duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lamborgini

    JamiiForums Tanzania Nyama zinazoongoza kuliwa duniani

    Nguruwe ndiyo nyama inayoliwa zaidi duniani, ikichangia asilimia 36 ya matumizi ya nyama duniani kote. Inayofuata kwa karibu ni kuku (asilimia 33), ikifuatiwa na nyama ya ng’ombe kwa asilimia 24 na mbuzi/kondoo kwa asilimia 5. Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) pamoja na...
  2. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Waafrika ni Race inayoongoza kwa Kulalamika Duniani na kuwa Dhaifu

    1. Utasikia Wazungu wanatubagua 2. Waarabu wanatubagua 3. Wachina wanatubagua 4. Wasouth Africa wanatubagua 5. Serikali zao zinawabagua 6. Wanabaguana kwa dini 7. Itikadi 8. Kabila 9. Koo 10. Imani Ni Race Lalamishi ambayo haijawahi tokea Duniani. China iliwahi tawaliwa na Japan. Kwa sasa China...
  3. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ndege za Kivita hatari zaidi Duniani

    Kwa mwaka 2025, ndege ya kivita inayoongoza duniani ni Lockheed Martin F-35 Lightning II, ikizingatia teknolojia ya kisasa, uwezo wa kiutendaji, na matumizi ya kimataifa. 🔝 Ndege Bora za Kivita Duniani (2025) 1. F-35 Lightning II (Marekani) Uwezo wa Stealth: Imeundwa kwa teknolojia ya hali...
  4. Daby

    JamiiForums Tanzania Kwa miongo ulioishi Duniani umejifunza nini?

    Salaam., Walimwengu wanasema "experience is the best teacher" , kiukweli hawakudanganya au kukosea. Kila siku unapoamka unajifunza mapya au una update uliyokuwa unayajua nusu. Muda mwingine unagundua ulilokuwa unalijua sio jibu sahihi la swali. Kumbe hukuwa-exposed na mazingira ndiyo maana...
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Yafahaumu matunda hatari zaidi Duniani yanayoweza kusababisha kifo

    Wakuu piteni hapa kujua mawili matatu hivi. Karibuni sana.Matunda ni ovari zilizokomaa, zilizoiva za mimea ya maua ambayo humiliki mbegu na mara nyingi ni chakula kitamu. Ni sehemu muhimu ya mzunguko wa uzazi wa mmea, kusaidia kutawanya mbegu na kuwezesha ukuaji wake. Lakini mara nyengine...
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Prof. Mohammed Janabi, mgombea kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika

    Prof. Mohammed Janabi, mgombea kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika unaofanyika leo Jumapili Mei 18, 2025 akijinadi mbele ya Mawaziri wa Afya kutoka nchi za Bara la Afrika na kuwaomba kumuunga mkono
  7. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu cha maana hapa duniani kama kutafuta amani na Furaha yako!

    Mengine mengi ni upuuzi mtupu, muda wetu hapa duniani ni mfupi sana, jipiganie upate amani, Furaha, na vichache kwa ajili ya vijana wako kwa hapo baadae ispokuwa wape vijana elimu kweli maana ndiyo msaada wao mkubwa sana, mali zitapita, majumba yatapita, magari yatapita lakini uzao bora wenye...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kama tupo duniani kwenye sayari zaidi ya bilioni ndanu ya ulimwengu wa galaxy tuliyopo na zaidi ya galaxy bilioni 2.Basi kuna viumbe vipo huko

    Naweza kukataa kuwa sisi tuliopo duniani ndio watu wenye uhai pekee. Kwa tafiti za wanasayansi wanavyo zidi kutambua sayari zenye mfano wa dunia kama kepler na nyingine zinaweza kuthibitisha kuwa uhai wa viumbe hupo sehemu nyingi kwenye ulimwengu wa anga za sayari. Kama tutaweza kuwa na vyombo...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Naapa sitoondoka Chadema labda Tundu Lissu na Heche wasiwepo duniani

    Naapa sitoondoka Chadema labda Makamanda Tundu Lissu na Heche wasiwepo duniani, Maana hawa wengine nimegundua walikuwa nyoka tu,akiwemo kiongozi wao Mbowe Na sitokuja kujiunga na Chama chochote kile,labda kiwe chini ya hawa makamanda Tundu Lissu na Heche, lakini siyo hivi vyama vya waganga...
  10. President of China

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire, Robert Beugre Mambe Jijini Abidjan

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire, Robert Beugre Mambe na kujadiliana nae masuala ya kidiplomasia, kiuchumi, teknolojia, kilimo na michezo kwenye kikao kilichofanyika ofisini kwa mwenyeji wake, Boulevard Angoulvant Plateau, Jijini Abidjan. Waziri Mkuu...
  11. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Utajiri vs umaskini kipi ndio chanzo Cha Uovu mwingi duniani?

    Utajiri vs umaskini kipi ndio chanzo Cha Uovu mwingi duniani? Karibuni wadau tujadili.
  12. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna timu kubwa duniani kuzidi Barcelona na Liverpool natafuta fundi anaeweza kuchora nembo za hizi timu kwenye nyumba yangu

    Aisee hizi timu zinatisha maana Kwa boli linalopigwa na usajili wao mbingu na ardhi aisee mungu anipe nini mimi maana msimu huu Kila mwisho wa wiki mama watoto namuambia apike pilau Ili tujiburudishe natafuta fundi anaeweza kuchora nembo ya Barcelona na Liverpool kwenye nyumba yangu forca barca...
  13. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo mimea mitano inayolindwa zaidi Duniani Na maisha ya siri ya kujamiana kwa mimea!

    Welwitschia ni mmea wa kipekee unaopatikana katika jangwa la Namib, kusini mwa Angola na Namibia. Ingawa ina majani mawili tu, huweza kuishi kwa zaidi ya miaka 1,000. Kwa mujibu wa Botanical Society of Namibia, mimea hii huchukua maji kutoka kwenye ukungu wa asubuhi na hivyo kustahimili...
  14. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania SACP Ramadhani A. Mungi: Maendeleo ya Taifa lolote lile Duniani yanaletwa na Vijana

    Mkuu wa Shule ya Polisi Tanzania – Moshi (TPS), SACP Ramadhani A. Mungi akizungumza alipokuwa Shule ya Polisi Tanzania - Moshi (TPS) wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo ya Mwedani za Kivita kwa Wanafunzi wa mafunzo ya Awali Kambi ya Kamba Pori, Mei 6, 2025.
  15. U

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki wanafundishwa utii, unyenyekevu na tafakuri kabla ya kunena, Wasabato hayo hayapo kila muumini anajua na aweza bishana na mchungaji wake!

    Wadau hamjamboni nyote? Huku ndiyo ukweli hata kama unaumiza ila ndiyo ukweli Kanisa Katoliki lafundisha utii na unyenyekevu pamoja na tafakuri ya kina kwa waumini wake wote Hali ni tofauti na huku kwetu kila muumiini anajiona anajua na anayo mamlaka kuhoji au kumuhoji hata mchungaji wake...
  16. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Orodha ya viongozi Matajiri Duniani

    💵 Top 15 Richest World Leaders currently in office 🌍 1 🇷🇺 Vladimir Putin - $200B 2 🇰🇵 Kim Jong Un - $5B 3 🇺🇸 Donald Trump - $4.9B 4 🇨🇳 Xi Jinping - $1.5B 5 🇬🇶 Teodoro Mbasogo - $600M 6 🇦🇿 Ilham Aliyev - $500M 7 🇹🇷 Recep Erdogan - $500M 8 🇷🇼 Paul Kagame - $500M 9 🇿🇦 Cyril Ramaphosa - $450M 10 🇰🇪...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Je ni zipi sababu za msingi zinazowafanya Wasabato duniani kote wachukie na kukereka sana unapoambua au kuwaeleza habari za Msalaba?

    Moderator naomba Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali lengo ni kuelimishana Sio kama natunga hadithi au naleta uzushi ila nachokuambia ndiyo ukweli halisi kuwa hao Ndugu zetu ukitaja tu msalabani ambao aliangikwa Yesu Kristo Huwa wanakosa Raha Naam baadhi yao hufilia hatua ya kusema kuwa...
  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mtaro mkubwa zaidi duniani

    Mtaro wa Meli wa Stad, ambao kwa sasa unajengwa kwenye Rasi ya Stad magharibi mwa Norway, unakaribia kuwa mtaro wa kwanza kamili wa meli duniani—utendaji mkuu wa uhandisi wa kisasa. Mtaro huu wenye urefu wa kilomita 1.7 (kama maili 1.1) ambao umeundwa ili kuvuka sehemu nyembamba zaidi ya...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania CCM ni Mwanachama Hai wa 'Progressive Alliance' chama kinachotetea Ushoga Duniani.

    Tumefichwa kwa muda mrefu leo ukweli umejulikana. https://progressive-alliance.info/guiding-principles/ Who We Are: The progressive, democratic, social-democratic, socialist and labour movement is based on a common commitment to human rights and the joint pursuit of freedom, justice, social...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya kuzima mabadiliko ya watu wenye tamaa za madaraka imefeli badala yake imechochea mwamko mkubwa wa mabadiliko nchini na duniani kote

    Kila siku zinavyozidi mbinu ya wenye tamaa ya madaraka kuzima mabadiliko kwa uhalifu na utekaji, uwepo wa kesi za mchongo, kwa kujificha kwenye kichaka cha demokrasia na amani ndio inaamsha watu ndani na nje ya nchi kuunga mkono kwa kasi mabadiliko hayo, uwenda pia bunge la marekani na dunia...
Back
Top Bottom