DJ wa miaka 96 huko Hong Kong ameandaa kipindi chake cha mwisho cha redio, baada ya zaidi ya miongo saba katika utangazaji.
Ray Cordeiro aliwashukuru wasikilizaji wake alipomaliza kipindi chake ‘All The Way With Ray’ Jumamosi usiku.
“Ndio hivyo. Asante sana kwa kuingia, kwaheri, asante kwa...