Ruto kupeleka M-Pesa Kimataifa, Safaricom na Apple kushirikiana M-Pesa ipatikane duniani

Rare Sapphire

JF-Expert Member
Jul 24, 2021
576
1,626

Safaricom inafanya mashirikiano na kampuni ya Apple kuiunganisha M-Pesa na PayPal ili kuongeza wigo wa shughuli za M-Pesa kimataifa.

Ruto asema wana nia ya kuzitumia fursa zilizoletwa na kampuni za Microsoft, Intel, IDM, Oracle na Google vizuri ili kuboresha uwezo wao katika mambo mbalimbali ikiwemo kutoa huduma katika maendeleo ya ujuzi na mafunzo, utafiti, usimamizi wa data, na usalama wa mtandao. Ameongeza kuwa juhudi zao za kuimarisha uhusiano wa biashara kati ya Marekani na Kenya kupitia ushirikiano wa biashara na uwekezaji wa mkakati umeanza kuonekana.

Ruto asema wanakusudia kukamilisha majadiliano haya na kusaini makubaliano ya kwanza kabisa kati ya Marekani na nchi kutoka barani Afrika.

=====

Safaricom is developing a partnership with Apple to integrate mpesa and its paypal platform to extend Mpesa transactional reach globally. Our strategic collaboration with Microsoft, Intel, IDM, Oracle and Google are going to be pursued from a similarly pro-tech solutional oriented, opportunity enhancing, and transformational standpoint.

We have every intent of maximizing a wonderful chances that these companies have presented to radically enhance our service delivery capabilities in skills development and training, research and development, data management, semi conductor manufacturing, cloud platforms and cybersecurity as well as various sectoral interventions.

Our efforts to strengthen bio-lateral trade relations between the US and Kenya through the strategic trade and investment partnerships have begun to take shape. And as you heard the ambassador Widman say this is the process that we are engaged in and we intend to conclude this negotiation and sign the first ever agreement between America and a Country in African continent.
 
Hongera wakenya.
Viongozi wa Tanzania wanawaza kuhujumu uchaguzi ili CCM ishinde.
Waliosema Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu hawakukosea. Kuna fursa mtandaoni unaziangalia hivi hivi
 
mpesa nadhani ni ya wakenya hao hao, wakimaliza hapo itafanya kazi hiyohiyo hata hapa bongo. nawapongeza kwa wanalolifanya. kati ya vitu vinasumbua afrika ni electronic payments. tukija kufanikiwa hilo, tutakua mbali sana. tunatakiwa kuondokana na paper money kabisa kama tunataka kuchanja mbuga. Nape na wenzake wanachowaza sasahivi ni uchaguzi tu, hawawazi mambo ya maana kama haya. MPESA inamilikiwa na makampuni mawili, Kenya safaricom na south africa vodacom. so lets hope wakifanikiwa, tutaunganishwa kununua vitu vingi duniani huko.
 
mpesa nadhani ni ya wakenya hao hao, wakimaliza hapo itafanya kazi hiyohiyo hata hapa bongo. nawapongeza kwa wanalolifanya. kati ya vitu vinasumbua afrika ni electronic payments. tukija kufanikiwa hilo, tutakua mbali sana. tunatakiwa kuondokana na paper money kabisa kama tunataka kuchanja mbuga. Nape na wenzake wanachowaza sasahivi ni uchaguzi tu, hawawazi mambo ya maana kama haya.
Viongozi wa Tanzania hamna kitu. Wanawaza kuhujumu uchaguzi tu CCM ishinde
 
Ajuri Ngelale (msemaji wa Tinubu) alitangaza kuwa UAE wamekubali visa kwa wanaijeria kumbe ilikuwa fiksi tu🤣🤣🤣
 
Duh ! Sisi kwenye mifumo ya international money transfer Kuna watu ni conservative kinyama, hawataki mabadiliko hata hii Paypal kwa bongo sijui insonekana ni MATAPELI😄😄😄😄
 
Sisi Bank zetu hata kuexcute point of sale Ni mtihani, kutumiwa Hela kutoka nje Ni kipengele kikubwa
Zimebaki kusubiria kukata mishahara ya walimu na manesi
 
mpesa nadhani ni ya wakenya hao hao, wakimaliza hapo itafanya kazi hiyohiyo hata hapa bongo. nawapongeza kwa wanalolifanya. kati ya vitu vinasumbua afrika ni electronic payments. tukija kufanikiwa hilo, tutakua mbali sana. tunatakiwa kuondokana na paper money kabisa kama tunataka kuchanja mbuga. Nape na wenzake wanachowaza sasahivi ni uchaguzi tu, hawawazi mambo ya maana kama haya. MPESA inamilikiwa na makampuni mawili, Kenya safaricom na south africa vodacom. so lets hope wakifanikiwa, tutaunganishwa kununua vitu vingi duniani huko.
Elimu ni jambo zuri. Ukikosa elimu utalazimika kufanya mambo ya hovyo ili ubaki katika nafasi yako....wanasiasa wengi wa Tanzania hawana elimu na wenye elimu bado haziwasaidii,ni tofauti na wanasiasa wa nchi kama Kenya.....mbunge lazima awe na degree ya chuo kinachotambulika. Mpaka MCA huko kwao huku kwetu ni diwani lazima awe na degree.
Wabunge wetu hawana uelewa kuwa utakapokuwa na élimu nzuri hata kama kwenye siasa umeshindwa bado elimu yako itakubeba sehemu kwa kuwa tayari una jina"brand" kupitia siasa.
Instead wao wanataka wafie bungeni kama vile ni kwao.
Useless kabisa.
 
Back
Top Bottom