Jinsi chama cha upinzani kinavyomsulubu Edgar lungu, ambaye aliachia uongozi kwa amani.

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
19,007
21,551
Zambia's former President Edgar Lungu has insisted that he is "virtually under house arrest" although police said the monitoring of his movements was "strictly for his own safety".
"I cannot move out of my house without being accosted and challenged by police, who drive me back home," Mr Lungu told the BBC's Newsday programme.
"I'm facing the consequences of returning to politics and I'm ready for it," he added.
Police have denied claims of planning to ambush the former leader at night.
N. B, Tunajifunza nini hapa!
 
Attachments

  • IMG_20240524_135253_987.jpg
    IMG_20240524_135253_987.jpg
    109.5 KB · Views: 4
Upinzani na wapinzani wa Afrika ni wake wale tu.wakiwa nje ya madaraka wanajifaya malaika lakini wakiingia ikulu tu wanabadilika haraka sana na kuwa kama shetani au chui aliyekuwa amejivika ngozi ya kondoo. Angalia kwote walikoingia madarakani wanaojiita wapinzani.utagundua kuwa wengi wao waliondoshwa kwa aibu.maana wengi wao walifanya vibaya sana katika uongozi wao na wengine walifikia hadi hatua ya kuanza kuipindua katiba kwa kutaka kujiongezea muda.

Ndio maana kwa hapa Tanzania wananchi hawataki kabisa kusikia habari za kuwapa upinzani kura za ndio za Urais zaidi ya CCM. Watanzania wanajua na kufahamu kuwa wapinzani ni madalali na wababaishaji wakubwa.

CCM itaendelea kuongoza Taifa letu kwa kadri ya uhai wa Taifa letu.
 
Zambia's former President Edgar Lungu has insisted that he is "virtually under house arrest" although police said the monitoring of his movements was "strictly for his own safety".
"I cannot move out of my house without being accosted and challenged by police, who drive me back home," Mr Lungu told the BBC's Newsday programme.
"I'm facing the consequences of returning to politics and I'm ready for it," he added.
Police have denied claims of planning to ambush the former leader at night.
N. B, Tunajifunza nini hapa!

Nadhani ana kitu huyu so bure huwezi kuandamwa kiasi hiki kama hana utofauti na wenzake, na hili ndio tatizo kubwa la nchi za kiafrika tuna uana wenyewe kwa kuwa machawa, uwoga na ubinafsi
 
Ku

Hii ishara nadhani alikuwa kiongozi mzuri japo sijamfatilia sana au kuna usaliti aliufanya
Mtoa post ningeomba unifahamishe kdg kuhusu huyo raisi
 
HII INAITWA KATAA CHADEMA MAANA WAKIINGIA MADARAKANI WANKUWA MASHETANI SASAHIVI UTAFIKIRI WATU KWELI INGAWAJE TAYARI WANAONYESHA SIYO WATU KWA KUNGÁNGÁNIA MADARAKA
 
Upinzani na wapinzani wa Afrika ni wake wale tu.wakiwa nje ya madaraka wanajifaya malaika lakini wakiingia ikulu tu wanabadilika haraka sana na kuwa kama shetani au chui aliyekuwa amejivika ngozi ya kondoo. Angalia kwote walikoingia madarakani wanaojiita wapinzani.utagundua kuwa wengi wao waliondoshwa kwa aibu.maana wengi wao walifanya vibaya sana katika uongozi wao na wengine walifikia hadi hatua ya kuanza kuipindua katiba kwa kutaka kujiongezea muda.

Ndio maana kwa hapa Tanzania wananchi hawataki kabisa kusikia habari za kuwapa upinzani kura za ndio za Urais zaidi ya CCM. Watanzania wanajua na kufahamu kuwa wapinzani ni madalali na wababaishaji wakubwa.

CCM itaendelea kuongoza Taifa letu kwa kadri ya uhai wa Taifa letu.
Propaganda zako ni za kipumbavu sana!
 
Zambia's former President Edgar Lungu has insisted that he is "virtually under house arrest" although police said the monitoring of his movements was "strictly for his own safety".
"I cannot move out of my house without being accosted and challenged by police, who drive me back home," Mr Lungu told the BBC's Newsday programme.
"I'm facing the consequences of returning to politics and I'm ready for it," he added.
Police have denied claims of planning to ambush the former leader at night.
N. B, Tunajifunza nini hapa!
huo ndio uzwazwa wa upinzani Africa , ukishika uongozi tu, na ukianza kuona kwamba kazi ni ngumu, mambo magumu hayaendi kama walivyotarajia, wanaanza kugeuka nyuma badala ya kusonga mbele 🐒

kiujumla upinzani Africa hua haupendi kudumu madarakani, ila unapendelea zaidi kua upinzani mtaani 🐒

Hakainde Hichilema baba msabato huyu, alianza vizuri mno. sielewi ugumu wa kusonga mbele amekumbana nao wapi mpaka kutamani kurudi upinzani kwa hali na mali, hamu na gamu.....

Baada ya kushindwa kuleta mageuzi Zambia aliyo ahidi. Rais mtasafu Edgar Lungu ndie anaonekana lulu zaidi kwa sasa, na kwahivyo akitokea mtaani, kazi na shughuli zote za wanainchi eneo husika zinasimama, wanainchi wanatamani waskie walau neno lake moja la matumaini, wengine wanashauti na kwenda mbali zaidi kwamba , atoe uelekeo wa nchi kabisaa 🐒

na ameombwa na wanainchi na amekubali kurejea kwenye ulingo wa siasa...
 
Nadhani ana kitu huyu so bure huwezi kuandamwa kiasi hiki kama hana utofauti na wenzake, na hili ndio tatizo kubwa la nchi za kiafrika tuna uana wenyewe kwa kuwa machawa, uwoga na ubinafsi
Hana tatizo sema wananchi wanataka Rungu arudi madarakani zambia maisha yamekua magumu sana sasa Hichilema anaonz kabisa kurudi madarakani ni ndoto maana kachemka vibaya na ukame ukaongeza ugumu wa mausha
 
Upinzani na wapinzani wa Afrika ni wake wale tu.wakiwa nje ya madaraka wanajifaya malaika lakini wakiingia ikulu tu wanabadilika haraka sana na kuwa kama shetani au chui aliyekuwa amejivika ngozi ya kondoo. Angalia kwote walikoingia madarakani wanaojiita wapinzani.utagundua kuwa wengi wao waliondoshwa kwa aibu.maana wengi wao walifanya vibaya sana katika uongozi wao na wengine walifikia hadi hatua ya kuanza kuipindua katiba kwa kutaka kujiongezea muda.

Ndio maana kwa hapa Tanzania wananchi hawataki kabisa kusikia habari za kuwapa upinzani kura za ndio za Urais zaidi ya CCM. Watanzania wanajua na kufahamu kuwa wapinzani ni madalali na wababaishaji wakubwa.

CCM itaendelea kuongoza Taifa letu kwa kadri ya uhai wa Taifa letu.
Ghana, Nigeria, Kenya, Malawi, Tunisia, mbona hatujaona chui?
 
Swali ni je wakati yuko madarakani aliwa treat vip wapinzani wake?
 
Zambia's former President Edgar Lungu has insisted that he is "virtually under house arrest" although police said the monitoring of his movements was "strictly for his own safety".
"I cannot move out of my house without being accosted and challenged by police, who drive me back home," Mr Lungu told the BBC's Newsday programme.
"I'm facing the consequences of returning to politics and I'm ready for it," he added.
Police have denied claims of planning to ambush the former leader at night.
N. B, Tunajifunza nini hapa!
unajua kwa nini ccm wanaogopa kuachia madaraka ?. wanafahamu kitakacho tokea ni kuwajibishwa
 
huo ndio uzwazwa wa upinzani Africa , ukishika uongozi tu, na ukianza kuona kwamba kazi ni ngumu, mambo magumu hayaendi kama walivyotarajia, wanaanza kugeuka nyuma badala ya kusonga mbele 🐒

kiujumla upinzani Africa hua haupendi kudumu madarakani, ila unapendelea zaidi kua upinzani mtaani 🐒

Hakainde Hichilema baba msabato huyu, alianza vizuri mno. sielewi ugumu wa kusonga mbele amekumbana nao wapi mpaka kutamani kurudi upinzani kwa hali na mali, hamu na gamu.....

Baada ya kushindwa kuleta mageuzi Zambia aliyo ahidi. Rais mtasafu Edgar Lungu ndie anaonekana lulu zaidi kwa sasa, na kwahivyo akitokea mtaani, kazi na shughuli zote za wanainchi eneo husika zinasimama, wanainchi wanatamani waskie walau neno lake moja la matumaini, wengine wanashauti na kwenda mbali zaidi kwamba , atoe uelekeo wa nchi kabisaa 🐒

na ameombwa na wanainchi na amekubali kurejea kwenye ulingo wa siasa...
Upinzani au siasa za afrika za kukomoana
Chiluba alimsulubu kaunda, waliyoingia nao walimsulubu chiluba
Hata tanzania siasa za kusulubiana zipo ccm kwa ccm na upinzani kwa upinzani zipo

Ova
 
Zambia's former President Edgar Lungu has insisted that he is "virtually under house arrest" although police said the monitoring of his movements was "strictly for his own safety".
"I cannot move out of my house without being accosted and challenged by police, who drive me back home," Mr Lungu told the BBC's Newsday programme.
"I'm facing the consequences of returning to politics and I'm ready for it," he added.
Police have denied claims of planning to ambush the former leader at night.
N. B, Tunajifunza nini hapa!
tunajifunza kwamba mtendwa hutendwa pia. watawala wajifunze kuishi na watawaliwa , ipo siku mambo yatageuka nao kuwa watawaliwa...
 
Lungu atulie bado mapema mno kuanza kupiga makelele kwamba ananyanyaswa.
Inatakiwa awekwe ndani mara 8 kama alivyomfanyia aliekuwa mpinzani wake na ambae ndo raising wa sasa wa Zambia. Malipo ni hapa hapa kwanza..
 
Upinzani au siasa za afrika za kukomoana
Chiluba alimsulubu kaunda, waliyoingia nao walimsulubu chiluba
Hata tanzania siasa za kusulubiana zipo ccm kwa ccm na upinzani kwa upinzani zipo

Ova
ndio maana intellectuals tunaimba everyday, kwamba lazima ifike mahali kama Taifa, vyama vya siasa wawapike vizuri young professionals and visionary political leaders wa kutosha, ili kusaidia kuitransfom inchi into prosperous, kijamii kisiasa na kiuchumi 🐒

sasa hii habari ya kupika vijana wawe na mihemko na kutukana tu, anapotofautiana hoja au maoni na watu wengine haitasaidia chochote 🐒
 
Back
Top Bottom