duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Kenya ,Nigeria na Gambia ndio nchi zinazojitolea misaada zaidi duniani

    World giving index imeiorodhesha Kenya kama mojawapo ya nchi inayojitolea zaidi kusaidia nchi zenye uhitaji lakini sio nchi TU hata watu wake wameorodheshwa kama watu wanaojitolea zaidi kusaidia wengine Pamoja na vita ndogo ndogo za siblings kati ya tz na Kenya ila nakubaliana na utafiti huu...
  2. L

    JamiiForums Tanzania China yazalisha bidhaa za matumizi ya nishati ya jua kuliko nchi zote duniani kwa pamoja

    Ripoti iliyotolewa mwezi Julai mwaka huu inaonesha kuwa kiwango cha joto duniani kati ya mwezi Julai 2023 na Juni 2024 kiliweka rekodi mpya na kuwa juu kwa nyuzi 1.64 sentrigredi, kuliko ilivyokuwa katika kipindi kabla ya maendeleo ya viwanda. Pamoja na kuwa ripoti hii haina jambo jipya kuhusu...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde: Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji Sekta ya Madini Tanzania Kuwavuta Wawekezaji Duniani Kote

    MKUTANO WA KIMATAIFA WA UWEKEZAJI SEKTA YA MADINI TANZANIA KUWAVUTA WAWEKEZAJI DUNIANI KOTE - MAVUNDE Asema Tanzania Iko tayari kwa Uongezaji Thamani Madini 📍Dar es Salaam. Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Tanzania iko tayari kuvutia Wawekezaji kutoka mataifa...
  4. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Uongo mkuu kuwahi kutokea duniani

    Naamini huu uongo ulitia fora: "Hata sabato ilipokwisha,ikipambazuka siku ya kwanza ya juma, Mariamu Magdalene, na Mariamu yule wa pili, walikwenda kulitazama kaburi. Na Tanzania, palikuwa na tetemeko kubwa la nchi; kwa sababu malaika wa Bwana alishuka kutoka mbinguni, akaja akalivingirisha...
  5. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Binadamu Mzee Zaidi Duniani Afariki Dunia

    Mtu mzee zaidi duniani, Maria Branyas Morera wa Uhispania, ambaye alizaliwa nchini Marekani na kuishi katika Vita ya Pili Dunia, amefariki akiwa na umri wa miaka 117, familia yake ilisema Jumanne. "Maria Branyas ametuacha. Alikufa kama alivyotaka: usingizini, kwa amani na bila maumivu," familia...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kuna Taifa moja hapa duniani linaundwa na binadamu wa bandia

    Sitalitaja hilo Taifa lakini kila mwenye akili na mfuatiliaji wa mambo atalibaini na zaid atanielewa japo inaumiza. Bidhaa bandia siku zote hufanana na bidha halisi ila kwenye matumizi na mambo menginyo, bidhaa ya bandia hujionyresha kwani huwa zina ufanisi duni na zaid hazidumu. Ukifanya...
  7. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Nchi yenye IQ kubwa Duniani

    Countries. Rank Country/Region IQ 1 Hong Kong * 106 2 Japan 106 3 Singapore 106 4 Taiwan * 106 5 China 104 6 South Korea 103 7 Netherlands 101 8 Finland 101 9 Canada 100 10 North Korea 100 11 Luxembourg 100 12 Macao * 100 13...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Sarafu ya China, Yuan haitachukua nafasi ya dola ya Marekani kama sarafu ya akiba duniani.

    Hivi karibuni kumekuwa na habari kuwa Saudi Arabia iko kwenye mazungumzo ya bei ya mauzo ya mafuta yake kwa sarafu ya China, Yuan. Ingawa baadhi ya nchi zinaunga mkono sarafu ya China Yuan kuwa sarafu ya akiba ya dunia, hali halisi ya kiuchumi inadhoofisha juhudi hii kabla hata haijaanza. The...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kulingana na Deathmeters.info hivi ndivyo visabishi vikuu 20 vya vifo duniani.

    Hadi sasa mwaka huu 2024, watoa roho wakubwa walioongoza ni hawa: 1: Matatizo ya moyo 2: Stroke 3: Matatizo ya mapafu 4: Nimonia 5: Alzheimer na Dementia (kuathirika kwa akili na kazi zake muhimu) 6: Kansa ya mapafu 7: Kisukari 8: Ajali za bara barani 9: Magonjwa ya kuharisha 10...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Orodha ya baadhi ya miaka ambayo imekuwa ya maafa zaidi duniani.

    541: Kulitokea janga la ugonjwa maarufu kama Justinian's plague huko maeneo ya mediterranean. Watu zaidi ya milioni 15 walifariki dunia. 1348: Kulitokea janga la ugonjwa maarufu kama bubonic plague huko ulaya watu milioni 25 walifariki. 1520: Kulitokea janga la smallpox maeneo ya Marekani...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Tumerudishwa tena kwenye habari mbaya Duniani; Naamini waliopanga hizi kamata kamata wanakwenda kupoteza kibarua

    Waliopanga hizi kamata kamata walikosea. Walishindwa kufahamu kwamba Dunia inaendeshwa kwa vyombo vya habari vya magharibi kuliko vya ndani. Al-Jazeera na BBC ni vyombo vikubwa, vinaweza kukijenga na utakumbuka awali vilivyotumika kupooza upepo wa JPM alipoingia Mama. Leo vimeingia Ulingoni na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Heri ya siku ya vijana Duniani

    Leo ni siku ya vijana duniani, ni vyema isipite hivi hivi bila kutia neno kwa vijana Sore tunajua moja ya kundi lenye ushawishi na nguvu, ni vijana Moja ya kundi ambalo hutajwa kama taifa la kesho ni vijana. Japo vijana sio taifa la kesho tena, bali taifa la sasa. Moja ya kundi ambalo...
  13. X

    JamiiForums Tanzania Marekani: Ndani ya siku 100 tu deni la taifa la Marekani lafikia $35 trillion kutoka $34 trillion

    Deni la taifa la Marekani au kama wao wanavyoliita Federal Debt, Government Debt, National Debt, U.S Public Debt linapaa kwa kasi sana limefikia $35 trillion ambalo ni sawa na $104,082 kwa kila mtu anayeishi Marekani. Deni la taifa la Marekani linakua kwa kasi zaidi kuliko uchumi. Kuna sababu...
  14. Chilojnr

    JamiiForums Tanzania ENOKO: Duniani mpaka mbingu ya 10

    Ukisoma kwenye Biblia, ni watu wawili tu ndiyo ambao hawakuwahi kuonja mauti, nao ni Nabii Eliya na Enoko. Mungu hakutaka kuwaua, aliwatwaa na kuwapeleka mbinguni. Sasa kama ilivyo kwa manabii, wafalme wa zamani na watumishi wengine kuandika vitabu vyao, basi naye Enoko aliandika kitabu chake...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Kibiashara wa Kiislam unavyosaidia kukuwa uchumi wa nchi duniani na mifano ya nchi hizo

    Mifumo ya kibiashara ya Kiislamu ina faida nyingi kwa nchi, hasa katika maendeleo ya kiuchumi. Hapa kuna baadhi ya faida kuu za kiuchumi zinazoweza kupatikana kwa kutumia mifumo hii: 1. Kukuza Ustawi wa Kijamii Usawa wa Kijamii: Mifumo ya kibiashara ya Kiislamu inahimiza usawa na haki, kwani...
  16. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kuna mitaa zaidi ya 20 duniani inakwenda kwa jina la Patrice LUMUMBA, Nadhani Distinction iwepo kabla ya kutoa jina

    Natambua majina ya maeneo, mitaa, Taasisi au uwekezaji mara nyingine huja yenyewe kutokana na matukio au waanzilishi na mambo mengine mengi hapa nazungumzia haya ya kupewa sio hayo ambayo automatically yanakuwa hivyo . Duniani kote kuna mitaa na maeneo zaidi ya 20 inayokwenda kwa jina LUMUMBA...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Demokrasia iliyokomaa nchini Marekani ni mfano wa kuigwa duniani kote.

    Mgombea nafasi ya urais kwa tiketi ya chama cha Democratic nchini Marekani Bibi Kamala Harris ameanza kumuwashia taa ya indicator mgombea wa chama cha Republican Bw. Donald Trump. Hii ni kufuatia matokeo mbalimbali za kura za maoni zilizotolewa na mashirika kadhaa ya nchini humo. Na kama hali...
  18. Selemani Sele

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya traffic light duniani

    Leo ni siku ya taa za barabarani ambayo taa ya barabarani ya kwanza iliwekwa tarehe 5 August 1914 huko cleveland ohio USA, system ilitengenezwa na bwana Lester Wire na leo ndo inatimiza mia tangu zianzishwe. Traffic lights za kwanza zilikuwa na rangi mbili tu mpaka mwaka 1923 ilipoongezwa rangi...
  19. Selemani Sele

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya marafiki duniani

    Leo ni friendship day Nani rafiki yako kindaki ndaki
  20. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Nafuatilia wananchi wanaotoa maoni Dira ya Maendeleo, najiuliza ni nani aliyeturoga Watanzania?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Nawalaumu sana wazazi wangu na Mimi mwenyewe kutozaliwa/kuzaa nje ya Tanzania! Sababu ya kwanza ni kwamba,hivi mzee wangu kweli alishindwa kupiga Swaga mwanamke yeyote wa Kikenya hadi azae Tanzania?,Ukizingatia kwetu hapo Tarime mjini hadi Sirari ulipo...
Back
Top Bottom