duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Huko Duniani Rais anapimwa hivi na taasisi zao

    Africa tuna safari ndefu sana mithili ya safari ya kwenda Mars. Ni hivi huko duniani kuwa Rais wa Taifa sio lelemama yani baba unapimwa uwezo wako yani utapigwa maswali wewe na wazee waliopiga kitabu wakatoka moshi kichwani. Yani utafuwatiliwa maisha yako je unasoma vitabu? Unaijuwa nchi yako...
  2. JamiiForums Tanzania Shetani alikuwepo duniani kabla ya kuumbwa binadamu

    Habarini wakuu. E bwana kuna kitu nimekifuma mahali nimeona nikilete mezani najua tutajuzana mengi. Ni hivi kuna dhana kuwa,shetani alikuwepo duniani kabla binadamu hajaumbwa. Kivipi,baada ya ile vita kuu mbinguni kutokea ,na shetani akashindwa ,alitupwa duniani ambapo kulikua ukiwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Ni tukio lipi liliwahi kukukuta ambalo ilibaki kidogo kuaga dunia, kufungwa, kupata ajali, n.k

    Binafsi nakumbuka kuna siku mvua kali sama ilikuwa inanuesha, siku hio ilikuwa ni mwezi wa 11 ndio siku ya kwanza mvua inanyesha kwa huo mwaka na kiukweli ilinyesha acha kabisa. Sasa nimefika pale kwenye mataa tunapishana na magari kibao, ukungu ukatanda kwenye kioo aisee, sioni kitu mbele na...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Vijana kachukueni Pasipoti zenu Uhamiaji mtawanyike Duniani; kusubiri ajira na uteuzi ni utumwa wa fikra

    Mhe. RAIS ameifungua nchi, SI Kwa wazee Bali Kwa vijana. Wakenya wamejaa Tanzania Kwa ajili ya matembezi ,biashara, ajira nk. Sisi Watanzania tumejazana Dar na tunajipongeza Kwamba tumeiona Dunia. Hapana vijana badilisheni fikra, mtizamo na mikakati, wazeni kuvuka mpaka, wazeni kufanya biashara...
  5. JamiiForums Tanzania TBC1 ni shirika bovu zaidi la utangazaji duniani

    Katika taarifa yao ya habari wametoa wanayoita orodher ya MASPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. Na kwa ujinga uliotukuka wakaanzia orodha hiyo tangu mwaka 1953. SASA UNAJIULIZA HUO MWAKA KULIKUWA NA NCHI INAITWA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.? Hawa waandishi wamekaa kuitetea...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Balozi Mchumo: Watanzania limeni Mianzi, ina soko kubwa Duniani

    INBAR welcomes Mr. Ali Mchumo as its fifth Director General Video courtesy of MAELEZO March 2019 – The International Bamboo and Rattan Organisation, INBAR, is delighted to confirm the appointment of Mr. Ali Mchumo as its new Director General. Mr. Mchumo will take up his position at the end of...
  7. JamiiForums Tanzania Utata juu ya uamuzi wa Rais Samia kuhusu fedha za mkopo wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) wa shilingi Trilioni 1.3

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatatu Januari 3, 2021 jijini Dodoma, Job Ndugai amesema katika hotuba yake aliyoitoa hivi karibuni hakukuwa na jambo la kukashifu wala kudharau juhudi za Serikali ila alikuwa anasisitiza ulipaji wa kodi na tozo mbalimbali. Bwana Ndugai amesema mwishoni...
  8. JamiiForums Tanzania Nimeamini Binadamu wa kwanza duniani alikuwa mweusi, lakini vitabu vya Dini vinachanganya. Je, ukweli ni upi hasa?

    Wanajamvi habarini na asubuhi. Naomba niandike uzi wangu wa mwisho kwa mwaka huu, lakini uzi wenyewe unanichanganya sana kwamba BINADAMU WA KWANZA KUWEPO DUNIANI ALIKUWA MWEUPE (MZUNGU) AU ALIKUWA MWEUSI TII (MWAFRICA). Juzi kati hapa niliandika uzi kumhusu mtu mweusi, lakini watu kadhaa...
  9. JamiiForums Tanzania James Web Telescope: Darubini kali kwa ajili ya kutazama anga la mbali yaondoka rasmi duniani

    Chombo anga kwa ajili ya kusaidia shughuli za kiuchunguzi katika anga la mbali James Web TELESCOPE 🔭 kimeondoka rasmi duniani na kuelekea katika eneo lake la kiuchunguzi huko katika space mile 1500000 kutokea duniani. James Web telescope ni mradi uliutumia zaidi ya trillion 22.3 na kuchukua...
  10. JamiiForums Tanzania Magereza yenye sifa mbaya zaidi duniani

    01. Gitarama Prison, Rwanda Hili ndio gereza lenye msongamano mkubwa wa wafungwa Ulimwenguni huku likichukua wafungwa wapatao zaidi ya 7,000 huku lenyewe likiwa lina uwezo wa kuchukua wafungwa 400 tuu. Wafungwa wengi ndani ya gereza hili ni washukiwa wa Mauaji ya Kimbari (Rwandan Genocide)...
  11. JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Sinodi ya 16 ya Maaskofu Katoliki Duniani: Homilia ya Askofu Mkuu Ruwaichi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam

    Askofu Mkuu Jude Thadeus Ruwaichi, wa JImbo Kuu la Dar es Salaam, akitoa homilia Usuli Tarehe 17 Oktoba 2021, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar Es Salaam Mhasham Jude Thaddeus Ruwaichi aliongoza Ibada ya Misa takatifu kwa ajili ya Uzinduzi wa Sinodi ya 16 ya Maaskofu Katoliki. Ibada hiyo...
  12. JamiiForums Tanzania Bara la nane duniani lililochukua miaka 375 kugundulika

    Ilichukua miaka 375 kwa wanasayansi kugundua bara la nane duniani, ambalo limekuwa likijificha sehemu ya wazi muda wote. Lakini bado kuna fumbo halijawekwa wazi. Ilikuwa mwaka 1642 na Abel Tasman alikuwa kwenye kazi maalumu. Baharia mzoefu wa Uholanzi mwenye sharubu zenye mbwembwe na ndevu...
  13. JamiiForums Tanzania Duniani ni kuigana tu

  14. M

    JamiiForums Tanzania Picha mbali mbali za wakristo duniani kote wakisheherekea Krismasi

    St Basilica Vatican St patrick's basilica Manhattan New YorkSri lanka Syria Kenya Moscow Urusi
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya Lugha ya Kichina katika Afrika yapokelewa kwa dhati kutokana na umuhimu wake duniani

    Na Pili Mwinyi Kwa muda mrefu sasa China imekuwa ikifungua milango yake na kukaribisha watu kutoka pande mbalimbali duniani kuja China ili kujionea kwa macho yao nchi kubwa iliyopata maendelo ya kasi kwa muda mfupi tu, na pia kuwafanya wachina kwenda nje ili kujionea na kujifunza mengi zaidi...
  16. JamiiForums Tanzania Mercedes-Benz M139 engine: Engine ya 4 cylinders yenye nguvu zaidi kuwahi kutengenezwa duniani.

    Kiukweli hapa Mercedes Benz walifanya kazi nzito. Na kweli wakaonesha umwamba wao kwamba wao ni akina nani. Hakuna engine ya 4 cylinder inayojaribu kuusogelea mziki wa hii engine hata kidogo tu. Hii engine ndiyo ambayo imefungwa kwenye Mercedes AMG A45 S. Hii engine ina 2.0L Twin Scroll...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Nchi yenye nguvu zaidi kiteknolojia duniani inawezaje kujishusha hadi kuzikandamiza kampuni za nchi nyingine?

    Katika siku ambayo Bunge la Marekani liliidhinisha uteuzi wa balozi mpya nchini China, serikali ya nchi hiyo kama kawaida yake ilitangaza kuziwekea vikwazo kampuni 34 za teknolojia za China kwa kisingizio cha “kutishia usalama wa taifa”, na kuziweka kampuni nyingine 8 za China kwenye “orodha...
  18. JamiiForums Tanzania Jeff Bezos akiwa mdogo alikataliwa na baba yake mzazi na akamrithisha kwa baba mwinginekisheria" leo ndiye tajiri namba moja duniani

    Imeandikwa na Ngusa john kutoka Facebook Ted Jorgensen, alipokuwa na umri wa miaka 17, alikutana na binti mrembo aliyekuwa akisoma naye shule moja, Jackyn Gise, aliyekuwa na umri wa miaka 16. Wakapendana. Wakaanza safari ya mapenzi. Jacklyn akanasa ujauzito. Wakati Jacklyn anashika mimba...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kama hujalielewa hili Fumbo Takatifu la Godbless Lema jipige Kofi na jiambie tu Wewe ni Zuzu Mkomavu duniani

    Ninawaza.Umewekwa mahabusu na kosa lako lina dhamana.Lakini hupewi dhamana.Mkeo anajaribu kukutafutia dhamana,inakuwa ngumu.Anaamua kufanya mapenzi na OCD unaachiwa.Mkiwa mmelala anakuambia,unajua kwa jinsi ninavyo kupenda niliamua kulala na OCD hili uachiwe? What is Love? Kaandika Ndugu...
  20. JamiiForums Tanzania Huenda binadamu ni silaha za kibaiolojia zilizoletwa duniani kama virusi wa kansa ili kuiharibu Dunia

    Tofauti Kati ya Dini Na sayansi/filosofi kuhusu Sababu ya Sisi kuwepo duniani Na Nani ametuleta mahali hapa Ni Moja: Approach ya Dini katika kuelezea Sababu yetu kuwa hapa duniani inaanzia kwenye hitimisho (Religion approach is from the conclusion) kwamba Mungu ndio ametuleta hapa duniani ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…