Nahisi Tanzania inaongoza kwa furaha duniani

Nahisi Tanzania inaongoza kwa furaha duniani

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,999
Reaction score
61,237
Nchi Fulani watu wanapenda mpira na burudani muda wote kula bata Tu
Kwa hiyo hamtaweza kumpindua mama Samia labda polepole ajage kufanya maajabu awe rais na polepole me namjua ninkweli mzalendo nakumbuka chuoni alituita viwanja vya mnazi mmoja watu wa uvccm kichuo..jamaa ana points vibaya mno za socialism.polepole NI mtata Ila kwa elimu yake analeta influence nzuri kama kijana.Ila hii nchi tusipangiane Sana wengine kila siku tunakula hatuoni ubaya wa serikali.nrne Oct tuna ✔️
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom