Tamasha la Utamaduni la Bulabo - UN wapongeza

Tamasha la Utamaduni la Bulabo - UN wapongeza

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,803
Tamasha la Utamaduni la Bulabo. Limepigiwa chapuo na UN katika kuendeleza Utamaduni wa asili wa Mwafrika kama Mkataba wa UNESCO Convention on Intangible Cultural Heritage wa 2003 unavyoelekeza. Hongera Mheshimiwa Dr Samia.
Lucas Mwashambwa
 

Attachments

  • ikulu_mawasiliano_24982956.jpg
    ikulu_mawasiliano_24982956.jpg
    183.4 KB · Views: 35
  • ikulu_mawasiliano_24982363.jpg
    ikulu_mawasiliano_24982363.jpg
    225.6 KB · Views: 32
  • ikulu_mawasiliano_24983037.jpg
    ikulu_mawasiliano_24983037.jpg
    188.2 KB · Views: 29
  • ikulu_mawasiliano_24982688.jpg
    ikulu_mawasiliano_24982688.jpg
    231.1 KB · Views: 32
  • ikulu_mawasiliano_24982763.jpg
    ikulu_mawasiliano_24982763.jpg
    191.6 KB · Views: 37
  • ikulu_mawasiliano_24982909.jpg
    ikulu_mawasiliano_24982909.jpg
    190.3 KB · Views: 27
  • ikulu_mawasiliano_24982854.jpg
    ikulu_mawasiliano_24982854.jpg
    171.8 KB · Views: 36
Tamasha la Utamaduni la Bulabo. Limepigiwa chapuo na UN katika kuendeleza Utamaduni wa asili wa Mwafrika kama Mkataba wa UNESCO Convention on Intangible Cultural Heritage wa 2003 unavyoelekeza. Hongera Mheshimiwa Dr Samia.
Lucas Mwashambwa
Wewe ndiyo maana huwa nasema wewe ni bumunda. Bulabo limekuwapo toka enzi enzi hizo takataka wala hazina mchongo wowote hapo!
 
Hili ni Tamasha La Mama.

Na mm nataka kuwekewa uume bandia pale Mloganzila, huu uume utaitawa......?
 
UNESCO au TANESCO ? Unesco hawawezi fanya upuuzi. Wakifanya hivyo, trump atakuwa alikuwa sahihi kuwanyima pesa
 
Kichwa cha habari na habari haviwiani.

Hiyo taarifa ya UN kupongeza hilo tamasha iko wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom