duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Bunge la Urusi lamruhusu Rais kupeleka majeshi mahala popote Duniani

    Bunge la Urusi limempa Rais wa n hi hiyo nguvu ya kupeleka majeshi yake mahala popote Duniani pale itakapo hitajika. Bunge hilo limefikia uamuazi wake Leo 22.02.22 siku moja mara baada ya Urusi kuyatambua majimbo yaliyokua yanapigania kujitenga na Ukraine. Kwa mtazamo wangu hii nayo ni moja ya...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kupanua mauzo ya bidhaa kwa China kunaifanya Afrika kuwa kanda ya kuvutia katika ukuaji wa uchumi na biashara duniani

    Kulingana na takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Idara ya Forodha ya China, mwaka 2021 kiwango cha biashara kati ya China na Afrika kiliongezeka kwa 35% ikilinganishwa na mwaka uliotangulia, na kufikia dola za Kimarekani bilioni 254.3, kiasi ambacho kimezidi kile cha kabla ya kutokea kwa janga...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wengi wa wakimbizi duniani wanatoka katika nchi 5, Afghanistan, Myanmar, Sudan Kusini, Syria na Venezuela

    Wengi wa wakimbizi duniani wanatoka katika nchi 5, Afghanistan, Myanmar, Sudan Kusini, Syria na Venezuela. Na nchi hizi ndizo zimo hatarini zaidi na athari za mabadiliko ya tabianchi. =========== Since the 1990s, we have become increasingly committed to protecting the environment and of the...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Siku ya Lugha Mama Duniani: 40% ya watu hawatumii Lugha wanazozielewa katika kujifunza

    Februari 21 ni Siku ya Kimataifa ya Lugha Mama ambayo ilianza kuadhimishwa 2000 ili kudumisha Utamaduni na Amani kupitia Lugha UNESCO wamesema hadi sasa 40% ya watu duniani hawatumii Lugha wanazozielewa kwenye kupata elimu. Jamii hizo zimelazimika kufahamu Lugha zaidi ya moja Kwa 2022 Siku ya...
  5. comte

    JamiiForums Tanzania Afrika na Asia zaliokoa kanisa Katoliki duniani na janga la uhaba wa wito wa upadri

    According to Vatican statistics released this month, there were 410,219 Catholic priests in the world in 2020, down 4,117 from the previous year, the last available data. The steep drops in North America and Europe were offset by increases of new priests in Africa and Asia. --- ROME (AP) — The...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Marekani inadaiwa kuchukua pesa za Waafghanistan ikitetea haki duniani

    Rais Joe Biden wa Marekani hivi majuzi alitia saini amri ya rais kuhusu fedha ya Benki Kuu ya Afghanistan iliyozuiliwa nchini Marekani, na kutangaza kuwa fedha hizo, dola bilioni 7 za Kimarekani zitagawanywa katika sehemu mbili: nusu itatumika kuwalipa fidia wahasiriwa wa tukio la Septemba 11...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UNFPA: Wasichana milioni 12 duniani huolewa kabla ya kufika miaka 18

    Umoja wa Mataifa unaoshughulika na Idadi ya Watu ‘UNFPA’ umesema wasichana milioni 12 duniani huolewa kabla ya kufikisha miaka 18 hali inayowaweka katika manyanyaso na hatari ya magonjwa Vifo vya uzazi vimetajwa kuwa vingi kwa wasichana wa umri kati ya miaka 15 hadi 19 kwa kuwa viungo vyao huwa...
  8. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Duniani raha ya kweli wanayo Wanawake

    Hii ipo kimtazamo, pamoja na hofu ya u single mother, umri kwenda, hofu kukosa ndoa au kuolewa, wanawake wanabaki kutawala dunia ya raha na furaha, wengi waume za watu wanaenjoy na masingle baby na masingle mother na ufariji waupatao huzidi wake wa ndoa, wanawake wamejaliwa kufurahi kucheka...
  9. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Mipaka ya kustaajabisha duniani

    Duniani kuna mipaka ya ajabu sana ambayo wengine wetu huwanda hatuielewi. Mipaka hii ina historia zake, leo hii nitaweka ramani za baadhi ya mipaka hiyo ya ajabu, halafu siku nyingine nitajadili historia za mipaka hiyo. kama unaifahamu mipaka mingine ya ajabu, tufahamishe hapa. Kuna mipaka...
  10. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Nchi masikini ya mwisho Duniani wants to save the World!

    Maajabu, Tanzania ni moja kati ya nchi masikini zaidi Duniani, inaishi kwa handouts, raisi wake anafunga safari kusafiri Mabara kutafuta mkopo wa dola milioni 100 USD, hapo hapo inafanya kila inalowezekana kuokoa Dunia isiangamie na climate change, hii ni nchi ambayo mchango wake kwenye CO2...
  11. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Picha 10 maarufu zaidi duniani: nini kipo nyuma ya umaarufu huu?

    Ni picha zilizochorwa na wasanii tofauti tofauti kwa nyakati tofauti kisha kufanyiwa copy na kuuzwa sehemu mbalimbali duniani. Picha hizi kila mwaka zinaingiza mamilioni kwenye majumba ya maonyesho ya sanaa. Nini sababu hasa inayowavutia watu kote duniani 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Madaraka yanapita na Binadamu tunapita hapa Duniani

    Kichwa Cha habari kinajieleza hapo juu, ila nimeandika kwa msukumo fulani kutoka awamu ya tano ya uongozi katika nchi yetu. Wakati wa awamu ile walitokea watu watukutu ambao hawakujali haki za wenzao na Kuna wakati waliwafanyia binadamu wenzao vitendo unaweza kuhisi sio binadamu wenzao. Kifupi...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Kiwango cha Demokrasia kinaendelea kushuka Duniani

    Ripoti ya kila mwaka ya Faharasi ya demokrasia iliyopishwa na shirika la Economist imeonyesha kuwa demokrasia iliendelea kushuka katika mwaka wa 2021. Ripoti hiyo imesema kuwa kwa mwaka uliopita asilimia 45.7 ya watu ulimwenguni waliishi katika aina fulani ya demokrasia, ikiwa ni kiasi cha...
  14. Little brain

    JamiiForums Tanzania Simba wanavyozinyonga timu pinzani wanasahau malipo ni hapa hapa duniani.

    wakati mnashangilia points za mchongo mnazopewa bila jasho kumbukeni timu mnazozifanyia uchafu hamjacheza nazo kwao. Prison,Namungo,Coastal,mbeya kwanza,geita Malipo ni hapa hapa hatutaki kusikia mambo ya bahasha wala GSM.
  15. vivaforever

    JamiiForums Tanzania Maeneo hatari kutembelea duniani, hasa kwa watalii

    Duniani kuna baadhi ya maeneo ukiyafikiria tuu huwa yanakutamanisha sana kiasi ukatamani siku uende kuyatembelea.. lakini kiuhalisia ni maeneo hatarishi zaidi hapa Duniani. Kiuhalisia Dunia ina maeneo mengi ambayo ni hatari kuyatembelea lakini kwenye uzi huu nitayaongelea machache tuu ambayo...
  16. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania Knights of Templar: Moja ya makundi hatari duniani

    Kuna makundi mengi ya siri ambayo ni hatari sana kama KNIGHTS OF MALTA, KNIGHTS OF EULOGIA (SKULL AND BONES), KNIGHTS OF COLUMBUS, KNIGHTS OF MALTA Japo Kundi hatari zaidi ni The Jesuits ambao wanacontrol the Knights Templar, Knights of Columbus and the Knights of Malta. CIA, FBI, NSA, ASIO...
  17. Chief nduna songea

    JamiiForums Tanzania Anna na Lucy DeCinque ni mapacha "waliokithiri" kwa kufanana

    Anna na Lucy DeCinque ni mapacha "waliokithiri". Dada hao wenye umri wa miaka 35 kutoka Perth, Australia, wanajiona kuwa "mtu mmoja" na wanasisitiza "kufanana" kwa kila njia - ikiwa ni pamoja na mchumba wao wa pamoja mwenye umri wa miaka 37, Ben Byrnes, ambaye wanasisitiza kulea naye watoto...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Aibu: TFF washangilia ranks za IFFHS huku wakiihujumu Simba iliyosababisha yote, makanjanja yakwepa kusema Simba ya 7 Afrika 98 duniani

    Huwezi amini ....yaani billion moja ya udhamini mwenza kwa mwaka imewatoa roho na imani na bila aibu leo wanashehereka ranks za ligi bora iliyo chini ya Tff ya mchongo na bodi chakavu ya ligi. Ni hawahawa wanafiki walimzuia siingie uwanjani CEO wa team iliyosababisha ranks na heshima kwa nchi...
  19. Emma.

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama wa JamiiForums - Jikeshupa amefariki dunia

    Tumepokea kwa masikito makubwa taarifa za kifo cha mwenzetu jikeshupa ambaye alikuwa mwanachama wa JF. Tunatoa Poleni nyingi kwa Familia yake pamoja na marafiki zake na ndugu na Jamaa ambao wameguswa na huu msiba. jikeshupa amefariki asubuhi ya leo katika Hospital ya KCMC Mkoani Kilimanjaro...
  20. KENZY

    JamiiForums Tanzania Mwanadamu ata-survive kwa muda gani kama kukitokea janga hatari duniani kote..?

    Wakati wowote janga lolote baya linaweza kutokea na kutukumba hapa duniani,kila taifa na jamii itapambana kwa kadri iwezavyo. Najua akina sie huku hatutachukua muda tutapukutika kama pori lililoshika moto!. Mfano wa majanga hayo yanayoweza kutokea ni kama dunia kuangukiwa na kimbuka kikubwa...
Back
Top Bottom