Kwa haya yanayoendelea kwetu Tanganyika, nchi ya ya Julius Kambarage Nyerere, ungelogwa ukaja eti kumzika baba yako, ungelipote mazima .
Mshukuru sana Mungu wako na malaika Gabriel aliyekuongoza.
Taifa ambalo redioni ahsubuhi wanajadili michezo.Mchana hadi jua linapo zama wanarudi kwenye michezo,usiku wanajadili ngono hadi pakuche.hakuna vipindi vya taaluma ujasiriamali,Kilimo,Midahalo.
Hilo ni Taifa ambalo lipo kaburini kitambo...! (Kigogo Kigogo)
Na kutokana na hii Aibu ndiyo maana...
Watu Huwa wanasema malipo ni hapa hapa Duniani
Kwa Sasa kati ya Gaza na Israel hakuna anayemchaka mweziwe
Na ndio kwanza mashambulizi Yana wiki Moja ikifika mwezi mmoja sijui itakuwaje
Huko brazili kuna kituko sio cha Tlaatlaah au Lucas Mwashambwa Fikiria hili kama sinema ya vichekesho isiyoandikwa kuna Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 54 huko Brazil alienda hospitali baada ya kukumbwa na maumivu ya tumbo yasiyoelezeka. Lakini si kawaida – kumbe alikuwa amejichomeka...
Haya wale wazee wa IRAN ni super power mpo..? Njooni huku muone ukubwa wa super power.
Ila kwa ujumla USA apewe heshima yake.
Kuna vi nchi vina mtishia US anaamua tu kuviangalia alafu anavihurumia na kukataa kuvipea trending.
Hako ka kiduku + kobazi wote + Russia + Afrika yote ndege za US...
Kuyumba kwa biashara duniani kutokana na vita ya ushuru iliyozushwa na Rais Donald Trump wa Marekani, uhusiano wa kibiashara kati ya China na Afrika umekuwa unaendelea vizuri, na thamani ya biashara kati ya pande hizo mbili imeendelea kukua kwa miaka 16 mfululizo, na mwaka jana thamani hiyo...
Sababu kubwa zinazofanya watu wanaoielimisha jamii kuhusu unyonyaji fulani kupewa kesi za uchochezi ni:
1. Kutishia maslahi ya wenye mamlaka.
– Mara nyingi wanaosema ukweli huibua maovu yanayohusu viongozi, taasisi au makundi yenye nguvu.
– Hii huonekana kama tishio kwa mfumo uliopo.
2...
Taarifa kutoka nchini Iran zimesema kuwa leo siku ya Alhamisi huenda dunia ikaandika katika historia kwani Iran inaweza kupiga israel kombora lake la sumu ambalo halizuiliki wala kuonekana kwenye rada na linafika Israel ndani ya dk 6 tu
Iran imesema haitalaumiwa kwa lolote
Ukiangalia hali zote za kisiasa na uchumi zinazoendelea duniani kote kwa muongo mmoja uliopita inaashiria dhahiri demokrasia imechokwa na inaenda kufikia mwisho hivi karibuni. Watu watakaoendelea kuzungumiza demokrasia wataonekana ni wehu na wendawazimu tu wasioona na kukubali uhalisia.
Ukweli...
Salaam, Shalom!
Usilolijua ni kuwa, Kila mtu anaye malaika special toka kwa Mungu tangu kuzaliwa aliyeweka kuchukua kumbukumbu zote za mtu Akali akiishi na kuziandika kwenye KITABU maalum.
Killa ukifanyacho kinaandikwa, matendo yote, mazuri kwa mabaya ynaandikwa, ndio maana Mungu huwa anapata...
Natamani nami siku moja niweze kuhudhuria kikao cha G7, imekuwa ni ndoto yangu ya siku nyingi sana tangu nikiwa mdogo; sasa sijui itabaki kuwa ndoto tu au ipo siku nami nitashiriki?
Wananzengo, mnanisaidiaje nami niweze kutimiza hii ndoto?
Kuna baadhi ya watu wajinga wameibuka na kusema ati fifa watatufungia kuwa serikali imeingilia michezoni
Kwanza nimpongeza Rais Samia kwa hekima yake kuu ya kusuluhusha huu mgogoro
Watu wasijadanganye ati serikali haiingilii michezo kimsingi hakuna sehemu ambapo serikali haiingilii hata...
Hawa jamaa hatunao tena hapa Duniyani. Wameenda akhera. Walikuwa wakionesha ukubwa wa irani na silaha za hatari. Wakati huo wapinzani wao wanawalia tu timing.
Nikakumbuka na vita ya Ukraine na Russia. Ambayo Russia alisema 7 days atakuwa amemaliza hiyo operation na si vita. Na silaha za kisasa...
THBUB inaungama na Wadau wote katika kuadhimisha Siku ya Wazee Duniani.
Tamko la Tume Haki Binadamu (THBUB) wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kupinga Ukatili Dhidi ya
Wazee Juni 15, 2025
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) inaungana na wadau wote katika kuadhimisha Siku ya Wazee...
Watu wanashindwa kutambua kuwa Marekani ilishaachana na sera za kujenga mabarabara na shule, ajenda yao kuu ni kuwa na nguvu Duniani, kuitawala Dunia, kuiweka Dunia kiganjani.
Ulaya yote hakuna anayekoroma pale ambapo Marekani anatoa maelekezo yake kuhusu Dunia, zaidi ya kuwa watu wa Ulaya ni...
Tanzania imeendelea kufanya vibaya kwenye masuala ya haki na uhuru wa kujieleza ikirudi nyuma kuoka point 35 mwaka 2014 hadi point-38 mwaka 2024.
Katika muongo uliopita, uhuru umepungua kwa kasi katika nchi nyingi duniani.
Viongozi wa kiimla wamepanua mamlaka yao kwa kubadili katiba...
Hakuna wasiwasi wowote kwamba mashambulizi ya Israel ndani ya Iran yaliyopelekea kushambuliwa kwa vinu vyake vya nuklia na kuuwawa kwa makamanda wake wa kijeshi pamoja na wanasayansi wake wa juu kabisa ya nuklia yamefanikiwa kwa taarifa nyeti na ujasusi mahiri kutoka Mossad, bila ujasusi mkali...
Serikali kupitia wizara ya afya imedhamiria kuadhimisha Siku ya Wachangia Damu Duniani kwa kufanya kampeni ya kitaifa ya uchangiaji damu, itakayofanyika tarehe 14 Juni 2025 katika mikoa yote ya Tanzania Bara. Kampeni hiyo inalenga kuhamasisha wananchi kuchangia damu kwa hiari na kuongeza...
Ningekuwa Rais, muda huu ningekuwa nimeshamla kichwa Waziri wa Mambo ya Ndani (Bashungwa) kwani button aliyogusa ni nyeti mnoo na huwa haiguswi ovyo ovyo.
Bila Dini, hakuna siasa. Kumbuka watu wako tayari kufia dini lakini siyo chama cha siasa. Waumini wanawaamini viongozi wao wa dini zaidi ya...
SIRI NA MUSTAKABARI WA MAISHA YA SASA YA WANASIASA NA WASANII DUNIANI
Tom McDonald ni msanii wa muziki wa hip-hop ambaye ameweza kujitokeza na maudhui yanayohusiana na masuala ya kijamii, siasa, na utamaduni. Katika baadhi ya nyimbo zake, amezungumzia mada kama vile Illuminati, cloning ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.