ya siri - hidden knowledge

    √Kwa mujibu wa kitabu cha "THE SECRET HISTORY OF THE WORLD" Inaelezwa kwamba katika kipindi cha kale mafundisho ya siri na ibada za tambiko za siri zenye nguvu na majibu ya papo kwa papo zilikua ni utaratibu au mafunzo muhimu yaliyotolewa kwenye Mystery schools /Shule za siri na Mystical Temple...
  12. SankaraBoukaka

    Kwa level gani ya Elimu ya Automobile Engineering naweza kufanya haya?

    Habari wandugu, Je kwa level gani ya Elimu ya Automobile Engineering (namaanisha Certificate, Diploma au ni lazima iwe Bachelor Degree) mtu anaweza kufanya yafuatayo:- Kufanya Diagnosis, Ku-interpret na ku-analyse data Engine swapping ECU Remapping Electrical system maintainance Mechanical...
  13. Mto Songwe

    Nitaendelea kuwalaumu wakoloni kwanini hawakusisitiza elimu kwa mtu mweusi ila waliona dini ndio muhimu?

    Sisi watu tuna akili ndogo. Kwa nini hawa wakoloni hawakulazimisha elimu kwa jamii yetu lakini wakalazimisha dini? Kwa malengo gani hasa tuzidi kuwa wapumbavu? Mwafrika mweusi mwenzangu namuona takataka kwa sababu hayupo upande wangu wa kiimani hawa wakoloni walitutaka nini hasa sisi waafrika...
  14. P

    Kwanini idara ya elimu ndiyo kila mtu anaweza zungumzia lolote tofauti na idara zingine

    Moja kwa moja niende kwenye mada.Nakumbuka siku za nyuma waziri wa elimu alishawahi kupiga marufuku wakati wa likizo watoto wetu kuendelea kusoma kwa kisingizio cha madarasa ya mitihani waendelee kusoma kujiandaa na mitihani. Waziri rudi tena kupiga marufuku kwa watoto wetu wanakosa muda wa...
  15. Mshana Jr

    Maisha ya baadaye ya watoto wetu yanahitaji wawe na Elimu, network na investment

    Sina sababu ya kueleza mengi sna kuhusu Elimu na investment kwa kuwa kila mahali yanazungumzwa na kurudiwa rudiwa. Lakini watu wote wanasahau element muhimu sana ya network. Network ni namna ambavyo unajijenga ndani ya kundi muhimu la marafiki, washirika, alumnus mbalimbali na ata wale wa...
  16. M

    Tanzania ni nchi ya pili Afrika kuamini uchawi na ushirikina. Elimu duni, kuamini dini sababu kuu za kuamini uchawi sana

    Nchi zinazoongoza kwa kuamini ushirikina (uchawi) barani Afrika. 1. Cameroon 2. Tanzania. DINI NI SABABU YA WATANZANIA KUAMINI SANA UCHAWI NA USHIRIKINA Ukiamini dini za ukristo na uislamu ni lazima pia uamini na ushirikina maana imani hizo zinategemana. Quran imeongelea ushirikina na ina...
  17. Lexus SUV

    Elimu ya biashara, uchumi na ujasiliamali ingeanza kufundishwa darasa la kwanza mpaka Phd

    Na sio hii kitu elimu ya dini, yaaaani serikali inafikia hatua kutilia mkazo tahahusi yza kidini wakati masuala ya umuhimu kama hapo juuu mtuu unakutana nayo secondary taifa tungekuwa mbali. Nawasilisha. Habari za jioni from Moshi town
  18. peno hasegawa

    Katiba Mpya ifafanue uwezo, sifa na elimu za Wakuu wa Wilaya na Mikoa

    Kuna vituko huko mikoani. Kuna wakuu wa wilaya na Mikoa hawajulikani Wana sifa zipi na elimu zao, kulingana na ujuzi wao kupewa nafasi hizo muhimu. Ninashauri Katiba mpya kuwepo kifungu cha Sheria kinachoonesha uwezo, sifa na elimu za wakuu wa wilaya na Mikoa. Niwatakie mchana mwema.
  19. Blasio Kachuchu

    Jennifer Dickson: Mwanzilishi wa maktaba ya kijamii wilayani Mwanga atunukiwa tuzo ya Malkia wa Nguvu Ajaye 2024

    Mwanzilishi wa maktaba ya kijamii wilayani Mwanga, Jennifer Dickson akifurahia tuzo ya Malkia wa Nguvu ajaye katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. ------ Nyota ya Mwanafunzi wa Kike wa kitanzania Jennifer Dickson na mwanzilishi wa maktaba ya kijamii wilayani Mwanga anayesoma elimu ya...
  20. Annie X6

    Barua ya wazi kwa Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Mkenda na wasaidizi wako

    Mimi si mtumishi wala kufanyakazi yoyote katika sekta ya elimu. Mimi ni mdau na mzazi. Mh waziri. Kila mtu atasema anavyotaka kwa kuwa nchi yetu ina uhuru wa kujielezea ili mradi hakuna sheria inayokiukwa. Mh. Katika sekta hii ya elimu siasa inatumika na haiepukiki. Lakini ni lazima tujiminye...
Back
Top Bottom