SAMBOZAM
Senior Member
- May 29, 2026
- 113
- 149
Achana na mkeo
2. Nenda ulaya urudi
3. Soma sana
4. Usisome kabisa
5. Jua kuandika
6. Uwe mwongeaji
7. Ujue hotuba za nyerere
8. Hamia mkoa nilioko kwa sasa
9. Usijue soko liko umbali gani
10. Safiri mikoa mingi
11. Ishi hotelini muda mrefu
12. Ishi lodge muda mrefu
13. Pata fedha usisafiri kuona ndugu
14. Usimiliki simu
15. Sikiliza sana muziki hasa wa bongo fleva
SITA KUANGUSHA UNAKUWA HOMELESS
2. Nenda ulaya urudi
3. Soma sana
4. Usisome kabisa
5. Jua kuandika
6. Uwe mwongeaji
7. Ujue hotuba za nyerere
8. Hamia mkoa nilioko kwa sasa
9. Usijue soko liko umbali gani
10. Safiri mikoa mingi
11. Ishi hotelini muda mrefu
12. Ishi lodge muda mrefu
13. Pata fedha usisafiri kuona ndugu
14. Usimiliki simu
15. Sikiliza sana muziki hasa wa bongo fleva
SITA KUANGUSHA UNAKUWA HOMELESS
