Uchaguzi 2020 Tuelewana, siyo elimu bure kilichopo ni elimu bila ada msitudanganye

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
10,526
13,014
Tundu Lisu popote ulipo heshima kwako mkuu,

Waeleze watanzania kwamba wanachosema elimu bure siyo kweli watoto wa masikini bado wanalipia ELIMU TENA SANA mf
1. Nauli
2. Madaftari
3. Uniforms
4. Tutions
5. Pesa ya mlinzi
6. Pesa ya chakula siku za mitihani nk

Wanaosema Tanzania kuna elimu bure ni waongo wana danganya. Kama ingekuwa bure tusingelipia hayo.
Wanachofanya wao ni kuchangia Ada tu.

Hata dawa za mseto wanachangia nasi tunachangia ndo mana inauzwa 2000 yuseme nayo ni bure? Msitudanganye
Cc. Tl
 
Back
Top Bottom