duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili Kampala Uganda vyombo vya habari duniani ikiwemo TBC viko mubashara.

    Rais Samia Sukuhu Hassan amewasili Kampala nchini Uganda na kupoke!ewa na Rais Yoweri Museveni. Watu wote akiwemo Rais Samia wamevalia barakoa Tukio liko mubashara TBC!
  2. JamiiForums Tanzania Profesa Assad ni muongo, duniani 73% ya ndege zote za biashara hununuliwa kwa pesa taslimu

    Nimesikitika kuona msomi kama Assad aki-personalize tofauti zake na Hayati Magufuli kwa kusema mtu kichaa tu ndie ananunua ndege kwa cash, profesa akasema mikopo/lease ndio njia sahihi. Binafsi sijui hizo takwimu amezipata wapi za kua vichaa tu ndio wananunua ndege kwa pesa tasilimu ama cash...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo: Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati

    Akichangia katika mpango wa maendeleo wa Serikali bungeni amesema anashangaa watu wanavyohangaika na umeme wa maji na huku dunia ya sasa ni umeme wa gesi Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati. Mbunge wa Musoma Vijijini Profesa Sospeter Muhongo amesema...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kutokana na hali ya Covid 19 nchini Ujerumani

    Jana tarehe 7.4. 2021, Radio DW iliutangazia ulimwengu kwamba Ujerumani imepata maambukizi mapya ya Corona kwa kiwango kikubwa sana na wanajiandaa kusitisha baadhi ya shughuli ili kujikinga na maambukizi. Kutokana na taarifa hiyo, naomba mnisaidie kujibu maswali haya: (1) Je, Ujerumani...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mfuko wa PSSSF umefilisiwa na nani?

    Rais Samia amesema hajateua mkurugenzi mkuu mpya wa PSSSF ( Public Service Social Security Fund) na kumuacha yule yule aliyepo kwa sababu mfuko huo una hali mbaya kifedha hivyo anataka uchunguzi ufanyike kwanza. Naunga mkono hatua hii kwa 100% kuna jasho langu pale. Ukinizingua Nakuzingua!
  6. JamiiForums Tanzania Lugha ya kiswahili inaongelewa na watu wangapi duniani?

    Lugha ya kiswahili inaongelewa na watu wangapi duniani, ni ya ngapi kwa kuwa na waongeaji wengi?
  7. JamiiForums Tanzania Tunakuja Duniani tukiwa kamili; Kila kitu chetu kinakuwepo ndani yetu

    Uumbaji una mengi ambayo yanaonekana kama yamejificha ila ndivyo yalivyo na mengine ukiyaongea unaweza ukaonekana kama hayawani hivi lakini ndivyo ilivyo. Leo napenda kuonesha namna tunavyoingia Duniani tukiwa kamili. Ninaposema kamili namaanisha kuwa tunazaliwa tukiwa tayari tumeshakamilika...
  8. JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu wa Nchi ya Ufini unavyolifanya Taifa hilo kuwa bora katika elimu Duniani; Tanzania inajifunza nini?

    Nchi ya Ufini (Finland) ni Nchi mojawapo kati ya Nchi zilizopo upande wa Kaskazini wa Ulaya inapakana na Sweden Norway na Russia. Nchi hii ina ukubwa wa kilomita a mraba 338,455 km². Inakadiriwa uwa na idadi ya watu milioni tano na laki tano (5.5 mill). Mji wake Mkuu unaitwa Finish Nchi...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini kuna Covid za aina nyingi duniani? Na kwanini muda huu?

    Yawezekana kuna sababu kwanini kuna covid za aina nyingi ila mimi sijui, South Africa wana covid tafauti na iliopo duniani, Tanzania pia juzi kuna watu walikutwa na aina ingine ya covid! Kwa wale mnaolewewa hizi variants zinatoka wapi , na kwanini zimekuja muda huu pia mtueleze?
  10. JamiiForums Tanzania Afrika ingekuwa nchi, imagine wazo la mzee wetu Kwame Nkrumah lingefanikiwa, leo hii uchumi wa dunia tungekuwa tumeushikilia sisi

    Imagine Africa ingekuwa nchi, imagine wazo la mzee wetu Kwame Nkrumah lingefanikiwa, leo hii uchumi wa dunia tungekuwa tumeushikilia sisi, tungekuwa tishio kuliko China ilivyo kwa USA. Uwezo wetu kijeshi, sayansi,elimu na teknolojia ungekuwa tishio. Itazame USA kama nchi 50 ambazo hazina...
  11. JamiiForums Tanzania "Social Economic Empowerment Program" Madrassa Yabuni Mpango wa Kijamii wa Kuwezeshanana kiuchumi

    "Social Economic Empowerment Program,." Mpango wa Kijamii wa Kuwezeshana Kiuchumi, Kwa mara ya Kwanza Tanzania. Haujawahi kutokea, duniani. Ni mpango uliobuniwa na Madrassatul Abraar, iliopo mtaa wa Vitendo, Misugusugu, Kibaha, Pwani Tanzania. Mpango ulianzishwa nakuasisiwa na Abdul ghafur kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Watu Bilioni 3.9 Duniani jana walifuatilia Shughuli za Kumuaga Hayati Magufuli

    Akiwa anatoa maelezo kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu amesema kwa taarifa walizonazo jana wakati wa shughuli za kumuaga Hayati JPM watu waliofuatilia tukio hilo duniani ni 3.9 bilioni kama siyo 4 bilioni. Na hivyo amevishushukuru sana vyombo vya habari kwa kurusha matangazo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hofu/Woga ni adui mkubwa kuliko ugonjwa wowote duniani

    Kwanza nitoe pole kwetu sote wakati huu wa majonzi ya kumuaga mpendwa wetu. MUNGU amrehemu. Kwa uzezo wangu mdogo wa kutafakari mambo nimegundua Viongozi walitukosea sisi wanainchi sana. Siku chache kabla ya msiba huu, mitandaoni kulikuwa na taharuki ya kiwando cha juu sana juu ya afya ya Rais...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Wito: Tunapoomboleza tukumbuke Corona ingalipo duniani

    Mabibi na mabwana tuko msibani. Tusisahau kuwa pamoja na msiba, pana gonjwa linalotunyemelea. Gonjwa hili linataka barakoa na kuepuka mikusanyiko. Tunapoomboleza tukumbuke tuna ugonjwa ungalipo na kwa hakika hatutajilaumu kwa kuchukua tahadhari. Mikutano yote rasmi na isiyo rasmi pia...
  15. JamiiForums Tanzania Giant Investor: Muwekezaji mkubwa zaidi Duniani zaidi ya wakina Elon Musk, Warren, Billgate nk

    Hakuna uwekezaji mkubwa uliowai kutokea na utakao kuja kutokea mpaka Dunia itakapoisha kama 'Sadaka yenye kuendelea'. Uwekezaji huu utakupa Super Profit Consistency ukiwa hai mpaka ukifa na mifupa kupotea bado gawio lako la Hisa unapokea bila hasara yoyote ile. Sadaka yenye kuendelea *Kujenga...
  16. JamiiForums Tanzania Marekani ndio wauzaji wakuu wa silaha duniani na soko lao linazidi kuongezeka

    Marekani imeongeza soko lake la uuzaji wa silaha kwa nchi zingine hadi asilimia 37 katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, kulingana na Taasisi ya Utafiti yenye makao yake nchini Sweden. Kuongezeka kwa kiwango cha uuzaji silaha kwa Marekani, Ufaransa na Ujerumani kulisawazishwa na kupungua...
  17. JamiiForums Tanzania PUMZI/UHAI: Kitu cha gharama kubwa zaidi kinachothibitisha ukuu wa MUNGU; Tuitumie vizuri hapa duniani

    Ndugu zangu watanzania kwa wanaoamini MUNGU na wasioamini Ni ukweli ulio wazi kuwa, kinachomfanya binadamu awe hai ni PUMZI yake, bila pumzi maana yake hakuna uhai Mtu kufa maana yake pumzi imefikia ukomo, hata wanasayansi pamoja na ujanja wao wote lakini wameshindwa kabisa kutengeneza pumzi...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nchi nyingi Duniani zinakataa matumizi ya Chanjo ya AstraZeneca?

    Tangu kuingia kwa Virusi vya Corona wataalamu wa Afya wamepambana kutafuta dawa na chanjo kukabiliana na gonjwa hili hatari bila mafanikio. Hivi karibuni ziligundulika chanjo mbalimbali ikiwemo ASTRAZENECA ambayo ilipitishwa na Shirika la Afya Duniani kuanza kutumika kwa binadamu ili kupunguza...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Shirika la Afya Duniani: Hakuna ushahidi kuwa chanjo ya Corona ya Astrazeneca inasababisha damu kuganda

    Shirika la Afya duniani limesema hakuna ushaidi kuwa chanjo ya corona ya Astrazeneca inasababisha damu kuganda. Msemaji wa WHO - Dr. Margaret Harris amesema nchi zilizokwisha agiza chanjo ya Astrazeneca ziendelee kuitumia kwa wananchi wake maana chanjo iyo ina ufanisi mkubwa. Kati ya watu...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Duniani Kuna Imani zaidi ya Moja?

    Maisha yote ya mtu hayatenganishwi na yanategemea imani. Kwa maneno mengine, maisha ni imani. Ye yote anayeishi duniani maisha yake ni imani yake. Hatahivyo, swali ni kwamba imani ni nini? Imani ni kwa nani au nini:tunaamini nini? Duniani kuna imani zaidi ya moja au mbali mbali? Kuhusu imani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…