duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Nchi 20 zinazoongoza kwa uzalishaji wa gesi asilia duniani

    Ifuatayo ni orodha ya nchi 20 zinazoongoza kwa uzalishaji wa gesi asilia duniani, Tanzania gesi yetu ni cha mtoto. 1. Marekani 2. Russia 3. Iran 4. China 5. Canada nk. Endelea kusoma hapa chini: https://finance.yahoo.com/news/top-20-natural-gas-producing-135029977.html
  2. Orodha ya nchi 10 zinazoongoza kwa kuzalisha nishati ya joto ardhi duniani

    Nishati ya joto ardhi ni aina ya nishati mbadala na endelevu, inayozalishwa kwa kuchukua joto kutoka kwenye miamba yenye joto chini ya ardhi. Kutokana na Chama cha Kimataifa cha nisahati ya joto ardhi, nchi kumi zinazoongoza kwa uzalishaji wa nishati ya joto ardhi duniani ni kama ifuatavyo...
  3. J

    Hii ndiyo sababu Dola ya Marekani bado itazidi kuwa hela inayoaminiwa zaidi duniani

    Pamoja na vita na kampeni ya Urusi na China dhidi ya dola ya Marekani tangia vita ya Ukraine ianze, dola ya Marekani imezidi kuonyesha ndio hela stable zaidi duniani. Dola imezidi kubaki imara kama chuma huku fedha za nataifa mengine tajiri zikiporomoka na kuifanya dola kuendelea kuwa hela...
  4. Nilivyonusurika kutapeliwa milioni yangu ya kwanza kuishika hapa duniani

    Habari Hii ni pesa yangu ya mara ya kwanza kuimiliki nikiwa under 18 sikuipata kwa mkupuo hapana nilidunduliza kidogo kidogo kutokana na kibarua nilicho tafutiwa na mzee wangu Huyo tapeli tulikua tunawajibika wote katika kibarua hicho pia alikua na urafiki na mzee wangu wakikutana wanapiga...
  5. L

    Ongezeko la bajeti ya kijeshi ya Marekani latishia amani duniani

    Hivi karibuni serikali ya Marekani ilitangaza bajeti ya matumizi ya kijeshi kwa mwaka 2024 ya dola bilioni 842 za kimarekani, ambalo ni ongezeko la asilimia 8.9 ikilinganishwa na mwaka jana. Inakadiriwa kuwa bajeti hiyo ya mwisho itakayoidhinishwa na bunge la nchi hiyo inaweza kuzidi dola...
  6. L

    Wachina waliopo nchi za nje wajumuika na waislamu duniani kutoa michango katika mwezi wa Ramadhani

    Katika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani imekuwa ni ada na desturi kwa Waislamu na wasiokuwa Waislamu kuendeleza moyo wa kuchangia na kuwasaidia watu wa makundi mbalimbali. Na hii ni pamoja na kufutarisha mayatima, watu wenye maisha duni, waumini wa misikitini ama hata watu kawaida...
  7. K

    Kwanini watu duniani wanakimbilia Ulaya na Marekani kuliko China, Urusi na washirika wake?

    Kumekuwa na wimbi la watu kukimbia mataifa yao duniani kote hususani Afrika na wengine wakiwa tayari kufia baharini ili wafike Ulaya na Marekani. Najiuliza kwanini watu hao hawakimbilii China, Russia na washirika wao? Wataalamu tujuzeni inakuwaje kila mtu anaona Ulaya na Marekani ni peponi...
  8. Hii ndio ‘Rockerfeller Document’ ya mwaka 2010 iliyotoa maelekezo ya kusambaza ugonjwa wa Corona duniani

    Familia ya Rockerfeller ndio familia ya kitajiri zaidi huko Marekani inayoshikilia sekta za Kibenki, Kiviwanda, Mafuta na Siasa. Inatajwa kwamba matajiri wote duniani wanaongozwa na kuendeshwa na familia hii, hasa hasa Billgates na wenzake. Mwaka 2010 walitotoa maelekezo kwa matajiri na...
  9. Najuta kuwa Mwafrika

    Kibaya zaidi Mwafrika hataki kabisa kukiri kuwa akili zake ni finyu au hana akili kabisa. Kila mtu hapa Afrika ni daktari, ukiumwa kidogo utasikia kunywa maji mengi. Kula matunda. Ukimuuliza hayo maji yanafanya vipi moa mtu apone hana jibu. Karne hii bado kuna watu wanawafundisha Waafrika wenzao...
  10. Nitajie kitu kimoja Mungu aliumba/ aliweka hapa duniani kinavutia kutazama zaidi ya Mwili wa mwanamke

    Uwa nasema, kama kunapahala Mungu alituliza akili katika uumbaji, basi ni wakati anamuumba mwanamke. Mwili wa mwanamke aisee uliumbwa vizuri, unavutia kutazama. Kama unahisi kunakitu Mungu aliumba kinavutia kutazama zaidi ya mwili wa mwanamke, twambie ni kipi.
  11. Hakujawahi kuwepo kitu kinachoitwa COVID duniani. Ni uongo wa mabeberu

    Wakuu wakati wa Corona sikuamini uwepo wa hiyo kitu wala habari zake nilikuwa sisikilizi na Barakoa nilikuwa sivai. Naamini hata Hayati JPM alikuwa na msimamo kama wangu. Ulikuwa ni ugonjwa unaosambazwa kwa njia ya taarifa ya habari na sio vimelea. Ushahidi: Habari za kimataifa na kidunia...
  12. F

    Nchi ambazo zinahangaika kujenga matundu ya choo hazipaswi kutoa msaada wa fedha kwa nchi matajiri duniani

    Tumesikia na kusoma kwenye vyombo vya habari kuwa Tanzania imetoa dola za Kimarekani milioni moja (zaidi ya bilioni 2 na milioni 200) kwa Uturuki iliyopatwa na janga la tetemeko la ardhi mwezi ulliopita. Yapi Merkezi ni kampuni ya Kituruki inayojenga SGR kutoka Dar hadi Mwanza kwa zaidi ya...
  13. Saa 10 za gharama kubwa duniani, ya bei ndogo ni Tsh. Bilioni 11.7 aliyopewa JAY-Z na mkewe Beyonce

    Kwa mujibu wa Mtandao wa KRONOS 360, Hizi saa ndio zinaongoza kwa kuuzwa gharama kubwa kwenye minada duniani. Kumbuka ni kati ya saa zilizotengenezwa kwa oda maalumu au chache. Hivyo sio rahisi kuzipata madukani. 1- Graff Diamonds - Hallucination - Tsh. Bilioni 128.7 2. Chopard – 201 carats -...
  14. Siku Marekani ikisambaratika, kitatokea nini duniani?

    Historia inaonesha kwamba Dola kubwa duniani zimewahi kusambaratika. Lakini katika zama zetu, Marekani ni Dola kubwa Ulimwenguni. Huwa najiuliza ikitokea nchi ya Marekani ikasambaratika, kitatokea nini duniani?
  15. Ripoti: Tanzania yatajwa kwenye orodha ya Nchi zisizo na Furaha Duniani

    Ripoti ya Dunia ya Furaha 2023 imetolewa. Kwa mujibu wa viwango vya Dunia Vya Furaha kwa mwaka 2023, Finland ndiyo nchi yenye furaha zaidi duniani kwa mwaka wa sita mfululizo. Wakati huo Tanzania imetajwa kuwa kati ya Nchi zenye Watu wasio na Furaha duniani. Orodha kamili hii hapa Nchi 10...
  16. Majibu Kwanini Wasanii Wetu Hawaitwi Kwenye Steji Kubwa Duniani

    Naandika huu uzi baada ya kumsoma kamikaze kwenye uzi wake: Mafanikio ya mwanamuziki Burna Boy, Nini tunajifunza! If anything wasanii wabongo inabidi walalamikie ufinyu wa watanzania wengine nje ya nchi hususani in the boardrooms. Nigerians wapo wengi ndani na nje ya nchi yao. Unaposikia...
  17. Huu hapa Muziki wa zamani kabisa uliowahi kurekodiwa hapa duniani; ulipigwa mwaka 1440 Kabla ya Yesu kuzaliwa

  18. Business Insider: Tanzania Inaelekea kuwa kivutio na kitovu cha Uwekezaji Duniani

    Jarida maarufu la masuala ya biashara Afrika na Duniani limeitaja Tanzania kuwa Moja ya Nchi zinazoelekea kuwa kimbilio la wawekezaji Duniani. Hongera sana Rais Samia na Tanzania, haya ndio mambo tunapenda kuyasikia.. ======= Idadi ya miradi iliyosajiliwa nchini Tanzania iliongezeka kwa...
  19. Hivi Mashabiki wa mpira wanafanana sifa zao kote Duniani?

    Habari wanajukwaa kabla sijaja na Uzi wa kutoa kero zangu na kuuelimisha Umma wa wapenda soka Nchini naomba nipate mawazo tu kwa unavyotambua wewe hapo ni kweli mashabiki wa mpira wanafanana kote Duniani, yaani I mean ushabiki wanaokua nao? Na sifa zingine naomba reference ichukuliwe Tanzania...
  20. Michael Jordan bado anaongoza kwa Wanamichezo 10 wa Muda Wote wanaolipwa Fedha nyingi duniani

    1. Michael Jordan - Tsh. Bilioni 7.7 2. Tiger Woods - Tsh. Bilioni 5.8 3. Arnold Palmer - Tsh. Bilioni 3.9 4. Jack Nicklaus - Tsh. Bilioni 3.8 5. Cristiano Ronaldo - Tsh. Bilioni 3.7 6. LeBron James - Tsh. Bilioni 3.5 7. Lionel Messi - Tsh. Bilioni 3.4 8. Floyd Mayweather - Tsh. Bilioni 3.3 9...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…