Kumbe kuna wazee wa hovyo hivi hapa Duniani

kiss ov love

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2025
Posts
9,388
Reaction score
16,177
Wakuu nisiwachoshe, tusichoshane hii ID mwanzoni nilikuwa najiita binti sayunii, nimechange juzi tu hapo.

Sasa ile thread nilileta kuhusu mbaba wa miaka 46 anataka kunioa, nimekuja kujua ni usanii mkubwa sana, alitaka kunifanyia, kama hawa vijana wa hovyo.

Mwanzoni aliniambia yuko tayari muda wowote nikikubali tu atanioa, baadae baada ya kuwasiliana naye akawa ananipigia usiku ananiambia niende kwake au aje kwangu mimi niligoma, kingine alikuwa anaongelea sana the way atakavyonifikisha huko mlima kilimanjaro tukiwa kwenye sita kwa sita, na hii siyo mara moja wala mara mbili.

Mimi mtu anayeongelea sana ngono kiukweli siwezani naye kabisa, nilimwambia afanye mambo yake mimi bado nakula ujana, akanikaushia kwanzia hapo.

Samahanini mtakaokwazika kwa huu uzi.

Cc.
secretarybird
Nomadix
Kijana Masikini
 
Kwanza umetuchosha na tunachoshana, nimekuja kugundua huyo mbabu wa miaka46 na wengine unaowasimulia zote ni chai, story ya ukweli ya msukuma hauileti unaificha!

Mpenzi wako asiongee na wewe kuhusu mzabzabuano, unataka ajadili na wewe kuhusu kuchukua fomu ya ubunge ama!
 
Ni babangu huyo, ana miaka 82 ni tamaa tu ndiyo zimemjaa.

downloadfile-188.jpg
 
Wakuu nisiwachoshe, tusichoshane hii ID mwanzoni nilikuwa najiita binti sayunii, nimechange juzi tu hapo.

Sasa ile thread nilileta kuhusu mbaba wa miaka 46 anataka kunioa, nimekuja kujua ni usanii mkubwa sana, alitaka kunifanyia, kama hawa vijana wa hovyo.

Mwanzoni aliniambia yuko tayari muda wowote nikikubali tu atanioa, baadae baada ya kuwasiliana naye akawa ananipigia usiku ananiambia niende kwake au aje kwangu mimi niligoma, kingine alikuwa anaongelea sana the way atakavyonifikisha huko mlima kilimanjaro tukiwa kwenye sita kwa sita, na hii siyo mara moja wala mara mbili.

Mimi mtu anayeongelea sana ngono kiukweli siwezani naye kabisa, nilimwambia afanye mambo yake mimi bado nakula ujana, akanikaushia kwanzia hapo.

Samahanini mtakaokwazika kwa huu uzi.

Cc.
secretarybird
Nomadix
Kijana Masikini

Tokauliwekisamfubasiniupuuzituhumu
 
Utajuta kumpoteza mubaba
 
Back
Top Bottom