elimu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni halali kwa Mkuu wa shule kumtoa mwanafunzi nje ya chumba cha mtihani na kumcharaza viboko kisa kusinzia?

    Wadau wa elimu naomba msaada. Ni sahihi Mkuu wa shule kumtoa mwanafunzi nje ya chumba cha mtihani na kumcharaza viboko kisa kusinzia? Mwanangu kaja na kunisimulia.
  2. JamiiForums Tanzania Wengi wanaodhani wana elimu kisa walienda shule watakuja kuchelewa wakigundua hawajawahi kuwa na elimu kwa Mujibu wa mdau Einstain

    Elimu ni nini? ''Elimu ni Kile Kinachobaki baada ya kuwa umesahau vyote ulivyojifunza darasani''. Albert Einstein Kama una degree na unalima matikiti mwaka wa saba sasa, unapaswa kunyang'anywa cheti upewe cheti cha matikiti angalau. Sasa jifikirie, anza kufikiri unakumbuka nini katika yale...
  3. JamiiForums Tanzania Baadhi ya marais wenye elimu kubwa Afrika, Rais Magufuli ashika namba tano

    Sio tu kwamba wana madaraka makubwa ya kisiasa nchini mwao, bali wana elimu kubwa kwenye fani mbalimbali jambo linalothibithisha usemi wa Kiingereza wa “readers are leaders,” yaani viongozi ni watu wenye hulka ya kusoma sana. Hii ni orodha ya wakuu wa nchi za Afrika wenye elimu kubwa zaidi...
  4. JamiiForums Tanzania Elimu ya A-level inahitaji marekebisho

    Hello JF, Muundo wa A-level nilikuwa naona uweze kufanya link from lower secondary to university. Namaanisha masomo ya A-level yawe kama msingi wa masomo ya university. I understand kuna masomo kama udaktari ni impossible kuyasomea A-Level. Ila masomo mengine mengi tu ya chuo kikuu yanaweza...
  5. JamiiForums Tanzania Baadhi ya misimamo ya watu wenye akili zaidi ya wastani

    Good Morning people, Kwanza kabla sijafika mbali napenda niweke bayana mambo yafuatayo. Mosi: binadamu tumetofautiana talanta kutokana na katiba ya miili yetu ilivyoumbwa. Hivyo sio jambo jema kukashifu mwingine kutokana na mapungufu ambayo yapo nje ya uwezo wa asili wa miili yao. Waraka huu...
  6. JamiiForums Tanzania Elimu: Baadhi ya mambo yenye nafasi kubwa ya kukuletea mafanikio

    Amani iwe kwenu wana jukwaa. Katika mwendelezo wa kuelimishana masuala mbali mbali ambayo kwa njia moja au nyingine yatachangia kuboresha zaidi maisha na maendeleo yetu, leo tumeona tuzungumzie kidogo kuhusu ni mambo gani ya msingi ambayo sisi kama wanadamu tunatakiwa kuyaishi ili mafanikio...
  7. JamiiForums Tanzania DED Magu angalia sana Idara ya Elimu Msingi

    Mheshimiwa DED MAGU salaam, Napenda kukueleza machache kuhusu Idara yetu ya Elimu msingi kwenye Halmashauri yetu ya Wilaya ya Magu kama ifuatavyo: Idara ya Elimu wilayani Magu imeyumba tangu alipohama Yesse Kanyuma, aliyekuwa Afisa Elimu Msingi (W) Magu. Baada ya Kanyuma kuhamishwa aliletwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaishauri Tanzania kuwekeza kwenye elimu na afya

    Wakati serikali hii ya Rais Magufuli inajisifia kununua ndege na white elephant projects nyingine, World Bank wametoa ushauri kuwa mkazo uwe kwenye elimu na afya ili kuboresha human resources. Jisomee hapa: ==== Tanzania Needs to Urgently Invest in the Health and Education of its Youth – New...
  9. JamiiForums Tanzania Ex-soldiers na elimu yetu ya Tanzania

    Asalam wakuu Kwa wale waliobahatika kusoma elimu ya sekondari nchini mwetu kuna somo moja la historia, ndani yake kuna sura moja maarufu ya harakati za kudai uhuru barani Afrika ikiwemo Tanzania/Tanganyika. Harakati hizi zilichochewa na sababu kadhaa za ndani ya nchi na nje ya nchi, mojawapo...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Live TBC: Tamasha la utoaji Tuzo za Elimu

    Karibu Up dates;
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwalimu wa Biology na Chemistry ngazi ya Diploma ya elimu ya sekondari. Natafuta kazi

    Mimi ni mwalimu wa Biology na Chemistry ngazi ya Diploma ya elimu ya sekondari kutoka Chuo cha Ualimu Klerruu-Iringa. Pia nina ujuzi wa ICT in education. Ni mwalimu ujuzi na uzoefu wa kutosha. Natafuta kazi ya kufundisha masomo tajwa hapo juu na ICT. Kwa anayetamani nifanye nae kazi ili...
  12. JamiiForums Tanzania Tuje kwenye elimu ya dunia, unapelekwa kwa mganga Kariakoo, mganga anaendesha Vitz amevaa raba mtoni

    Jamani pamoja na kuwa maendeleo sasa watu wameadvance lakini hii habari ya kwenda kwa mganga Kariakoo, kwanza unajua kodi ya Kariakoo ilivyo ghali, mganga anaendesha Vitz lazima safari yako ilipie mafuta. Mganga anakutuma ulete kilo mbili za mchele, nazi mbili na jogoo mweupe usafishwe nyota...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Maswali ya NECTA zote na mithihani mbalimbali yalilopangwa kwa topics.

    Ndugu mwalimu na mwanafunzi , sasa unaweza kupima uelewa wako au uelewa wa wanafunzi wako kwa topic uliojifunza au uliyofundisha kwa urahisi zaidi kupitia maswali mbalimbali yaliyokusanywa kwa mpangilio wa topic kwa masomo yote ya secondari , yaani ordinary level na Advanced level . Tembelea...
  14. JamiiForums Tanzania Mwambie mdogo wako anaenda shule kusomea taaluma sio kazi, anaweza kusoma uhasibu akawa dobi

    1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi. Anaweza kusoma uhasibu akawa dobi. 2. Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha. 3. Mwambie Kupata alama nyingi sio kujua mambo mengi. 4. Mwambie akifika chuo atakutana na watu wa mikoa tofauti na hata majiji. Ila akumbuke anatokea Mtwara, tena...
  15. JamiiForums Tanzania Nina MASTERS sina Form 4 Ninaweza Kuajiriwa Serekalini?

    1. Wazo lililokujia kwanza baada ya kusoma kichwa cha habari hiki (cha kufikirika) ni: utapataje Masters bila kupitia Form Four? NDIYO HAPANA 2. Mtoto anazaliwa mjinga. Anapopelekwa Day Care au Chekechea ndipo huanza kupata elimu. NDIYO HAPANA 3. Wanafunzi wa Kiafrika wakipewa uhuru mkubwa...
  16. JamiiForums Tanzania Sasa nafundisha TV & video production katika chuo cha bagamoyo

    Kwa wanaotaka kujifunza zaidi ya online kupitia YouTube channel yangu ya Director chuma mnaweza kujiunga na chuo ninachofundisha bagamoyo kwa sasa karibuni sana
  17. JamiiForums Tanzania Education need an update similar to operating systems.

    Education seriously needs an update, It still teaches us the things that have already been made easier to do. It feeds in information instead of bringing out ideas. Creative education is almost gone, nobody talks about creativity and innovation. If a doctor gives the patient of cholera, the...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Wizara ya elimu inafanya majaribio hatari kwa elimu ya watoto wetu?

    Mwaka 2016 kulitolewa sera na muongozo mpya wa elimu ya msingi. Mitaala ikabadilishwa na kutolewa maelezo kwamba elumu ya msingi itaishia darasa la 6 badala ya darasa la 7 kama zamani. Wazazi, wanafunzi na shule wote wakajiandaa na jambo hilo ikiwemo kuhusu plani ya bajeti namna watakavyo...
  19. JamiiForums Tanzania Surveyormunkondya sasa nipo jamiiforum kwa ajili ya elimu juu ya masuala ya ardhi

    Ahsante sana ndugu zangu kwa kuniomba nijiunge jamiiforum ili pia niweze kuendelea kutoa elimu juu ya masuala mbali mbali ya ardhi. Na sasa nimejiunga rasmi na jukwaa hili kwa ajili ya kuendelea kuwaelimisha watanzania wenzangu ili kuepukana na matatizo mbali mbali ya ardhi kama; -kununua eneo...
  20. JamiiForums Tanzania Darasa la VIDEO PRODUCTION kwa Lugha ya Kiswahili

    Nikiwa kama Mtanzania mwenzenu nimejitolea kutoa mafunzo ya Video production bure YouTube kwa Lugha ya Kiswahili (ingia YouTube tafuta Director Chuma) Kwa kile nilichonacho nimeona ni bora kushiriki nanyi ili tupige hatua katika sekta za filamu na burudani zote kupitia video nchini kwetu Kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…