duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kigoma Airport yang'ara duniani

    Uwanja wa Ndege Kigoma umetajwa kama Uwanja Bora kabisa duniani kwa miundombinu Rafiki kwa watu wenye mahitaji Maalum. KIGOMA HATUNA DENI
  2. JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya siku ya lugha ya kiswahili duniani yafana Sweden

    MAADHIMISHO YA SIKU YA LUGHA YA KISWAHILI DUNIANI YAFANA SWEDEN Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden ukishirikiana na jumuiya za Watanzania waishio nchini humo, umeandaa na kufanikisha sherehe za maadhimisho makubwa ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani yaliyofanyika tarehe...
  3. JamiiForums Tanzania Uingereza inavyojitawala. Inawezekana ndio binadamu waliostaarabika kuliko wote duniani

    Fikiria taifa liloweza kuendeshwa kwa miaka zaidi ya mia mbili kama demokrasia bila kuwa na katiba iliyoandikwa na bado raia wake wanaweza kupata haki zao zote, mihimili iko huru na jamii haifarakani kwa sababu ya dhulma au uhuni wa kiutawala wa kisiasa. Wanaingia mawaziri wakuu na kuondoka...
  4. JamiiForums Tanzania Kumbe kuna wazee wa hovyo hivi hapa Duniani

    Wakuu nisiwachoshe, tusichoshane hii ID mwanzoni nilikuwa najiita binti sayunii, nimechange juzi tu hapo. Sasa ile thread nilileta kuhusu mbaba wa miaka 46 anataka kunioa, nimekuja kujua ni usanii mkubwa sana, alitaka kunifanyia, kama hawa vijana wa hovyo. Mwanzoni aliniambia yuko tayari...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna kitu nimekigundua wanachotumia ma goal keeper bora duniani kuwa bora zaidi

    Wakuu mpo! Ni matumaini yangu mnatizama kombe la dunia la vilabu kwa umakini licha ya vilabu kutoka afrika kutupwa nje hatua ya makundi Katika hii michuano nimeona baadhi ya makipa wazuri wanafanana tabia Kipa wa Juventus, kipa wa real Madrid, kipa wa Al hilal na kipa wa Botafogo Fc anaitwa...
  6. JamiiForums Tanzania Zijue nchi saba zenye Walokole wengi

    Walokole hapa namaanisha watu wenye sifa zifuatazo: waliotubu dhambi zao na kumpokea Yesu awe Bwana na Mwokozi wao, waliobatizwa ubatizo wa maji mengi na kujazwa Roho Mtakatifu. Ibada zao zina shangwe ya kiroho, kunena kwa lugha, shuhuda za miujiza na uponyaji, na mahubiri/mafundisho...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kutotambua kusudi lako hapa Duniani

    (Kwa masomo yenye kujenga na Nyimbo nzuri sikiliza hapa Jesus News Radio Sehemu ya Mwisho ya somo letu kutambua Kusudi lako 1. Kuishi Bila Mwelekeo Mmoja wa madhara makubwa ya kutotambua kusudi lako duniani ni kuishi maisha bila mwelekeo. Mtu ambaye hajui aliumbwa kwa ajili ya nini huwa kama...
  8. JamiiForums Tanzania WHO: Watu 871000 wanakufa KWA UPWEKE duniani Kila mwaka: 100 Kila baada ya Saa moja

    KWA Mujibu wa Shirika la Afya duniani mtu mmoja kati ya sita anasumbuliwa na Tatizo la UPWEKE. Tatizo hili hupelekea stress, magonjwa ya MOYO, kisukari na magonjwa yasiyoambukiza. KWA wanafunzi hupelekea kushuka KWA maksi darasani, watu wazima hupelekea hata kupata ugumu wa kupata kazi na...
  9. JamiiForums Tanzania “Kwa Nini Wakristo na Waislamu Hujiona Bora, Ilhali Kuna Zaidi ya Dini 4000 Duniani?”

    Wakuu Duniani kuna zaidi ya dini 4000, kila moja ikiwa na waumini wanaoamini kuwa njia yao ni sahihi. Hata hivyo, Wakristo na Waislamu — wakiwa dini mbili kubwa zaidi — mara nyingi hujionyesha kana kwamba wao tu ndio walio kwenye ukweli wa kipekee. Je, huu ni ushahidi wa ufunuo wa kweli...
  10. JamiiForums Tanzania Term hii Nchi itakua inachekesha zaidi duniani kama hawa wabunge wote wakishinda😎

    Ninao ona wanachukua form nashindwa kuelewa au ni maigizo Yaan ni kama bongo movie itaongoza nchi
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Nadharia ya "utu wema" toka kwa gwiji la falsafa duniani - Aristotle

    https://www.facebook.com/share/r/196jATvBN Wakati anaichambua Nadharia hii ya "utu wema" alimalizia kwa kusema "Tabia njema ni msingi wa maisha Bora"
  12. JamiiForums Tanzania Kuku ghali zaidi duniani

    1. Ayam cemani 2. Sultan 3. Phoenix 4. Yokohama 5. Polish crested 6. Sebright 7. Frizzle
  13. JamiiForums Tanzania Hakuna nchi nyepesi kuongoza duniani kama TZ. Sikutegemea Simba kupeleka timu uwanjani leo

    Imagine Uto leo Wana hamu ya kucheza mechi, TAREHE 15 hamu Yao ilikuwa wapi mpaka wakavaa na Jezi zenye maandishi ya Hatuchezi Ng'oo? BODI ya ligi na TFF hawajatueleza aliyebadilisha Tarehe ni nani? kwa kanuni ipi kwa makubaliano na nani? kwanini bodi ibadilishe Tarehe na kupanga Tarehe mpya...
  14. JamiiForums Tanzania Historia ya McDonald's: Safari Kutoka Mgahawa Mdogo Hadi Mnyororo Mkubwa wa Chakula Duniani

    McDonald's ilianzishwa mwaka 1940 na ndugu wawili, Richard na Maurice McDonald, waliokuwa wakijulikana kama Dick na Mac. Walifungua mgahawa wao wa kwanza huko San Bernardino, California, Marekani. Mwanzoni, walikuwa wanauza vyakula vya barbeque na walikuwa na menyu yenye zaidi ya aina 20 za...
  15. JamiiForums Tanzania Historia ya McDonald's: Safari Kutoka Mgahawa Mdogo Hadi Mnyororo Mkubwa wa Chakula Duniani

    McDonald's ilianzishwa mwaka 1940 na ndugu wawili, Richard na Maurice McDonald, waliokuwa wakijulikana kama Dick na Mac. Walifungua mgahawa wao wa kwanza huko San Bernardino, California, Marekani. Mwanzoni, walikuwa wanauza vyakula vya barbeque na walikuwa na menyu yenye zaidi ya aina 20 za...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi Mungu ametuumba duniani tuje kufanya kazi na kuwa matajiri au masikini? Na kwanini?

    Hivi wakuu Mungu ametuumba sie wanadamu tuje kufanya kazi? Na kuwa matajiri? Na kwanini wengine ni matajiri na wengine ni masikini? Na je kuna watu special wameumba kuwa matajiri na kuna watu special wameumbwa kuwa masikini? Na kwanini iwe hivyo? Na ili kuishi duniani lazima tufanye kazi ndiyo...
  17. JamiiForums Tanzania Je ? Kuwa mtu mwema ni kweli kunakufanya uishi maisha bora hapa duniani ?

    Habari wana jf. Nimekua nikisoma makala mbali mbali na material mbali mbali uko mtandaoni nimekua nikitaka kujua na kufatilia je maisha yanakua bora na salama pale unapo amua kuwa mtu mwema sana (nice guy) hapa duniani. Leo nimeona nililete mbele yenu wana jf nisikie mitazamo yenu Pia niweke...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi Dudubaya yeye anajua kila kitu hapa Duniani mpaka awe anatolea ufafanuzi wa kila jambo lenye utata?

    Kila mara naona kwenye mitandao waandishi wa habari wanamfuata dudubaya kumhoji kuhusu mambo flani flani. Recently nimeshangaa eti waandishi wamemfuata atolee ufafanuzi kinachoendelea huko middle east na upi ni msimamo wake. Imenishangaza kidogo, sasa msimamo wa dudubaya kwenye siasa za middle...
  19. JamiiForums Tanzania Wahhabi: Dini au Donda? Chanzo cha makundi ya fujo Duniani

    Wewe shika stuli, kaa vizuri. Leo nakusimulia stori ya jamaa mmoja aliyewasha moto hadi leo dunia inachoma. Sio moto wa kuni, ni moto wa akili, damu, mabomu, na msimamo mkavu. Jamaa anaitwa Muhammad ibn Abdul Wahhab. --- 📍 Najd, Saudia – Karne ya 18 (Miaka ya 1700s) Najd ilikuwa pori tupu...
  20. JamiiForums Tanzania Tamasha la Utamaduni la Bulabo - UN wapongeza

    Tamasha la Utamaduni la Bulabo. Limepigiwa chapuo na UN katika kuendeleza Utamaduni wa asili wa Mwafrika kama Mkataba wa UNESCO Convention on Intangible Cultural Heritage wa 2003 unavyoelekeza. Hongera Mheshimiwa Dr Samia. Lucas Mwashambwa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…