Elimu Popote kwa Yeyote

Shaycas

JF-Expert Member
Feb 13, 2009
906
110
Wadua habari. Kuna platforms ya kutoa/kupata elimu juu ya mambo mbalimbali.

Unaweza kutoa au kupata elimu hiyo free au kwa kulipia. Kama wewe ndio unatoa elimu kwa kulipia, wadau watakaosoma watalipia na fedha hizo za malipo (75%) zinakuja kwako. Ubora wa content ndio wingi wa clients.

Ukishaanda contents zako na kupost katika system, huhitaji kufanya chochote kingine zaidi ya kuangalia salio lako tu linavyoongezeka.
Unaweza kutoa fedha zako zilizotokana na malipo ya content wakati wowote.

Kiwango cha chini cha kutoa(withdraw) ni Tsh 50,000/=
Jukumu la kutangaza contents zako ni la wamiliki wa platform.

Team inafanyakazi kuhakikisha copyright issues hazilite changamoto.

Unaweza kujisajili katika platform hapa www.calipa.co.tz. (kujisajili ni bure).
 
Back
Top Bottom