Nifanye nini ili niwe tajiri number 1 duniani?

Nifanye nini ili niwe tajiri number 1 duniani?

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
6,137
Reaction score
11,400
Anayejua pakuanzia wadau natamani sana siku namimi niandikwe forbers kama tajiri number moja duniani naomba ushauri nadhani mimi ni mtanzania wapili baada ya ule kijana mwingine wa madale tunaomba ushauri kufanikisha ndoto zetu japo sijui pakuanzia
 
Mstahiki Mea kama hukurithi chochote kutoka kwa baba yako, huna "access" na tenda za serikali na haupo kwenye siasa au kujinasibisha na siasa, basi bongo hii itakuwia vigumu sana kuwa tajiri. 😊
 
Hakuna tajiri duniani aliyefanikiwa kwa kupitia njia halali, ni eidha kukwepa kodi,uhujumu uchumi mbali na uchawi na ushirikina. Ila kwa kutegemea Mungu Mungu haki ya bibi yangu maria aliyepo udongoni haufanikiwi.
 
Back
Top Bottom