Shetani alikuwepo duniani kabla ya kuumbwa binadamu

mtarimbo

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
1,529
3,919
Habarini wakuu.
E bwana kuna kitu nimekifuma mahali nimeona nikilete mezani najua tutajuzana mengi.

Ni hivi kuna dhana kuwa,shetani alikuwepo duniani kabla binadamu hajaumbwa.

Kivipi,baada ya ile vita kuu mbinguni kutokea ,na shetani akashindwa ,alitupwa duniani ambapo kulikua ukiwa na pamechoka sana,yaani jangwa tupu ,sasa Mungu akapiga hesabu ,namna gani atamuaibisha huyu kiumbe ,baada ya huyu kiumbe kujinadi malaika si chochote maana aliwapa kichapo si mchezo. Mungu akaona ili kumwonesha shetani kuwa yeye huwa hategemei malaka wenye nguvu ili kumshinda bali hata kiumbe chochote dhaifu kinaweza mshinda ,maana imeandikwa si kwa uwezo wa silaha ulizo nazo bali ni kwa uwezo wa Mungu.

Basi Mungu akaumba kiumbe kimoja ambacho ni binadamu kwa kutumia udongo yaani malighafi dhaifu sana katika maswala ya uumbaji.

Baada ya kumuumba huyu binadamu sikiliza dongo alilolituma sasa .
Akamwambia nenda ukatawale viumbe vyote vya baharini,nchi kavu na angani ,hapo kumbuka na shetani yumo duniani hapo wakati Mungu anampa binadamu mamlaka hayo! .pia jiulize kwa akili yako Mungu alituumba ili tukatawale samaki,kumbikumbi,nguruwe,panya na wengineo embu funguka akili yako.
Hapo sasa ndipo ukaanza mtiti si unajua huyu kiumbe ni mtata,?

Zikapigwa wee mwishowe Mungu akamwambia shetani hutamshinda huyu kiumbe kamwe maana nitaweka Roho yangu juu yake.

Bwana hii vita bado inaendelea hadi sasa baina ya binadamu wenye Roho ya Mungu na shetani ,ndio maana duniani hakukaliki ,ukikaa kizembe unawahishwa .

Watch and pray hali so hali
 
Akamwambia nenda ukatawale viumbe vyote vya baharini,nchi kavu na angani ,hapo kumbuka na shetani yumo .

Kwanza imenigusa na pili Hilo wazo nilikuwa nalo,

Ni KWELI Mungu kumuumba binadamu kwenye asili ya uungu ndani yake ilikuwa ni kumuuaibisha shetani

Na pia hata yesu kuja duniani ni SEHEMU ya kutufundisha kujishusha na pia ilikuwa pigo Kwa shetani maana jamaa shetani alitaka ukuu ,so yesu akaja kujishusha kabisa awe sawa na wanadamu alipitia Hali zote.
 
Kuna wakati nawaza

Huenda Katika kipindi kirefu Cha maisha ya UMILELE(Un-Ending existence) na Mungu mbinguni.

Yaani nazungumzia maisha baada ya mambo yote ya kinabii kutimia.

Kama vile Kila mtu kulipwa mshahara kutokana na matendo yake duniani(yaani day of judgment),wenye dhambi wakatupwa kwenye ziwa la moto,na shetani na vikosi vyake kutupwa kwenye ziwa la moto Kwa ajili ya kuteswa na wanadamu katiki pindi kisichokuwa na mwisho( Un-Ending existence kwenye ziwa la moto ),na dunia yetu ku-kunjwa Kama karatasi na kutupwa kwenye ziwa la moto

Na baada ya Mungu kufanya mwanzo mpya wa maisha ya Watoto wake walio kuwa watiifu na kuishi maisha matakatifu waliookuwa duniani na Mungu kuishi na wanadamu Milele

Soma kitabu Cha :

ufunuo 21:3-5 ,NAYO inasema,

3 Nikasikia sauti kubwa kutoka katika kile kiti cha enzi ikisema, Tazama, maskani ya Mungu ni pamoja na wanadamu, naye atafanya maskani yake pamoja nao, nao watakuwa watu wake. Naye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao.

4 Naye atafuta kila chozi katika macho yao, wala mauti haitakuwapo tena; wala maombolezo, wala kilio, wala maumivu hayatakuwapo tena; kwa kuwa mambo ya kwanza yamekwisha kupita.

5 Na yeye aketiye juu ya kile kiti cha enzi akasema, Tazama, nayafanya yote kuwa mapya. Akaniambia, Andika ya kwamba maneno hayo ni amini na kweli.

Baadaye Sana huko kwenye maisha yasio kuwa na mwisho yaani Un-Ending existence

Huko kipindi Cha mbeleni Sana in heaven

Kuna Uwezekano wa MUNGU kuumba 1000,000,000,000,000 of UNIVERSES na zaidi[\B]

Yaani huko mbeleni Sana Mungu anaweza kuumba limwengu za anga zinginezo billions zaidi na za ajabu zaidi na kubwa Mara maelfu ya hii tulio NAYO now,ambayo inawasumbua NASA kuumiza kichwa kuitafit,i .

Na akawamilikisha wanae yaani wacha Mungu.

Ndio maana watu mnahimizwa kutenda mema kuishi Katika utakatifu maana hamjui mangapi Mungu amewaandaria,kwenye maisha ambayo ni Un-Ending existence.

Na Makao makuu ya hizo universes zote ni kwenye mbingu yake.

Hili ni wazo ambalo limenijia baada ya kuwa kwenye tafakari ya kina ya kutafakari ukuu wa Mungu baada ya kusoma

Maandiko haya mawili,

Mwanzo 1:1
1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu (universe) na nchi.

Na andiko la pili ni

Ufunuo 20:11
11 Kisha nikaona kiti cha enzi, kikubwa, cheupe, na yeye aketiye juu yake; ambaye nchi na mbingu(yaani universe) zikakimbia uso wake, na mahali pao hapakuonekana.[\B]

Kwenye andiko la kwanza

Mwanzo1:1
inamthibitisha Mungu , kuwa Kwa namna ya ajabu aliumba universe(s).

Ambayo NASA wanapoteza muda wao, na gharama zao kuitafiti.

Na

ufunuo 20:11

Tunaoneshwa kuwa hiyohiyo universe wanayoiangaikia kutwa nzima NASA , ambayo wakina Elon musk wanaisumbukia na makampuni mengine, kiutafiti.

Ajabu Kwa Mungu inampisha , yaani Kwa namna nyingine Mungu anaweza kuikunja Kama karatasi hii universe au kuipoteza hii universe Kama upepo

Na Kama vile kapeti akatandika kapeti jipya yaani akatandika universe nyingine/akaweka universe nyingine.

Vyeo na majukumu ambayo Mungu , pengine anaweza toa Kulingana na mtu alivyojitoa maisha yake Kwa Mungu,alipokuwa duniani,ndio hapo watu watajiuma na kuona jinsi walivyo utowa muda wa maisha Yao Kwa vitu visivyo vya msingi walipo kuwa duniani, Yaani walipoteza muda wao Kwa vitu vingine badala ya ibada na kukuza uhusiano wao na Mungu na kuzidi kujitakasa.
Na walio poteza muda japo ni watakatifu na wameingia mbinguni na wakicheki kuludi duniani haiwezekaniki Tena Milele yaani mahesabu ya Kila mtu akiondoka duniani ndio yanafungwa Kwa kutiwa mihuli kuwa muda wake umekwisha duniani na hatoweza Tena kuludi duniani.

Watu wanajisumbua kumiliki na kutafuta ukuu duniani na umaarufu,fedha,madini dhahabu ,utajili na kujilimbikizia Mali nyingi,
Wakati Mungu anaweza kuumba pia billions of planets kwenye billions of universe huko mbeleni na kuwapa Watoto wake walio kuwa waaminifu ,walio kuwa wakichekwa duniani na kudharauriwa walipokuwa duniani.
Na kuwapa wa miliki pamoja na bwana yesu kristo mwana wa Mungu Milele.

Wacha Mungu aitwe Mungu

Ushauri.

Utunzeni utakatifu,maana yajayo yanafurahisha.

Kuna Un-Ending existence inatusubiri Kila mmoja wetu , either uwe mbinguni au kwenye ziwa la moto , chaguo ni LAKO andaa vema maisha yako.
 
Shetani, mwanadamu, Mungu ni mjadala mkubwa sana usio na majibu ya moja kwa moja, kila wakati kunakuja nadharia hizi na ile, zote tunazipokea huwenda wakati fulani majibu rasmi juu Mungu mwanadamu na shetani yatapatikana.

Hujiulizi Kwa Nini alituweka SEHEMU moja na huyu shetani,

Nadhani hakuwa na wasiwasi, Kama angekuwa na shaka na Watoto wake halisi

aliowatenga kabla ya kuwekwa Misingi ya Ulimwengu ,basi asinge tueka duniani[\B]

Basi asinge waweka hao wanae humu duniani.
 
Kuna wakati nawaza

Huenda Katika kipindi kirefu Cha maisha ya UMILELE(Un-Ending existence) na Mungu mbinguni.

Yaani nazungumzia maisha baada ya mambo yote ya kinabii kutimia.

Kama vile Kila mtu kulipwa mshahara kutokana na matendo yake duniani(yaani day of judgment),wenye dhambi wakatupwa kwenye ziwa la moto,na shetani na vikosi vyake kutupwa kwenye ziwa la moto Kwa ajili ya kuteswa na wanadamu katiki pindi kisichokuwa na mwisho( Un-Ending existence kwenye ziwa la moto ),na dunia yetu ku-kunjwa Kama karatasi na kutupwa kwenye ziwa la moto

Na baada ya Mungu kufanya mwanzo mpya wa maisha ya Watoto wake walio kuwa watiifu na kuishi maisha matakatifu waliookuwa duniani na Mungu kuishi na wanadamu Milele

Soma kitabu Cha :

ufunuo 21:3-5 ,NAYO inasema,

3 Nikasikia sauti kubwa kutoka katika kile kiti cha enzi ikisema, Tazama, maskani ya Mungu ni pamoja na wanadamu, naye atafanya maskani yake pamoja nao, nao watakuwa watu wake. Naye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao.

4 Naye atafuta kila chozi katika macho yao, wala mauti haitakuwapo tena; wala maombolezo, wala kilio, wala maumivu hayatakuwapo tena; kwa kuwa mambo ya kwanza yamekwisha kupita.

5 Na yeye aketiye juu ya kile kiti cha enzi akasema, Tazama, nayafanya yote kuwa mapya. Akaniambia, Andika ya kwamba maneno hayo ni amini na kweli.

Baadaye Sana huko kwenye maisha yasio kuwa na mwisho yaani Un-Ending existence

Huko kipindi Cha mbeleni Sana in heaven

Kuna Uwezekano wa MUNGU kuumba 1000,000,000,000,000 of UNIVERSES na zaidi[\B]

Yaani huko mbeleni Sana Mungu anaweza kuumba limwengu za anga zinginezo billions zaidi na za ajabu zaidi na kubwa Mara maelfu ya hii tulio NAYO now,ambayo inawasumbua NASA kuumiza kichwa kuitafit,i .

Na akawamilikisha wanae yaani wacha Mungu.

Ndio maana watu mnahimizwa kutenda mema kuishi Katika utakatifu maana hamjui mangapi Mungu amewaandaria,kwenye maisha ambayo ni Un-Ending existence.

Na Makao makuu ya hizo universes zote ni kwenye mbingu yake.

Hili ni wazo ambalo limenijia baada ya kuwa kwenye tafakari ya kina ya kutafakari ukuu wa Mungu baada ya kusoma

Maandiko haya mawili,

Mwanzo 1:1
1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu (universe) na nchi.

Na andiko la pili ni

Ufunuo 20:11
11 Kisha nikaona kiti cha enzi, kikubwa, cheupe, na yeye aketiye juu yake; ambaye nchi na mbingu(yaani universe) zikakimbia uso wake, na mahali pao hapakuonekana.[\B]

Kwenye andiko la kwanza

Mwanzo1:1

inamthibitisha Mungu , kuwa Kwa namna ya ajabu aliumba universe(s).

Ambayo NASA wanapoteza muda wao, na gharama zao kuitafiti.

Na

ufunuo 20:11

Tunaoneshwa kuwa hiyohiyo universe wanayoiangaikia kutwa nzima NASA , ambayo wakina Elon musk wanaisumbukia na makampuni mengine, kiutafiti.

Ajabu Kwa Mungu inampisha , yaani Kwa namna nyingine Mungu anaweza kuikunja Kama karatasi hii universe au kuipoteza hii universe Kama upepo

Na Kama vile kapeti akatandika kapeti jipya yaani akatandika universe nyingine/akaweka universe nyingine.

Vyeo na majukumu ambayo Mungu , pengine anaweza toa Kulingana na mtu alivyojitoa maisha yake Kwa Mungu,alipokuwa duniani,ndio hapo watu watajiuma na kuona jinsi walivyo utowa muda wa maisha Yao Kwa vitu visivyo vya msingi walipo kuwa duniani, Yaani walipoteza muda wao Kwa vitu vingine badala ya ibada na kukuza uhusiano wao na Mungu na kuzidi kujitakasa.
Na walio poteza muda japo ni watakatifu na wameingia mbinguni na wakicheki kuludi duniani haiwezekaniki Tena Milele yaani mahesabu ya Kila mtu akiondoka duniani ndio yanafungwa Kwa kutiwa mihuli kuwa muda wake umekwisha duniani na hatoweza Tena kuludi duniani.

Watu wanajisumbua kumiliki na kutafuta ukuu duniani na umaarufu,fedha,madini dhahabu ,utajili na kujilimbikizia Mali nyingi,
Wakati Mungu anaweza kuumba pia billions of planets kwenye billions of universe huko mbeleni na kuwapa Watoto wake walio kuwa waaminifu ,walio kuwa wakichekwa duniani na kudharauriwa walipokuwa duniani.
Na kuwapa wa miliki pamoja na bwana yesu kristo mwana wa Mungu Milele.

Wacha Mungu aitwe Mungu

Ushauri.

Utunzeni utakatifu,maana yajayo yanafurahisha.

Kuna Un-Ending existence inatusubiri Kila mmoja wetu , either uwe mbinguni au kwenye ziwa la moto , chaguo ni LAKO andaa vema maisha yako.
Mkuu uhakika umenikosha wangekua magreat thinkers 500,000 tuu dunia ingebadilika kabisa
 
Naongezea tuu mfano jiulize wengi hawajui thamani ya kitu uzima wa milele yaani hakuna kufariki na kupotea kabisa.
Kwa technology ya Mungu ilivyokubwa baada ya miaka trillion 900 ijayo ambao watakua wametusua mbingu sijui watakua kwenye level gan ,maana sijui kama kutakua na chembechembe ya maisha duni kama haya tunayoishi ,
Pili kuhusu kuchomwa kwa walioasi ipo dhana eti watachomwa milele.aisee kasomeni maandiko mfano mmoja tuu kuna wakati Yesu aliwaambia wanafunzi wake mwogopeni yeye awezaye kuangamiza mwili na roho katika jehanamu ya milele,ni hivi ule moto ni wa milele ,ila kitupwacho huko hakidumu kinapotezwa kabisa wala mahali pake hapatakuwepo.
Kwa hiyo manabii wengi wenye uelewa mdogo na waongo wamekua wakipindisha ili Mungu aonekane katili ,Yaani uingie jehanamu uchomwe milele usife basi hiyo siyo jehanamu hiyo ni kuzimu.ukiingia kule unapoteza uhai wote kuanzia mwili hadi roho.
 
Tafuta kitabu kinaitwa before Adam ambacho kinaelezea maisha ya Adam kabla na baada ya kuumbwa na harakati zake akiwa bustani ya Edeni, japo Kanisa imekataa kukikubali ila kilipatikana kwenye mojawapo ya machapisho ya kale.

Kitabu Kingine kinaitwa

Bible through another eyes

Kitafute

Viko vitabu vingi tu

Ni Nia tu yakujua

Ila mwisho wa mambo yote Kila kitu kitawekwa wazi

Na

Ndipo hapo watu watatambuwa na kukiri kuwa hakika hukumu za Mungu ni za KWELI na za haki
 
Hivi mnakumbuka kwani imea ndikwa

Vita si vyenu; inamaana vita ni vyake
Vaeni silaha za Mungu;
Vita vyenu si vya kimwili,Bali vya kiroho
Miili yenu ni hekalu
Si Mimi ni naye ishi Bali kristo/Mungu ndani yangu
Na Kama walivo na utatu Yani Kila mmoja Katika utatu ule anaishi ndani ya mwingine, pia binadamu kwakuwa na sisi ni asili Yao ule utatu,tumeingizwa kwenye ule mfumo ndio maana akasema yesu kuwa tutafanya Makao ndani ya mwamini

Hivi ukiunganisha doti hizo ushaelewa hiyo vita ni nani anae pigana dhidi ya shetani

Tafakari,
Huna haja ya kuogopa ishi utakatifu huku ukimtumainis mwenye vita yake na shetani

Naweza nikasema vita hii ni vita kati ya Mungu na vikosi viovu,hakutaka kwenda direct kwasababu anataratibu zake,

Hii yote nadhani ni kumfedhehesha shetani
 
Habarini wakuu.
E bwana kuna kitu nimekifuma mahali nimeona nikilete mezani najua tutajuzana mengi.

Ni hivi kuna dhana kuwa,shetani alikuwepo duniani kabla binadamu hajaumbwa.

Kivipi,baada ya ile vita kuu mbinguni kutokea ,na shetani akashindwa ,alitupwa duniani ambapo kulikua ukiwa na pamechoka sana,yaani jangwa tupu ,sasa Mungu akapiga hesabu ,namna gani atamuaibisha huyu kiumbe ,baada ya huyu kiumbe kujinadi malaika si chochote maana aliwapa kichapo si mchezo. Mungu akaona ili kumwonesha shetani kuwa yeye huwa hategemei malaka wenye nguvu ili kumshinda bali hata kiumbe chochote dhaifu kinaweza mshinda ,maana imeandikwa si kwa uwezo wa silaha ulizo nazo bali ni kwa uwezo wa Mungu.

Basi Mungu akaumba kiumbe kimoja ambacho ni binadamu kwa kutumia udongo yaani malighafi dhaifu sana katika maswala ya uumbaji.

Baada ya kumuumba huyu binadamu sikiliza dongo alilolituma sasa .
Akamwambia nenda ukatawale viumbe vyote vya baharini,nchi kavu na angani ,hapo kumbuka na shetani yumo duniani hapo wakati Mungu anampa binadamu mamlaka hayo! .pia jiulize kwa akili yako Mungu alituumba ili tukatawale samaki,kumbikumbi,nguruwe,panya na wengineo embu funguka akili yako.
Hapo sasa ndipo ukaanza mtiti si unajua huyu kiumbe ni mtata,?

Zikapigwa wee mwishowe Mungu akamwambia shetani hutamshinda huyu kiumbe kamwe maana nitaweka Roho yangu juu yake.

Bwana hii vita bado inaendelea hadi sasa baina ya binadamu wenye Roho ya Mungu na shetani ,ndio maana duniani hakukaliki ,ukikaa kizembe unawahishwa .

Watch and pray hali so hali
Upo ukweli mwingi,ila umezidisha mizaha.
 
Kwanza imenigusa na pili Hilo wazo nilikuwa nalo,

Ni KWELI Mungu kumuumba binadamu kwenye asili ya uungu ndani yake ilikuwa ni kumuuaibisha shetani

Na pia hata yesu kuja duniani ni SEHEMU ya kutufundisha kujishusha na pia ilikuwa pigo Kwa shetani maana jamaa shetani alitaka ukuu ,so yesu akaja kujishusha kabisa awe sawa na wanadamu alipitia Hali zote.
Hiki kisa hakuna ukweli,, hata wakati kina ayubu wapo duniani, shetani alikua akija duniani na kurudi mbinguni kukaa na kujadili na mungu,
Siku moja shetan akurudi toka duniani, mungu akamuuluza "shetani unatoja wapi mida hii?"
Shetani akamjibu, "natoka duniani kuzulura"
Mungu akauliza, "unamuonaje mtu wangu Ayubu, umeona alivyo na msimamo"?
Shetani akajibu , "hamna kitu pale, niruhusu nimjaribu........
 
YOTE KWA YOTE SHETANI NI NYOKA MDOGO SANA KWA MUNGU
Mungu alimuelekeza moses, achonge sanamu ya NYOKA, na wayahudi waliambiwa wamtizame nyoka yule alieangikwa kwenye mti(msalabani)
Ili wapate uponyaji,
Jehova(yesu),alitaka kujifananisha na mungu, akatupwa duniani,
Katika umbile la nyoka, akajaribu kumrubuni hawa,
 
Habari wanaJF,

Kujibu mada - inabidi nikubali kwa sababu zangu zifuatazo:

1. Kimantiki, Ibilisi alimtokea Hawa akiwa bustanini na hakuna hadithi inayosema alianguka toka angani siku hiyo... hivo tayari alishakuwepo hapa duniani.

2. Ile hadithi ya Cain baada ya kumuua Abeli... aliogopa kuuawa na kina nani kule alikofukuzwa kwenda?

* Tukumbuke, Tunaposoma Biblia na kukumbana na neno 'siku moja' tunajisahau kwamba 'siku moja' kwa Mungu sio kama siku moja tunavoielewa. Tunaambiwa siku 1 ya Mungu ni sawa na miaka 1000 ya muda wetu. Kwangu kimantiki, hata tukibishana ni siku ngapi, bado kuna ukweli fulani, manake Adama na Hawa wasingekuta bustani ambayo tayari imeshakuwa na miti, matunda, nk.

* Dini ni eneo moja ambalo shetani kaliteka kiasi kwamba tulio wengi tunalishwa upotofu mwingi hadi wengi tumepoteza fahamu za kuelewa mistari ya Biblia na maana zake kamili. Kwa mfano leo hii bongo mwambie mkristo kusali jumapili kuliletwa duniani na warumi kupingana na siku alioamrisha Mungu - Jumamosi.
 
Back
Top Bottom