ebola

  1. Dennis Robert Shughuru

    Tunaweza tengeneza dawa ya ebola na marburg ya kutibu symptoms hii fedheha inatakiwa ifike mwisho

    Maginjwa ya ebola, na marbug yamekuwa yakiitesa sana East afrika hasa DRC, kwa mbali Rwanda, Burundi na Uganda ila kituko tunasubiria huruma za nchi za magharibi watutengenezee dawa to be honest hiki ni kituko Yaani tatizo lipo nyumbani kwako unamsubiria mtu wa mbali ambaye hata haishi hapo...
  2. R

    Idadi ya Visa vya Ebola yaongezeka DR Congo Wagonjwa 68 na Vifo 16

    Idadi ya wagonjwa wanaoshukiwa kuwa na Ebola katika jimbo la Kasai kusini mwa Congo imeongezeka maradufu ndani ya wiki moja tangu mlipuko mpya kuthibitishwa, kwa mujibu wa Shirika la Afya la Afrika (Africa CDC) Septemba 11, 2025 Kwa mujibu wa taarifa, visa vinavyoshukiwa vimepanda kutoka 28...
  3. M

    Ni kwanini Mungu aliumba vimelea vya magonjwa kama EBOLA, UKIMWI, KANSA, MALARIA ambavyo vinaua mamilioni ya watoto wadogo wasio na makosa yoyote?

    Habari wadau Kwa nini Mungu mwenye upendo, muumba wa kila kitu, ameumba vimelea vya magonjwa hayo yanayotesa na kuua sana watu, imagine mtoto mdogo anateseka na kansa ya ubongo ama ukimwi
  4. S

    PreGE2025 Kama Tanzania ingeamua kuwafunga wanasiasa waongo, karibu viongozi wote wa CCM wangekuwa jela, Amos Makala kifungo cha maisha kwa kauli ya Ebola!

    Naona mashitaka dhidi ya Lisu yamejikita kwenye mambo mawili; kwamba amesema uongo na pili uhaini. Kwanza, kusema uongo; kama kweli serikali ya Tanzania ina umakini wa kiasi hicho kuhusu wanasiasa kusema uongo, iweje Amos Makala hadi leo yupo nje anadunda tu baada ya kauli zake za kusema...
  5. Roving Journalist

    PreGE2025 Mnyika: Msajili aseme amempa Siku ngapi Makalla madai ya CHADEMA kununua Virusi vya Ebola

    John Mnyika, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kusema hatua alizochukua dhidi ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla aliyedai CHADEMA inachangisha fedha kwenda kununua Virusi vya Ebola na Epox...
  6. mwanamwana

    PreGE2025 ACT Wazalendo yamtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kumchukulia hatua Makalla kauli ya CHADEMA kutaka kupandikiza M-Pox na Ebola nchini

    Chama cha ACT Wazalendo kimemwandikia rasmi Msajili wa Vyama vya Siasa malalamiko dhidi ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amosi Makalla kutokana na matamshi yake ya madai kuwa CHADEMA kinaendesha harambee ya kununua virusi vya M-pox na Ebola kwa lengo la kuzuia uchaguzi mkuu wa...
  7. Waufukweni

    PreGE2025 CHADEMA wadai kauli ya Makalla inafukuza Watalii, wataka gazeti la Habari Leo wafunguliwe kesi

    John Heche awa Mbogo kuhusu Makalla kudai CHADEMA italeta Mpox na Ebola, 'Ni mjinga na mhujumu uchumi' ataka Habari Leo wafunguliwe kesi Soma: Pre GE2025 - Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!
  8. R

    Msajili wa vyama vya siasa, kama unaweza kum summon Mnyika kuhusu No reoforms No election, basi Amos utamsummon kwa m-pox na ebola saga

    Realistically, wenye akili wanategemea as soon as possible umuite Amos Makala na kumkanya na kumpa onyo publically atoe maelezo na ushahidi wa hiki alichokisema. Short of that hutaeleweka. Soma Pre GE2025 - CHADEMA wakiongozwa na John Mnyika waitikia wito wa kufika kwenye Ofisi ya Msajili wa...
  9. P

    PreGE2025 Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!

    wakuu, hata kama ni ndio kuchafuana ili washinde uchaguzi this is too much. Makalla anatakiwa kuchuliwa hatua mara moja, hapa anaongelea usalama wa nchi, kurusha tuhuma nzito kama hizi kwa CHADEMA bila ushahidi ni hatari. Hili si jambo la kuchekewa kwa vyombo vya usalama wala msajili wa vyama...
  10. I

    PreGE2025 CHADEMA, Kuleta Mpox na EbolaUkweli, Propaganda au Vita vya Kisaikolojia?

    CHADEMA, Kuleta Mpox na Ebola Ukweli, Propaganda au Vita vya Kisaikolojia? Baada ya Kuisikia Kauli Ya Kiongozi katibu Itikadii Unezi wa @ccm_tanzania Taifa Dhidi ya @ChademaTz Kwamba CDM Wanampango wa kufanya Biological attack dhidi ya Watanzania. Niilijiuliza maswaliMengi sanaa Haswa Ya...
  11. Upekuzi101

    Makalla unajidharaulisha sana na siasa zako za mwaka 47, Mpox na Ebola tena?

    CPA Makala anasema chadema wanakusanya pesa za kununua virusi🦠 vya ebola na MPOX Ili uchaguzi usifanyike. Sasa Makala hizo siasa zako nani anakuelewa? Unaongea na population ambayo nusu yake ni vijana wameenda shule na wanaweza ku reason properly. Ulichosema ni kujiaibisha, kukosa agenda na...
  12. Raia mpya

    Dunia tulio nayo imepitia vipindi vigumu kama magonjwa mawili makubwa EBOLA VS COVID 19

    Dunia tulio nayo imepitia vipindi vigumu na majanga mbalimbali tokea enzi za vita ya dunia huko na mpaka tulipofika, ila kwa miaka ya karibuni kuna magonjwa mawili makubwa yalitikisa ulimwengu CORONA huu sina hata haja ya kuelezea habari zake mpaka leo zipo maana hata ukitaka kusafiri nje lazima...
  13. R

    Kwanini ugonjwa wa Ebola huwa hauvuki mpaka wa DRC kuingia nchini?

    Salaam, shalom!! Kama mada inavyojieleza, mwandishi angependa kupata majibu sahihi ya kisayansi, Kwanini ugonjwa huu wa kuambukiza huwa hauvuki mipaka japokuwa watu huvuka kuja Tanzania na kuingia DRC? NB: Nia ya kuuliza swali hili ni njema, inalenga kujua jinsi Gani Tanzania ilivyobarikiwa(...
  14. Selikavu

    Nimezuiliwa kuingia hospitalini kisa ebola

    Habari za Asubuhi wakuu Leo nimejiimu mapema nikamwone Mgonjwa Hospitali ya wilaya ya Nyamagana Mwanza .. Cha ajabu nimezuiliwa na walinzi kwamba mtu anayeruhusiwa kuingia ni Mwenye chakula cha mgonjwa tuu ili kuepuka maambukizi ya ebola Swali langu limekuja je serikali imeshatoa tamko...
  15. Determinantor

    Marbug ni hatari kuliko Ebola. Serikali isiweke siasa

    Nilikua napitia kwenye mtandao kuona tofauti ya Marbug na Ebola, nikakutana na hii kitu hapa chini. Marburg hemorrhagic fever is a severe and highly fatal disease caused by a virus from the same family as the one that causes Ebola hemorrhagic fever. Both diseases are rare, but can cause...
  16. B

    Tunapoichukulia poa Ebola hata kuiita majina yasiyojulikana ni hatari

    Tumekumbwa gonjwa hatari lenye kuuwa hadi 90% ya wahanga. Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola. "Kwamba tumependa kutoliita koleo kwa jina lake." Maajabu ya Mussa. Tangu lini uswahilini neno Marburg...
  17. Mystery

    Ugonjwa unaodaiwa na Wizara ya Afya, ulioua watu 5, unaweza kuwa ni Ebola?

    Imetolewa taarifa na wizara ya Afya na Profesa Tumaini Nagu kuwa huko Bukoba vijijini, katika Kata ya Maruku na Kanyangereko, kumetokea ugonjwa usiojulikana, ambao dalili zake ni kutoka damu mfululizo, kwenye sehemu mbalimbali, ikiwemo puani, hadi Figo zinazshindwa kufanya kazi, uliosababisha...
  18. BARD AI

    WHO yaitangaza Uganda kuwa haina tena ugonjwa wa Ebola

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limefikia maamuzi hayo ikiwa ni baada ya Siku 113 tangu Ugonjwa huo ulipoingia nchini humo na kusambaa katika maeneo ya jiji la Kampala huku ukisababisha vifo 55. Katika kukabiliana na maambukizi, Rais Museveni aliziweka kwenye vizuizi Wilaya mbili za Mubende na...
  19. JanguKamaJangu

    Uganda: Majaribio chanjo ya Ebola yakwama kwa kukosekana wagonjwa

    Wataalam wa Afya wanasema hali hiyo ya kukosa wagonjwa wapta tangu Novemba 2022 imewafanya kushindwa kutoa chanjo aina tatu za majaribio zilizotua nchini humo hivi karibuni. Maambukizi ya ugonjwa huo kupitia Kirusi cha ‘Sudan strain’ yamesababisha vifo vya watu 55 tangu mlipuko ulivyoanza...
  20. BARD AI

    Uganda: Wizara ya Afya imesema mgonjwa wa mwisho wa Ebola ameruhusiwa kutoka Hospitali

    Wizara ya Afya imetangaza taarifa hiyo na kueleza hali ya matumaini ya kufanikiwa kuudhibiti ugonjwa huo ulioathiri watu 142 na kuua wengine 56 imerejea nchini humo. Afisa Kutoka Wizara ya Afya, Diana Atwine ameandika pia kupitia Twitter "Ninafuraha kutangaza kwamba tumemruhusu mgonjwa wa...
Back
Top Bottom