Uganda: Majaribio chanjo ya Ebola yakwama kwa kukosekana wagonjwa

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Wataalam wa Afya wanasema hali hiyo ya kukosa wagonjwa wapta tangu Novemba 2022 imewafanya kushindwa kutoa chanjo aina tatu za majaribio zilizotua nchini humo hivi karibuni.

Maambukizi ya ugonjwa huo kupitia Kirusi cha ‘Sudan strain’ yamesababisha vifo vya watu 55 tangu mlipuko ulivyoanza Septemba 2022. Uganda ilipokea chajo 5000 na kupanga kuzitoa kwa walio karibu na watu wenye maambukizi

Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuwa ikiwa hakutakuwa na wagonjwa wapya ndani ya wiki chache zijazo watatafuta njia nyingine ya kufanya ili kuona ubora wa chanjo hizo.


========== ===========

Ebola vaccine trials stalled by lack of Uganda cases

Health experts say it has not been possible to begin a trial in Uganda of three experimental Ebola vaccines due to a lack of cases of the virus.

An outbreak of the Sudan strain of Ebola has caused at least 55 deaths since September.

But there have been no new cases since late last month, and the World Health Organization has praised efforts to contain the outbreak.

It says if no further cases are reported in the next few weeks, it will have to look at other ways to test the safety and effectiveness of the vaccines.

Uganda has received more than 5,000 doses and was planning to vaccinate close contacts of those infected.

Source: BBC
 
Back
Top Bottom