duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza hivi huyu ni nani?

    Nipo nyumbani hapa naangalia mtandao x naambiwa kuna mtu kapigwa kauziwa barafu jangwani ?
  2. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania WHO: DRC ina idadi ya Watu wengi wanaohitaji Msaada wa Kibinadamu Duniani

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema takriban watu Milioni 25.4 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanakabiliwa na Mgogoro wa Kiafya na Kibinadamu kutokana na kuongezeka kwa mzozo na vurugu, hasa katika marneo ya Mashariki ya nchi Shirika hilo lilisema kuongezeka kwa vurugu za makundi ya...
  3. X

    JamiiForums Tanzania China-US (TechWar): China limekuwa taifa la kwanza duniani kufanikiwa majaribio ya 6G, likiitangulia Marekani na washirika wake

    Kwenye mbio za nani atatangulia kwenye teknolojia ya mawasiliano ya 6G ilikuwa ni race kati ya China na Marekani na washirika wake. China ilikuwa imeshajiwekea mkakati wa kuifanyia tafiti teknolojia ya 6G hivyo ikawa moja ya kipaumbele cha taifa kwenye mpango wa miaka 5 ulioitwa China's...
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania List ya sanamu ndefu zaidi hapa duniani

    Orodha hii ya sanamu ndefu zaidi inajumuisha sanamu zilizokamilishwa ambazo zina urefu wa angalau 100 m. urefu katika orodha hii hupimwa hadi sehemu ya juu zaidi ya kielelezo cha binadamu (au mnyama), lakini haijumuishi urefu wa msingi wowote (plinth), au jukwaa lingine la msingi pamoja na...
  5. Bulelaa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sugu hata akishinda Ubunge, asitangazwe, haiwezekani tupoteze heshima ya nchi kwa kumpoteza Rais wa IPU?

    Binafs yangu siyo Muccm! Ila kwenye hili tuacheni masikhala bhana! Sifa moja wapo ya kuwa Rais wa mabunge Duniani IPU, ni lazima uwe mbunge pia katika nchi utokayo Swali langu ni dogo tu hapa, Dr.Tulia asipoutetea ubunge wake pale Mbeya mjini, anakuwa amekosa sifa za kuendelea kuwa Rais wa...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Angalia vipaumbele vya Waafrika wapokea misaada Vs Wagawa misaada

    Mmoja ni msafara wa nchi wapokea misaada, misfara mingine miwili ni wagawa msaada Netherlands na Uingereza.
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania January Makamba amefiti vizuri Wizara ya Mambo ya Nje. Heshima na ushawishi wa Tanzania duniani ni ya kiwango cha juu sana

    Wizara imetulia, mambo yanafanyika vizuri kwa maneno na matendo. diaspora na wafanya biashara kimataifa kwa ujumla wao, wanakubali kazi na jitihada za wizara kupitia Waziri huyu kijana na mbunge wa Jimbo la bumbuli mh.January Makamba.. Mchango wa Tanzania kwenye forums mbalimbali duniani...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakati Rais Ruto wa Kenya akiwataka Maafisa wa Serikali wenye Umri wa miaka 60 Kustaafu, mwingine duniani anawapa Uteuzi ili wamsaidie Kumdanganya

    Rais Ruto anatakiwa aje kujifunza nchini Tanzania ambapo Maafisa wote wenye huo Umri wa miaka 60 hakuna aliyeko bado Serikakini katika Utumishi wa Umma na kwamba Waajiriwa wote Tanzania ni Vijana watupu wa kuanzia miaka 25 hadi 45 walioko huko. Na ndiyo maana Utawala wa Rais Samia unafanya...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Usimlazimishe Mungu kukuondoa duniani

  10. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni nchi gan hiyo duniani uliambiwa kuwa ukinunua hata tu 'Bigi Jii' unapewa Risiti?

    wasaidizi wake au wale chawa gegedu wake tafadhali njooni hapa mumsaidie mtutajie hiyo nchi ili nasi pia tuijue ok?
  11. M

    JamiiForums Tanzania HII NDIO KANUNI BORA YA KIJASUSI YA KUISHI NA MNAFIKI YOYOTE DUNIANI 😊

    HII NDIO KANUNI BORA YA KIJASUSI YA KUISHI NA MNAFIKI YOYOTE DUNIANI 😊 Kijasusi jitahidi uwafahamu watu kabla ya wao kukufahamu, na hapo ndipo utagundua WANAFIKI NA WASIO WANAFIKI. DALILI ZA MNAFIKI 1.Kwanza atajifanya mwema sana kwako 2 Atajifanya kuumia sana dhidi ya wanaokusema mabaya...
  12. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Kanuni Tano za Kuishi Pamoja kwa Amani zachangia utulivu na amani duniani

    Huu ni mwaka wa 70 tangu China kutoa Kanuni Tano za Kuishi Pamoja kwa Amani. Miaka 70 iliyopita, aliyekuwa Waziri Mkuu wa China Zhou Enlai alipendekeza kwa mara ya kwanza kanuni tano za “kuheshimiana mamlaka na ukamilifu wa ardhi, kutovamiana, kutoingilia mambo ya ndani, usawa na kunufaishana...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yaadhimisha Siku ya Wajasiriamali Duniani ikitooa Shilingi Bilioni 995 mpaka Mei 2024

    Afisa Mkuu wa Uendeshaji wa Benki ya CRDB, Bruce Mwile (kulia) akiwa pamoja na Mkurugenzi wa Wateja wa Awali na Kati wa Benki ya CRDB, Bonaventure Paul wakizindua rasmi Akaunti ya Biashara 'CRDB Biashara Account' kwenye hafla ya maadhimisho ya Siku ya Wajasiriamali Duniani iliyofanyika kwenye...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya tani bilioni 2 za madini adimu zilizovumbuliwa nchini Marekani zinaweza kuifanya iongoze kwa madini hayo duniani

    Baada ya kugundua zaidi ya tani bilioni 2 za madini adimu sana, Marekani sasa ina uwezo wa kuwa kiongozi wa ulimwengu katika suala hilo. Kuwa kiongozi wa dunia linapokuja suala la rasilimali kunaelekea kuwa jambo zuri katika jukwaa la kimataifa - na Marekani inaweza hivi karibuni kuwa kiongozi...
  15. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Hakuna shirika linalofanya utafiti kubaini nchi zenye wanafiki wengi zaidi duniani?

    Tumekuwa tukisikia mashirika kadhaa yakifanya tafiti kubaini mambo kama vile 1. Nchi yenye furaha zaidi. 2. Nchi yenye watu wenye IQ kubwa zaidi. 3. Nchi yenye uhuru wa kutoa maoni nk. Je, hakuna shirika linalofanya utafiti kubaini nchi yenye wanafiki wengi zaidi duniani? Hii record huenda...
  16. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo na muundo wa elimu ya kitanzania uboroshwe kuendana na fura za kujiajiri na ajira duniani

    Utangulizi Tanzania imekua miongoni mwa nchi ambazo imekua ikukumbwa na janga la ukosefu wa ajira kwa wahitimu wa vyuo, vijana na wananchi wengi kiujumla, na tatizo ni kwamba wasomi wamekua ni wengi lakini mahala pakufanyia kazi pamekua ni pa achache au kwa ufupi ajira zimekua finyu lakini...
  17. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Leng jun mchoraji bora kabisa duniani

    Anachora picha realistic zaidi. Hii ni moja Kati ya kazi yake picha ya kuchorwa hio
  18. N

    JamiiForums Tanzania Hawa ndo watu wenye bahati duniani

    Hii ndo list ya watu wenye bahati dunia: 1) Mtu aliyepata ajira mara tu baada ya kumaliza chuo/masomo 2) Mtu aliyezaliwa kwenye familia tajiri 3) Mtu aliyepata mpenzi/ mke/ mume sahihi kwenye mahusiano yake ya kwanza tu 4) Mtu ambae yupo carefree 5)... ongezea
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Uchafuzi wa hewa wasababisha vifo zaidi ya milioni 8 duniani kote mwaka 2021

    Ripoti mpya ya kina inayoonesha athari hasi ya hewa chafuzi kwenye afya imetolewa leo nchini Marekani huku ikiweka bayana kuwa uchafuzi wa hewa umeibuka na kushika nafasi ya pili duniani kama kihatarishi kinachoweza kusababisha kifo. Ikipatiwa jina Hali ya Hewa Duniani au SoGA ripoti imetolewa...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Mataifa 10 tajiri sana duniani kwa mwaka 2024.

    Marekani, China, Ujerumani, Japan na India ndizo nchi zenye uchumi mkubwa zaidi duniani kwa mwaka wa 2024, kulingana na data zao za Pato la Taifa. Pato la Taifa hutumika kama kipimo muhimu cha kutathmini ukubwa wa uchumi wa taifa. Mbinu ya kawaida ya kupima Pato la Taifa la nchi inahusisha...
Back
Top Bottom