Nina MASTERS sina Form 4 Ninaweza Kuajiriwa Serekalini?

Mlenge

R I P
Oct 31, 2006
2,125
2,291
1. Wazo lililokujia kwanza baada ya kusoma kichwa cha habari hiki (cha kufikirika) ni: utapataje Masters bila kupitia Form Four?
NDIYO
HAPANA

2. Mtoto anazaliwa mjinga. Anapopelekwa Day Care au Chekechea ndipo huanza kupata elimu.
NDIYO
HAPANA

3. Wanafunzi wa Kiafrika wakipewa uhuru mkubwa hawawezi kupata elimu.
NDIYO
HAPANA

4. Bila digirii, mtu hawezi kuitwa msomi.
NDIYO
HAPANA

___

KAMA umejibu NDIYO kwenye swali lolote katika hayo hapo juu, uelewa wako kuhusu elimu unapishana na uhalisia na nina UJUMBE kwako.

#ITAENDELEA
 
Jinga kabisa wewe. SEREKALI ndio kitu gani?
 
mkuuu ww kauze barafu tafuta shule ya msingi iliyokaribu na ww hakikisha mwalimu mkuuu unampa buku la vocha daily
 
Back
Top Bottom