duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jeff Bezos akiwa mdogo alikataliwa na baba yake mzazi na akamrithisha kwa baba mwinginekisheria" leo ndiye tajiri namba moja duniani

    Imeandikwa na Ngusa john kutoka Facebook Ted Jorgensen, alipokuwa na umri wa miaka 17, alikutana na binti mrembo aliyekuwa akisoma naye shule moja, Jackyn Gise, aliyekuwa na umri wa miaka 16. Wakapendana. Wakaanza safari ya mapenzi. Jacklyn akanasa ujauzito. Wakati Jacklyn anashika mimba...
  2. M

    Kama hujalielewa hili Fumbo Takatifu la Godbless Lema jipige Kofi na jiambie tu Wewe ni Zuzu Mkomavu duniani

    Ninawaza.Umewekwa mahabusu na kosa lako lina dhamana.Lakini hupewi dhamana.Mkeo anajaribu kukutafutia dhamana,inakuwa ngumu.Anaamua kufanya mapenzi na OCD unaachiwa.Mkiwa mmelala anakuambia,unajua kwa jinsi ninavyo kupenda niliamua kulala na OCD hili uachiwe? What is Love? Kaandika Ndugu...
  3. Huenda binadamu ni silaha za kibaiolojia zilizoletwa duniani kama virusi wa kansa ili kuiharibu Dunia

    Tofauti Kati ya Dini Na sayansi/filosofi kuhusu Sababu ya Sisi kuwepo duniani Na Nani ametuleta mahali hapa Ni Moja: Approach ya Dini katika kuelezea Sababu yetu kuwa hapa duniani inaanzia kwenye hitimisho (Religion approach is from the conclusion) kwamba Mungu ndio ametuleta hapa duniani ili...
  4. M

    Kama kauli hii kaisema Mzee Bulembo, naomba wana CCM watunukiwe tuzo ya unafiki uliotukuka

    "Serikali ya Hayati Dkt. Magufuli ilitengeneza Maadui wengi na nchi za Kimataifa kupitia Waziri Kabudi ila Serikali ya Rais wa sasa Samia imerejesha Mahusiano mema na Mataifa mbalimbali kupitia Waziri Mulamula" Mzee Bulembo Kada Mwandamizi wa CCM na aliyewahi pia kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya...
  5. CPJ: Idadi ya waandishi wa habari waliofungwa duniani yaongezeka

    Kamati ya kutetea waandishi habari CPJ imesema idadi ya waandishi habari waliofungwa duniani mwaka huu imefikia kiwango cha juu huku China na Myanmar zikiropotiwa kuwaweka gerezani wanahabari 293. Katika ripoti yake ya kila mwaka, kamati hiyo ya kutetea waandishi habari imesema waandishi habari...
  6. Forbes yamtaja Rais Samia Suluhu Hassan katika Wanawake 100 wenye nguvu zaidi duniani mwaka 2021. Yupo nafasi ya 94

    Samia Suluhu Hassan became Tanzania's sixth president and first-ever female leader in March 2021, following the death of President John Magufuli. She rose to the position from vice-president, a role to which she was first elected in 2015. In September, she became just the fifth-ever female...
  7. Mgogoro wa Tanzania na Malawi kuhusu Mpaka katika Ziwa Nyasa umeishia wapi?

    Habari wakuu, inaonekana mara ya mwisho nchi zetu zilikutana mwaka jana kujadiliana kuhusu mgogoro wa mpaka wa ziwa nyasa, na kweli kwa mwendo huu inaonekana mgogoro huu hautapata ufumbuzi mpaka mwisho wa dunia na wote tutakufa masikini wakati kuna utajiri mkubwa wa mafuta kwenye ziwa hilo, sasa...
  8. Chongolo: Popote Duniani muda wa porojo za siasa ni kipindi cha kampeni pekee

    "...hata huko kwenye Nchi vinara wa demokrasia huwa wanafanya mikutano ya hadhara na kupiga porojo za siasa kipindi cha kampeni za uchaguzi pekee na baada ya hapo aliyeshinda huachiwa aendeshe Nchi." "...sasa huu utamaduni wa eti kila wakati wanasiasa wafanye siasa hata huko Duniani haupo na...
  9. L

    Wadau wanastahili kujivunia kwa kutangazwa siku ya Kiswahili Duniani lakini juhudi za kukikuza zinahitajika zaidi

    Na Pili Mwinyi Kiswahili ni lugha ambayo kwa sasa imejibebea umaarufu mkubwa sana duniani ikiwa ni mojawapo ya lugha zinazotumiwa zaidi na watu wa Afrika. Kwa makadirio kina wazungumzaji zaidi ya milioni 200 katika nchi nyingi za Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika na hata Mashariki ya Kati...
  10. Dkt. Joseph Kasheku Msukuma: Sasa nina hadhi kubwa duniani kisiasa. Naweza kuitwa nchi yoyote kuwa msuluhishi wa kisiasa

    "PhD ya Siasa na Uongozi ni Shahada kubwa sana kimataifa, kwa kuwa Taifa lolote linaongozwa na siasa pamoja na uongozi. Mimi kwa sasa naweza kuitwa Marekani, Liberia, India kama kuna mgogoro na kwenda kusuluhisha, hizi PhD ni chache sana duniani" Dkt.Joseph Msukuma
  11. Adhabu ya kunyongwa hadi kufa ndio Siri ya uchumi mkubwa duniani

    Mataifa ambayo uchumi wao uko juu sana duniani wana adhabu katili sana kwa watu wao wanaobainika kuhujumu uchumi kunakosababisha mtu afikirie mara mbili kabla ya kuiba mali ya umma. Hapa kwetu adhabu ya kumtia mimba mtoto wa shule ni kubwa kuliko aliyeiba hela za umma kwa mabilioni. Nani...
  12. B

    Batilda Buriani amewaongoza wananchi Mkoa wa Tabora katika kuadhimisha siku ya UKIMWI

    BALOZI BATILDA AONGOZA SIKU YA UKIMWI DUNIANI ILIYOADHIMISHWA KIMKOA WILAYANI SIKONGE. Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi. Dkt. Batilda Buriani amewaongoza wananchi Mkoa wa Tabora katika kuadhimisha siku ya UKIMWI Duniani Kata ya Ipole Wilayani Sikonge na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali...
  13. Fahamu Vivinjari (Browsers) maarufu zaidi duniani

    - Kivinjari (Browser) ni programu ya Kompyuta au Simu ambayo hufanya kazi ya kupangilia, kuleta na kuonesha maudhui kutoka kwenye tovuti. Unapobonyeza kiungo (link), unatumia kivinjari kutembelea tovuti hiyo. - Takwimu kutoka tovuti ya Global Stats Counter zinaonesha kuwa kivinjari cha Chrome...
  14. Tanzania yaongoza Kikao cha Baraza la Uendeshaji la Umoja wa Posta Duniani

    Kikao cha Baraza la Uendeshaji la Umoja wa Posta Duniani (Universal Postal Union Postal Operations Council) kimeendelea leo tarehe 24 Novemba,2021 jijini Berne,Uswis ambapo Tanzania Imeongoza kikao cha Kamati namba mbili ya Baraza hilo inayohusu Huduma za Posta na Biashara Mtandao (Physical...
  15. Tarehe 7 Julai rasmi siku ya Kiswahili duniani

    TAREHE 7 JULAI RASMI SIKU YA KISWAHILI DUNIANI 1/2 Mkutano Mkuu wa 41 wa #UNESCO umeipitisha tarehe 7 Julai ya kila mwaka kuwa Siku ya Kiswahili Duniani. Azimio hilo limepitishwa na nchi zote wanachama wa UNESCO bila kupingwa, leo tarehe 23 Novemba, 2021, Paris nchini Ufaransa. Tuko pamoja; na...
  16. Tanzania yaishawishi UNESCO kukienzi na kukieneza Kiswahili Duniani

    Mkutano Mkuu wa 41 wa UNESCO umeipitisha tarehe 7 Julai ya kila mwaka kuwa Siku ya Kiswahili Duniani, azimio hilo limepitishwa na Nchi zote Wanachama wa UNESCO bila kupingwa leo November 23, 2021, Paris nchini Ufaransa. MY TAKE; Kenya msije mkasema hatukuwaambia kwamba Tanzania tukiamua Jambo...
  17. Wanadamu wameipa pesa kipaumbele kuliko kitu chochote hapa duniani

    Habari za mchana natumaini nyote wazima kbsàa poleni na tabu za maji,umeme na joto Kali kwa wale wakazi wa Dar. Bila kupoteza muda tuende kwenye mada yetu ya leo ndugu zangu. Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa au naweza sema ni wimbo wa Taifa kila Mtu anaimba TAFUTA PESA ,TAFUTA...
  18. Mfahamu Chandra Bahadur Dangi mwanaume mfupi zaidi duniani aliyewahi kuingia kwenye rekodi ya Guinness

    Chandra Bahadur Dangi (30 November 1939 – 3 September 2015) (Nepali: चन्द्रबहादुर डाँगी, pronounced [t͡sʌndrʌˈbʌɦadur ˈɖãŋɡi], or [t͡sʌndraˈbaːdur ˈɖãŋɡi] alikuwa mwanamume wa Kinepali ambaye alikuwa mwanamume mfupi zaidi katika historia iliyorekodiwa ambaye kwake kuna ushahidi usioweza...
  19. Kinyaa penati ya Yanga vs Namungo

    nimeita kinyaa kwa sababu ya maamuzi yenye kinyaa. Bila aibu...refa anaamua penati kabisa hata akili ya mtoto mdogo inakataa. Sidhani kama ni hakuona ukweli wa namna beki alivyocheza....refa hakua mbali na tukio... Hata kama refa alisubiria tukio hilo si kwa kwa uwazi ule. Azam Tv wamewekeza...
  20. Mfahamu Robert Pershing Wadlow binadamu mrefu aliyewahi kuishi hapa duniani

    Robert Pershing Wadlow Kuzaliwa (Februari 22, 1918 Kufariki 15 Julai 1940), anayejulikana pia kama Jitu la Alton na Jitu la Illinois, alikuwa mwanamume wa Marekani ambaye alikuwa mtu mrefu zaidi katika historia iliyorekodiwa ambaye kwake kuna ushahidi usioweza kukanushwa. Alizaliwa na kukulia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…