duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MFALME WETU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada kama hujaolewa na unataka kuonja ladha ya peponi ukiwa hapahapa duniani hakikisha unaolewa na mwanaume tokea kanda ya ziwa au Mzanzibari

    Ugonile, kwa Tanzania hii ukisikia mtu anaongelea kuhusu Wanaume basi jua automatically ni wanaume wa kanda ya ziwa. Wanaume wa kanda ya ziwa wana kila sifa za uanaume, watakuja apa kuponda lakini huo ndo ukweli. Simaanishi kuwa wanaume tokea kanda zingine kama Kaskazini, Pwani au kati sio...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haji Manara nani kakudanganya kuwa Karia kusema Yanga SC "wakaendelee na Sinema zao" ni Kudhalilishwa au wana Filamu nchini / duniani wametukanwa?

    Kwa tuliosoma vyema Lugha na Mbinu za Lugha kwa hakika tumekushangaa sana kwa jinsi Haji Manara ulivyoishupalia hii Kauli ya Rais wa TFF Wallace Karia aliposema kuwa Yanga SC wakaendelee na Sinema zao kama wamechoka Kucheza Mpira. Na najua wapo wana Yanga SC Wapumbavu nao watakuwa wamekuunga...
  3. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Ushajuliza kwa nini watu kama Elon na Donald Trump wanapata chuki kubwa nchini mwano na duniani kote ingawa wanafanya yale ya kuimarisha nchi yao?

    Katika misimamo ya ki-conservative, majemedali hawa wanataka marekani iwe marekani ya viwango vikubwa bila ya kupoteza asili, utamaduni na chapa yake ya kuwa nchi yenye nguvu zaidi duniani. Wamekuwa maadui kwa wafuatao: Mashoga Transgenders Wanaofanya abortion Wahamiaji holela Wavushaji wa...
  4. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Waanga waliokwama Angani takribani miezi 9 wamepatikana watarudishwa Duniani🌍

    Timu kutoka SpaceX Crew Dragon imefanikiwa kutiananga kwenye kituo kimoja cha kimataifa cha Anga za Juu (ISS) na kuweka mazingira mazuri ya kuwarejesha wanaanga wa NASA ambao wametumia karibu miezi tisa katika obiti. Wanaanga hao kutoka Nasa Sunita Williams Na Butch Wilmore wataweza kurejea...
  5. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Tanzania kununua umeme kwene nchi masikini zaidi duniani Ethiopia?? Nawaza sipati jibu

    Nchi yetu tulipaswa tutawaliwe miaka 200 tena. Bado kabisa yaan
  6. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Mycelium (Uyoga): Kiumbe Kikubwa Zaidi Duniani na Hadithi ya Uhai Usioonekana

    Je, uhai lazima uwe na macho? Lazima utambe au uruke? Au unaweza kuwa kitu tulivu, kinachostawi gizani, kikienea polepole kwa mamia ya karne bila mtu yeyote kugundua? Katika simulizi ya ajabu ya maisha, kiumbe kikubwa zaidi duniani si nyangumi wa buluu anayetamba baharini, wala si mti wa miwata...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Zifahamu tamaduni za ajabu na kushangaza zaidi duniani

    Zifahamu tamaduni za ajabu na kushangaza zaidi duniani
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha Mwanzo na kikongwe zaidi duniani kilianza kama madrasa ndani ya msikiti. Kipo Afrika na kilijengwa na mwanamke

    Madrasa ndio mfumo mkongwe zaidi wa kutoa elimu ambao umedumu kwa karne kadhaa kabla hata Ulaya hawajajua kusoma na kuandika na Marekani haijajulikana kuwepo kwenye uso wa dunia. Katika kufuatilia historia ya ukuwaji elimu utapata kujua kuwa chuo kikuu cha mwanzo duniani ni kile kilichoanzia...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Pendekezo la Ustaarabu Duniani limepongezwa sana barani Afrika?

    Tarehe 15, Machi, wikiendi hii, Pendekezo la Ustaarabu Duniani litatimiza miaka miwili tangu lilipotolewa na rais wa China Xi Jinping. Katika kipindi hicho, kutokana na kanuni zake za kusisitiza uwazi na ujumuishi, usawa na kufunzana, Pendekezo hilo limetoa hekima ya China katika kukabiliana na...
  10. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Tangu Yesu Kristo aondoke duniani zimepita siku mbili na dakika 25.

    Miaka elf moja kwa Mungu ni sawa na siku moja. Tunaweza dhani ni miaka mingi sana imepita toka Yesu aondoke duniani kumbe kwa Mungu ni sawa na siku mbili tu.
  11. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Arusha ilikua siku ya wanawake duniani au Siku ya Mhe.Raisi Samia Suluhu Hassan?

    Wasalaam Sifa nyingi kapewa mhe. Kahaidiwa na kupata kura nyingi Shughuli hii ilikuwa ya kumpa 'mama' maua yake katika mlengo wa kisiasa hasa kupitia chama chake cha mapinduzi?(sina shida na hilo) Au alialikwa kama mgeni rasmi kwenye sikukuu ya wanawake? Kama jibu ni la kwanza heko shughuli...
  12. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Tundu Lissu Mlimani City kwenye sherehe ya siku ya wanawake duniani Kule Samia (Chura Kiziwi) huku Tundu Lissu, Rais wa mioyo ya WaTZ

    https://youtu.be/y8KzIdDQTRY?si=h48lxjkU07dTz-9S Kule Samia na taarabu, huku Tundu Lissu, Rais wa mioyo ya Watanzania..
  13. Right Marker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kilichowakuta wanaume wengi leo siku ya wanawake Duniani

    Naamini leo wanaume wengi tumejitahidi kuwawish wanawake katika siku yao ya leo (Siku ya Wanawake Duniani - machi 8, 2025). Wengi tumekutana na mapokeo yafuatayo: Mapokeo - Mwanaume asiyekuwa na hela: 🙍MWANAUME:👁️‍🗨️ "Happy woman's Day jirani yangu, Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu, afya...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanamke tegemezi asiye na Kazi huwezi sema anakuheshimu au kukutii. Heshima inatoka kwa mtu anayejitegemea Nje ya hapo tegemea Unafiki.

    MWANAMKE TEGEMEZI ASIYE NA KAZI HUWEZI SEMA ANAKUHESHIMU AU KUKUTII. HESHIMA INATOKA KWA MTU ANAYEJITEGEMEA NJE YA HAPO TEGEMEA UNAFIKI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwa Sisi tusiopenda unafiki na tunaojua hulka na akili ya binadamu. Kamwe hatutazamii heshima yoyote kutoka kwa mtu asiye...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Siku ya Wanawake duniani:- Ni aibu mwanaume kuomba lift kwenye gari ya mwanamke, kumuomba mwanamke vocha, rent ya nyumba etc

    Huna gari, huna nauli, msomeshe mwanaume mwenzako akusaidie. Sio umuombe Hela, mweleze, nafika sehemu Fulani ila nimekwama nauli, je unanisaidiaje ili nifike huko niendako? Kama atajisikia kukupa pesa, sawa, kama atakuitia boda sawa, kama atakuombea lift kwa jamaa zàke waendao huko uendako ni...
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Siku ya Wanawake Duniani: Haiba ya Wanawake wa Mwanzo Kuingia TANU

    Hizo picha mbili hapo chini zote zimepigwa siku za mwanzo kabisa za kuundwa kwa TANU na kuanza kwa harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika. Nimechagua picha hizi mbili ili kuonyesha haiba ya wanawake wapigania uhuru wa Tanganyika. Wanasema picha inazungumza maneno 1000 na pia jicho la camera...
  17. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Hivi huu mwezi ukilipuliwa , mabaki yake yataangukia huku Duniani?

    Nimekaa nikawaza hapa , hizi kombora za nyuklia wanazomiliki mataifa makubwa ,wakazitumia kuulipua mwezi Je mapande yake yataangukia huku duniani ? Au ikatokea umelipuka wote , mabaki yatabaki huko angani yakielea? Nawasilisha.
  18. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ni Kielelezo cha Uongozi wa kina Mama Duniani

    Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake, hakuna mfano bora wa mwanamke shupavu, mwenye maono na anayevunja vikwazo kuliko Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan. Safari yake ya uongozi si tu fahari kwa Tanzania bali pia ni mwangaza kwa wanawake duniani...
  19. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kata ya Itamboleo wilayani Mbarali ni balaa

    Maadhimisho hayo yaliyojaa shamra shamra, shangwe huku Jina la mama Samia likiinuliwa Juu mawinguni yameenda vizuri hadi kupelekea mgrni rasmi ambaye ni diwani wa kata hiyo kutoa zaidi tani moja na nusu za mchele kwajili ya shule zote zilizopo katani hapo baada ya wakina mama kutoa changamoto...
  20. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri, super power ni moja tu hapa duniani

    Israel bila Marekani, si kitu huko Mashariki ya Kati. Taiwan bila Marekani, si kitu mbele ya China. Korea Kusini bila Marekani, si kitu mbele ya Kim Jong Un. Na Ukraine bila msaada wa Marekani, si kitu mbele ya Urusi ya Putin. Jana Rais Trump kachomoa misaada ya kijeshi ya Marekani kwenda...
Back
Top Bottom