Hii Nairobi imeshakuwa global city. Nairobi sasa hivi inahost UN Biodiversity conference na watu wanaohudhuria hii conference wanatoka katika nchi zote duniani.
Crunch Talks Kick Off On Global Pact To Protect Nature
Negotiators from almost 200 countries will begin crunch biodiversity talks in...
Tarehe 21 Juni ni Siku ya Twiga Duniani. Twiga ni mmoja wa wanyama wanaopendwa zaidi na watu barani Afrika. Lakini katika miaka ya hivi karibuni, kupungua kwa wanyama hao kumesababisha wasiwasi.
===
Happy World Giraffe Day! Did you know about the five different species of giraffes present on...
SIRI Iliyojificha Kwenye Ganja , Kaya , Bangi , Mmea Wa Uzima Inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani Aswa Africa na Kuruhusiwa Matumizi Ya Pombe na Sigara...
Habari yako mpenzi msomaji wa makala hii , natumai wewe ni mzima wa afya kabisa,na kama ni mgonjwa usiwaze sana mungu...
Takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) za mwaka 2021 ambazo pia zinatumuka mpaka sasa zinaonesha kuna idadi ya watu milioni 89.3 ambao wamekimbia makazi yao, kati yao watu milioni 27.1 ni wakimbizi, pia nusu ya hao Wakimbizi wana umri chini ya miaka 18.
Watu...
Juni 19 kila mwaka watu wote duniani huadhimisha siku ya ugonjwa wa Sickle Cell, unaosababishwa na mabadiliko ya chembe nyekundu za damu
Kauli mbiu ya mwaka huu ni Shine The Light On Sickle Cell, ikikusudia kujengea watu uelewa na ufahamu juu ya ugonjwa huu, ikiwemo kusahihisha fikra potofu...
Kulingana na Ripoti kutoka @FortuneMag imeeleza kuwa billionea namba moja duniani Elon Musk anakabiliwa na kesi ya Dola Bilioni 258 kwa madai ya kuwa sehemu ya mpango wa piramidi ya cryptocurrency ya LEGO, Ambapo yeye pamoja na kampuni zake za Space X na Tesla, wanashtakiwa na Keith Johnson...
Reli kati ya Hotan na Ruoqiang nchini China ambayo ni reli ya kwanza ya mzunguko jangwani ilianza kutumika rasmi jana..
Reli hiyo iko kwenye ukingo wa kusini wa Jangwa la Taklimakan, ambalo ni jangwa la pili kwa ukubwa duniani linalotembea, ikianzia mji wa Hotan upande wa magharibi hadi wilaya...
Ebu tuache kubuni vitu visivyokuwepo, ivi ni kweli kabisa huyu mdada mzuri kiasi hiki anaishi?. Basi kama ni kweli maisha anayopitia niyakero sana maana kila hatua mbili Gari zitagongana kila mtu akijitahidi kuweka dau lakuchukua rasilimali isiyohamishika.
Dah [emoji22], hii dunia inanipita...
Katika jitihada za kumrejesha duniani mwana anga wa kimarekani Mark Vande Hei toka anga la mbali, Marekani imelazimika kulipa ruble bilioni 2 kwa Urusi ili Urusi ikamchukue mwana anga huyo kwa kutumia chombo cha Urusi.
Pro-NATO huwa wanatokwa povu hapa JF wakijitahidi kutaka kutuaminisha eti...
Habarini za usiku wapendwa
Kama jinsi kichwa cha habari kinavyo jieleza binafsi naona njia pekee ya kuondoa ukimwi duniani ni kuondolewa kwa dawa za kufubaza virusi au kwa jina jingine ARV kwasababu watu wanatumia hizo dawa wanakua na mionekano mizuri kisha wanaendelea kusambaza kwa wengine...
1. JOHN LENNON (MUIMBAJI)
Wakati alipokuwa akihojiwa na mwandishi wa habari wa gazeti la American alinukuliwa akisema hivi "Ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwasi na hilo kwa kuwa nina uhakika nalo. Mafundisho ya Yesu yalikuwa sahihi na wala sipingi hilo ila mafundisho yale...
Kila mwaka ifikapo Juni 8, Siku ya Bahari Duniani huadhimishwa ili kuwakumbusha watu umuhimu wa bahari katika maisha ya kila siku na matishio mbalimbali yanayoikabili bahari zikiwemo shughuli za kibinadamu
Katika nafasi ya mtu mmoja mmoja, tunaweza kulinda na kutunza bahari kwa kupunguza au...
Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa limetoa “Ripoti ya Mgogoro wa 2022 wa Chakula Duniani”, ikisema dunia itakabiliwa na uhaba wa chakula ndani ya wiki 10 zijazo. Hili ni suala kubwa linalohusisha usalama wa chakula wa mabilioni ya watu duniani, hivyo linafuatiliwa sana. Kwa mara...
Msikilizeni jamani huyu kada wa Nccr Mageuzi anavyolalama.
VIDEO:
Katibu Mkuu NCCR Mageuzi Bi. Martha Chiomba akieleza namna alivyotukanwa na kudhalilishwa na wanaoitwa 'Makada wa NCCR Mageuzi', amtupia lawama James Mbatia kwa kuona udhalilishaji huo na kisha kukaa kimya licha ya taarifa kupewa.
WHAT IS MONKEY POXY DISEASE?# A pandemic disease!!!!& THE ONES WHICH MAKE HEAD LINES IN CNN AND OTHER TELEVISION CHANNELS IN THE WORLD.
Tap the link below for more information from WHO Monkeypox
.
Siku ya hedhi duniani huadhimishwa kila mwaka, siku ya tarehe 28 Mei ikiwa na lengo ya kuwakutanisha wadau mbalimbali kwa dhumuni la kuongeza uelewa kuhusu masula ya hedhi kwa msichana na kuhamaisha msichana kupata maji safi na taulo.
Hii hasa inawalenga wale walio katika mazingira ya hali ya...
Za asubuhi wanajamii,
Kwa miaka michache niliyoishi duniani nimegundua kuna vitu ambavyo watu wamevipa thamani kubwa kuliko inavyostahili. Baadhi ya hivyo vitu ni,
1. Mapenzi, jamii imetia mkazo sana kwenye hili hasa vijana. Hili ni chanjo kimojawapo cha kuzorotesha uchumi na kupoteza muda wa...
Mei 25, 2022, huko Putumayo, Colombia, trampoline ya kifo ni moja ya barabara hatari zaidi duniani, inaanzia kutoka Mocoa hadi San Francisco na ilijengwa mwaka 1930. Watu wengi walikufa wakiwa wanaendesha magari kwenye barabara hiyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.