edgar lungu

Edgar Chagwa Lungu (born 11 November 1956) is a Zambian politician who has been the President of Zambia since 25 January 2015. Under President Michael Sata, Lungu served as Minister of Justice and Minister of Defence. Following Sata's death in October 2014, Lungu was adopted as the candidate of the ruling Patriotic Front in a Convention of the Patriotic Front in Kabwe, for the January 2015 presidential by-election, which was to determine who would serve out the remainder of Sata's term. In the election, he narrowly defeated opposition candidate Hakainde Hichilema and took office on 25 January 2015.
Lungu was elected to a full presidential term in the August 2016 election, again narrowly defeating Hichilema. Hichilema initially disputed the election result and filed a case at the Constitutional Court to nullify the result. On 5 September, however, the court dismissed the case. Lungu was sworn in for his first full term on 13 September 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Mahakama ya Afrika Kusini imetoa maamuzi ya Serikali ya Zambia kusimamia mazishi ya Edgar Lungu

    Mahakama ya Afrika Kusini imeamua kuwa Serikali ya Zambia ina haki ya kuusafirisha mwili wa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Edgar Lungu, na kumzika kwa heshima za kitaifa, licha ya pingamizi kutoka kwa familia yake Mahakama Kuu ya Pretoria imetoa uamuzi huo kwa upande wa Serikali ya Zambia, ambayo...
  2. Benson Mramba

    Yanayoendelea Zambia juu ya mazishi ya Rais Mstaafu Edgar C Lungu yatufundishe kwenye siasa zetu

    Mpaka leo Mwili Rais Mstaafu Edgar Lungu haujazikwa kisa ni mgogoro kati ya familia ya Rais Mstaafu Lungu na serikali ya Rais Haikainde Hichelema. Familia inasema marehemu Rais mstaafu aliacha wosia kuwa siku akifa Rais wa sasa asisogelee jeneza lake.Siku za maombolezo zimeisha bado utata upo...
  3. R

    Mazishi ya Faragha ya Edgar Lungu yasitishwa na Mahakama Kuu Afrika Kusini, baada ya Serikali ya Zambia kupeleka zuio mahakamani

    Mgogoro kuhusu mahali atakapozikwa Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, umechukua sura mpya baada ya Mahakama Kuu ya Afrika Kusini kusitisha mazishi yaliyokuwa yamepangwa kufanyika jana, Jumatano Familia ya Lungu, ambayo imepinga ushiriki wa Rais wa sasa wa Zambia, Hakainde Hichilema, katika...
  4. R

    Watawala, particularly dictators in Africa, sikilizeni kisa hiki kutoka Zambia Edgar Lungu akilalamika

    Hebu nikueleze kuhusu simulizi ya kusikitisha lakini yenye nguvu kubwa inayotokea sasa nchini Zambia – simulizi ambayo kila dikteta wa Afrika anapaswa kuitafakari kwa makini. Mwaka 2017, Edgar Lungu alikuwa Rais wa Zambia. Wakati huo, mpinzani wake mkubwa, Hakainde Hichilema, alikuwa tu...
  5. tpaul

    Kifo cha Edgar Lungu na uhaini wa Tundu Lissu ni funzo kwa Rais Samia

    Naingia kwenye hoja moja kwa moja pasipo kuwachosha wala kuwapotezea muda. Naomba niwapitishe kwenye kisa kichungu lakini chenye nguvu kinachotokea Zambia leo, ambacho kila dikteta wa Kiafrika anapaswa kuzingatia kwa umakini mkubwa sana. Mnamo mwaka 2017, Edgar Lungu alikuwa Rais wa Zambia...
  6. R

    Mwili wa Rais wa Zamani wa Zambia, Edgar Lungu kuzikwa Afrika Kusini

    Familia ya aliyekuwa Rais wa Sita wa Zambia, Dkt. Edgar Lungu imetangaza kuwa mazishi yake yatafanyika nchini Afrika ya Kusini kwa ibada ya faragha Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Familia hiyo Mheshimiwa Makebi Zulu leo Juni 20 imeeleza kuwa nchini ya Afrika ya Kusini imeridhia kuipa familia...
  7. R

    Mazishi ya Rais wa zamani wa Zambia Edgar Lungu kuleta utata baada ya serikali kusitisha maombolezo

    Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema, ametangaza kusitisha ghafla kipindi cha maombolezo ya kitaifa kwa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Edgar Lungu, kufuatia mvutano unaoendelea kati ya serikali na familia ya marehemu kuhusu mipango ya mazishi yake Akihutubia taifa Alhamisi usiku, Rais Hichilema...
  8. R

    Familia na Serikali zakubaliana Lungu kuzikwa Juni 22 Lusaka, Zambia

    Baada ya tamko la Familia ya aliyekuwa Rais wa Zambia Edgar Lungu ambalo yalikuwa ni maagizo yake ya kwamba mpinzani wake wa kisiasa na Rais wa sasa Hakainde Hichilema hapaswi kufika popote karibu na mwili wake familia imefikia makubaliano na serikali juu ya mazishi ya Kiongozi Huyo na mpango wa...
  9. M

    Zambia: Familia ya Hayati Lungu yasema aliacha maelekezo Rais Hichilema asihudhurie msiba wala kusogea popote ulipo mwili wake

    Familia ya aliyekuwa Rais wa Zambia, Edgar Lungu, ambaye alifariki wiki iliyopita akiwa nchini Afrika Kusini, imedai kuwa marehemu aliacha maelekezo mahsusi akitaka Rais wa sasa, Hakainde Hichilema, asijihusishe kwa namna yoyote na shughuli za msiba wake wala kuwa karibu na mwili wake. Kwa...
  10. W

    POTOSHI Hakainde Hichilema alimpigia magoti Edgar Lungu enzi za utawala wake

    Wakuu nimekutana na taarifa mdau mmoja amechapisha picha ya mtu akiwa amempigia magoti aliyekuwa Rais wa Zambia , Edgar Lungu kuwa alikuwa ni hakainde Hichelema.
  11. M

    TANZIA Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu afariki dunia akipatiwa matibabu Afrika Kusini

    Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Chagwa Lungu, amefariki dunia leo, Alhamisi tarehe 5 Juni 2025, akiwa na umri wa miaka 68. Taarifa rasmi kutoka kwa chama chake cha Patriotic Front imethibitisha kuwa Lungu alifariki dunia akiwa katika matibabu maalum katika Hospitali ya Mediclinic Medforum mjini...
  12. Waufukweni

    Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu azuiliwa kugombea tena Urais uchaguzi wa mwaka 2026

    Mahakama ya Katiba nchini Zambia imetoa maamuzi kuwa Rais wa zamani wa nchi hiyo, Edgar Lungu hawezi kuwania tena kiti cha Urais kwenye uchaguzi wa mwaka 2026 kwa kuwa tayari amehudumu mihula miwili. Mahakama hiyo imeamua kuwa muda ambao Lungu alihudumu kama Rais wa taifa hilo kati ya 2015 hadi...
  13. Mtoa Taarifa

    Rais Hakainde Hichilema awafuta kazi Majaji watatu waliowahi kutupilia mbali ombi lake Mahakamani dhidi ya Edgar Lungu

    ZAMBIA: Rais Hakainde Hichilema amewafuta kazi Majaji watatu ambao awali aliwasimamisha kazi kwa madai ya Kukiuka Maadili ya Mahakama, hali iliyoibua shutuma kuwa Rais anaingilia Kisiasa kwenye masuala ya Mahakama. Kwa mujibu wa taarifa, inaelezwa kuwa Majaji hao walishiriki katika uamuzi wenye...
  14. Crocodiletooth

    Jinsi chama cha upinzani kinavyomsulubu Edgar lungu ambaye aliachia uongozi kwa amani

    Zambia's former President Edgar Lungu has insisted that he is "virtually under house arrest" although police said the monitoring of his movements was "strictly for his own safety". "I cannot move out of my house without being accosted and challenged by police, who drive me back home," Mr Lungu...
  15. JanguKamaJangu

    Mama wa Taifa Zambia ashitakiwa kwa tuhuma za wizi

    Kesi dhidi ya aliyekuwa Mama wa Taifa wa Zambia Esther Lungu, mke wa aliyekuwa rais wa nchi hiyo Edgar Lungu, imeanza mjini Lusaka. Anashitakiwa kwa tuhuma za wizi wa magari matatu, wizi wa hatimiliki ya mali huko Lusaka na kupatikana na $400,000 zinazodaiwa kuwa mapato ya uhalifu. Anakabiliwa...
  16. BARD AI

    Zambia: Edgar Lungu apigwa marufuku kufanya mazoezi hadharani akidaiwa kuendesha Kampeni

    Jeshi la Polisi limemuonya Edgar Lungu kutokana na utaratibu wake wa kufanya matamasha ya Mazoezi hadharani huku likieleza kuwa Kiongozi huyo amekuwa akitumia matamasha hayo kuendesha ajenda za Kisiasa. Taarifa ya Polisi imesema Lungu amekuwa akiambatana na wajumbe wa Chama chake cha Patriotic...
  17. BARD AI

    Rais Mstaafu Edgar Lungu aishtaki Serikali kwa kumzuia kusafiri

    Rais Mstaafu wa Zambia, Edgar Lungu amefungua mashtaka hayo akidai Mamlaka za Nchi hiyo zilimzuia kwenda Nchini Korea Kusini kwaajili ya kuhudhuria Mkutano wa Amani. Amesema alikutana na pingamizi la safari yake na kushushwa kutoka ndani ya Ndege huku akitajiwa sababu ni kutaka kusafiri bila...
  18. The Sheriff

    Rais Edgar Lungu awaaga Wazambia wakati Hakainde Hichilema akienda kuapishwa kuwa Rais wa 7 wa Zambia, leo Agosti 24 2021

    Ikiwa leo ndiyo siku anayoapishwa Hakainde Hichilema kuwa Rais wa 7 wa Zambia, Edgar Lungu kupitia mitandao ya kijamii (hii imetoka ukurasa wake wa Instagram) amewaaga wananchi wa Zambia na kumtakia kila la kheri Bw. Hichilema. Chini ni tafsiri ya andiko lake katika lugha ya Kiswahili...
  19. Sky Eclat

    Hawa watoto wetu wangejua tunayopitia ili upate ada ya shule na mkate mezani, wangesoma kwa bidii

  20. Erythrocyte

    CHADEMA yampongeza Rais mpya wa Zambia, Hakainde Hichilema kwa ushindi wa kishindo

    Siku zote kukiwa na Katiba ya Wananchi na Tume huru ya Uchaguzi kila kitu kitafanyika kama watavyotaka wenye nchi ambao ni wananchi wenyewe . Hiki kilichofanyika Zambia ndio kimepelekea CHADEMA kuamua kummiminia pongezi Rais Mteule Haikainde Hichilema
Back
Top Bottom