duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gang Chomba

    JamiiForums Tanzania Mtoto mwenye kasi zaidi Duniani akazaliwa

    Kwenye riadha huko Duniani miaka ilee palipata kutokea Mwamba alieitwa Tim Montigomery raia wa Marekani. Siku Moja Tim alikimbiza upepo huku akisindikizwa na makelele ya wapenzi watazamaji wa Mchezo huo wengi wao wakiwa wamarekani wenzie na kufanikiwa kuwa bingwa wa mita 100. Wakati hayo...
  2. Selemani Sele

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya makomwe duniani

    Leo August 3 2024 ni siku ya makomwe dunia as wazungu wanaita big forehead day. Mtagi mwana JF mwenye komwe
  3. THE BEEKEEPER

    JamiiForums Tanzania Binti aliyeniambia hata tukiwa wawili duniani siwezi kuwa na wewe anataka tuwe na mahusiano

    Habari ndugu zangu. Miaka miwili iliyo pita nilitongoza Binti mmoja mitaa ya home akanichomolea nje.sikukata tamaa mapema nikamrudia kipindi Cha pili majibu alio nipa ni kama hapo juu kichwa nilicho andika. NO ONE WILL DIE VIRGIN BECAUSE LIFE F&CK ALL OF US Mtakao Sema chai nimewawekea na...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tarehe 4 August, 2024 tutashuhudia Wapambaji wa aina Kuu tatu ambazo zinatamba Duniani

    1. Mpakwa Mafuta ( Masaki na Temeke Uwanja wa Uhuru ) 2. Bia Kijiti daima ( Sinza na Tandale ) 3. Maisha ya Matumaini ( Masaki, Kariakoo, Ilala na Buguruni ) Imeshaisha hiyo.......Kudadadeki.....!!
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Leo ni Siku ya Kimataifa ya Bia. Hongereni Wanywaji kwa kukuza Uchumi

    Kwa kutambua juhudi za walevi kwenye uchumi, 2/8 ni siku ya Bia Duniani. Natoa salute Kwa walevi wote Kwa juhudi zao za kukuza Uchumi Kupitia unuwaji bia ambapo Kwa Tanzania Mapato kutokana na Pombe hufimia karibu Trilioni 1 huku sekta hiyo ikitoa Ajira Kwa maelfu ya watu. Ni muda muafaka Sasa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Historia ya tawala za dini ya Kikristo zilizoanguka duniani

    Historia ya tawala za Kikristo zilizoanguka inajumuisha mabadiliko muhimu katika mifumo ya utawala na jamii ambapo tawala hizi zilikua na kuathiri mikoa mbalimbali. Hapa kuna baadhi ya tawala za Kikristo zilizoanguka: Dola la Roma la Magharibi (476 CE): Dola la Roma la Magharibi lilikuwa na...
  7. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Tafiti: Vipande vya sigara ambazo zimetumika, ndio uchafu namba moja duniani unaoongoza kwa kufanywa na binadamu makusudi!

    1.Urahisi wa Kutupa: Wavutaji wengi wa sigara hawana mahali maalum pa kutupa vipande hivyo baada ya kuvuta, hivyo wanavitupa ovyo ovyo. 2.Ukosefu wa Uhamasishaji: Watu wengi hawajui madhara ya kutupa vipande vya sigara ovyo. Ukosefu wa uhamasishaji juu ya athari za mazingira unachangia tatizo...
  8. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Siyo Tanzania tu, nchi nyingi Duniani zinashindwa kukomesha ufisadi: Takwimu haziisemi vibaya Tanzania

    Mathalani, Ripoti ya Kielelezo cha Ufisadi wa Mwaka 2022 inaonesha kuwa nchi nyingi zinashindwa kukomesha ufisadi. Kielelezo hiki cha Ufisadi hupanga nchi na maeneo 180 Duniani kwa viwango vyao vya ufisadi katika sekta za umma, na kutoa alama kuanzia alama sufuri 0 ikiashiria (ufisadi mkubwa)...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Wakati Duniani viongozi wa nchi wanaanzia miaka 40 huku kwetu viongozi wanaanzia miaka 60 kuendelea; tutapata maendeleo?

    Dunia inabadilika sana, inakwenda kasi sana. Siyo Dunia ya busara na heshima tena bali ni Dunia ya akili mpya zinazoweza kutatua changamoto. Hakuna Sehemu Duniani maendeleo yanaletwa na busara na hekima na hakuna uhusiano kati ya umri na busara. Kama ujanani ulikosa busara na hekima siyo rahisi...
  10. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya Urafiki Duniani. Unajivunia nini kutoka kwa Rafiki zako?

    Siku ya Kimataifa ya Urafiki huadhimishwa tarehe 30 Julai. Siku hii inaheshimu marafiki na nafasi yao muhimu katika kuboresha maisha yetu. Marafiki hufanya maisha kuwa rahisi zaidi, iwe ni wanaposafiri nasi au wanaposikiliza matatizo yetu na kutoa ushauri. Uwepo wao ni muhimu sio tu wakati...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunaelimishana na Tunakumbushana tu kama 'Wanamichezo Wanaojielewa' na siyo 'Wanamichezo Washamba na Majuha' waliopo Afrika na Duniani

    1. Kaizer Chiefs ya jana na ya sasa siyo ile yenyewe kwani bado Inajitafuta 2. Kaizer Chiefs ya sasa ( ya jana ) bado inajikongoja kwa miaka / misimu karibia saba 3. Kaizer Chiefs ya jana ( ya sasa ) ilikuwa na takribani Wiki moja tokea Wachezaji wajiunge kwa Pre Season 4. Kaizer Chiefs ya jana...
  12. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ni Msanii mkubwa duniani, BASATA pamoja TASUBA kuna haja ya kumpongeza kwa jitihada zake za kukuza lugha ya Kiswahili

    Diamond Platnumz ni Msanii mkubwa duniani, BASATA pamoja TASUBA kuna haja ya kumpongeza kwa jitihada zake za kukuza lugha ya Kiswahili Diamond ni kijana wa Tanzania mwenye kiu ya kufikisha mbali Muziki wa Tanzania kuna ulazima wa kila mtanzania kuunga mkono jitihada zake za kukuza muziki wa...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na Mapenzi na mipango ya Mungu, je wewe unampango au ungependa uishi Miaka mingapi Duniani?

    Kwema Wakulungwa. Kwa kurudia swali; Ukiachana na Mapenzi na mipango ya Mungu, je wewe unampango au ungependa uishi Miaka mingapi Duniani? Mimi Miaka 87.
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa 'Wanawatumbua' Wenzao hapa duniani

    Basi jitahidini mkijua kuwa fulani mnaenda kuwala Vichwa ( Kuwatumbua ) muwe mnawaambia kabla ili wawe wanajiandaa Kisaikolojia pamoja na Familia zao halafu na hata wasiwe wanapoteza muda Wao kwenda Kuwajibika kwa Siku hiyo kwani kuna Watu mmewaumbua vibaya sana hivi karibuni kwa Kuwatumbua huku...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya watu wafupi duniani

    Leo ni siku ya watu wafupi a.k.a mbilikimo au vijeba au gas cylinder. Mtagi member yoyote wa jf unayehisi ni gas cylinder ili aje kusherehekea na tumpongeze katika siku yake hii maalum.
  16. comte

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya internet imeyumba na kukwamisha mambo mengi Duniani leo Ijumaa Julai 19, 2024

    A major technology outage grounded flights, hampered public transit systems and disrupted operations at banks and hospitals around the globe Friday in an incident a cybersecurity firm blamed on a faulty system update. CrowdStrike, a U.S. firm that advertises being used by over half of Fortune...
  17. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa raisi Samia, ningefuta leseni na kusitisha huduma kwa kampuni zinazoleta usumbufu kwa wateja pasipokujali zimetoka nchi gani hapa duniani

    Ningekuwa raisi Samia, ningefuta leseni za kampuni zote zinazoleta usumbufu kwa wateja pasipokujali zimetoka nchi gani hapa duniani Wakuu kuna baadhi ya makampuni yanayoleta usumbufu kwa wateja pale wanapohitaji huduma na haya makampuni yanatoka bara la Ulaya, Asia na Afrika nashindwa kuyataja...
  18. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nimegundua kusudi lililo nileta duniani. Nimeanza kuliishi kusudi hilo na linanilipa

    Naanza kwa kuwatukanizia wale wote walio ni laghai nilipokuwa mtoto mdogo kwa kuniambia eti : 1. Nimerithi dhambi ya asili kutoka kwa mtu anaitwa Adam. 2. Eti nimeletwa duniani kufanya mitihani ( majaribu). 3. Kwamba eti alie niumba aliniumba ili nimuabudu.. ........ 1. Sina dhambi ya...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Wazungu ndo race yenye stress zaidi duniani

    Hawa jamaa historia inawahukumu sana, 60% ya wazungu wote wana depression ambayo imekuwa affected na historia ya hio race. History ya slave trade imeeathiri sana akili za current generation ya wazungu. Uzuri wazungu sio wanafiki ulaya yote mashuleni wanasoma history yenye slave trade ndani...
  20. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Hivi mnajua roho ya mwanadamu kama ijapangiwa kufa kwa wakati inabaki hapa hapa duniani?

    Kuna kisa kimoja kilitokea marekani ambacho mama mmoja alijikuta mikononi mwapolisi baada ya kwenda kituoni kuanza kueleza kuwa eneo fulani kuna mwili wa mtu fulani nendeni mkautoe. Lile jambo liliwashtua polisi na kuanza kufanyia uchunguzi ila kutokana na umbali mfano tuseme mama yule yupo...
Back
Top Bottom