Kuna hii Kero ambayo ipo maeneo Mengi nchini sijui wenzangu mliosafiri kwenye nchi za wenzetu kuna hali kama hiyo.
Kero hii ni za wamachinga, bodaboda, madereva wa tax, wapiga debe na maajenti wa mabasi. Leo nitaongelea madereva wa boda boda, wapiga debe na machinga kwenye mastendi ya mabasi...