markp
Senior Member
- Sep 26, 2013
- 181
- 299
Katika taarifa yao ya habari wametoa wanayoita orodher ya MASPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
Na kwa ujinga uliotukuka wakaanzia orodha hiyo tangu mwaka 1953. SASA UNAJIULIZA HUO MWAKA KULIKUWA NA NCHI INAITWA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.?
Hawa waandishi wamekaa kuitetea serikali mpaka wanasahau mambo ya muhimu ya kazi zao. Uzembe sana. Television ya taifa haijui hata historia vilaza sana