Ni tukio lipi liliwahi kukukuta ambalo ilibaki kidogo kuaga dunia, kufungwa, kupata ajali, n.k

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,032
Binafsi nakumbuka kuna siku mvua kali sama ilikuwa inanuesha, siku hio ilikuwa ni mwezi wa 11 ndio siku ya kwanza mvua inanyesha kwa huo mwaka na kiukweli ilinyesha acha kabisa.

Sasa nimefika pale kwenye mataa tunapishana na magari kibao, ukungu ukatanda kwenye kioo aisee, sioni kitu mbele na gari inatembea, nilipanic sana, sijui hata kitu gani kilitokea kilichonifanya nisiwashe wiper, yani hadi leo nikikumbuka nashangaa sana kiukweli, basi kwa makadirio yangu nikakunja kona kwa kukisia maana barabara nilikuwa nimeizoea, hapo kumbuka kuna magari tunapishana nayo, dah aisee yani nilikuwa naona naenda kufa kabisa.

Mungu ni mkubwa makadirio niliyofanya nikaingia sehemu ambayo ni kama stendi, nilifungua kioo nikaona nipo sehemu salama, kiukweli nilinusurika kupata ajali chupu chupu, ila sijui hadi leo nikikumbuka kwanini nilisahau kuwasha wiper, hata sielewi.

Mkasa wa pili.

kuna sehemu flani kuna ghorofa lilikuwa linajengwa niliingia kukojoa maama nilibanwa sana, nilipomaliza nikaanza kupiga picha lile jengo, nilidakwa pale na walinzi wa kampuni, nikaambiwa ili niachiwe inabidi ni fomati simu yote, nikaleta ubishi ubishi nikaambiwa simu niende kuichukua ofisi yao kuu, nilifika kule kesi ikawa nzito wakasema mimi gaidi na mwizi, waliita gari ya polisi lakini haikufika, ikabidi wanipige pingu wanipeleke wenyewe, kufika kule nikakabidhi kila kitu nikawekwa ndani sero ya central, ndio mara ya kwanza kuingia central hapo, nilijipa moyo kwamba kesi itaisha tu fasta kesho yake ntawaambia mimi nlienda kukojoa tu, Nilikuwa sijampigia simu mama yangu kama wiki 2 hivi ila Mungu ni mkubwa hio siku alinipigia simu mda wakati simu yangu inapelekwa huko kwenye upelelezi ndio afande akamjuza kilichotokea, mzee ana marafiki wengi akaanza kunihangaikia nikabadilishiwa hadi chumba nikaenda kwenye chumba cha watu wawili na kesho yake saa 4 nlitoka, ile kampuni nayo waliyonikamata yule mkuu wao kumbe walikuwa wanajuana na mzee, alnisisitiza sana nikipata hali kama hio tena nisizubae bali nijulishe hata watu wa karibu hata kwa meseji lasivyo hali ingekuwa si hali, bila simu ile ya mama nilikuwa napelekwa mahabusu aisee, huko ningekaa hata miaka 10....
 
Mshukuru Mungu kwa kukusaidia
 
Kwenye gari chai!!!!
 
Walevi mbwa tunaruhusiwa kukoment au sisi NI special kundi tufungulieni TU thread yetu nyingine heavyweight maana asee pombe sio chai kmnyk zako pombe uliyonitendea NI sheeeda.
 
Back
Top Bottom