Kwanini Idadi ya watu duniani inakaribiana Me&Ke

Kwanini Idadi ya watu duniani inakaribiana Me&Ke

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
6,133
Reaction score
11,391
fe26899b-1970-4020-b9d6-cc332016be55.png

Hili nijambo la kushangaza lakini ndio ukweli , pamoja na high mortality rate ya Me lakini bado idadi inakaribiana sana , kwa nchi na nchi ukikuta Me wamezidi basi haizidi 2% na ukikuta Ke wamezidi hawazidi 1% hata hivyo Science inaonesha chance kubwa ya kuzaliwa mtoto wakiume kuliko wa kike ,, kwanini idadi ikaribie kubalance ? Nani anasimamia huo mchakato?
 
Kwenye sikukuu za xmas au mwaka mpya ukisikia idadi ya watoto waliozaliwa unakuta wa kiume ni wengi kuliko wa kike. Lakini survival rate ya mtoto wa kiume iko chini kuliko ya mtoto wa kike, the same applies to life expectancy ya adult men. So ndio maana wanawake wanakuwa wengi kidogo.
Vifo vya wanaume ni vingi sana tena vijana
 
Na iko hivyo kwa kipindi kirefu Sasa kuna wajinga wakishajinywea visungura wanaanza kuropoka eti wanawake ni wengi kuliko wanaume!!
 
Kwenye sikukuu za xmas au mwaka mpya ukisikia idadi ya watoto waliozaliwa unakuta wa kiume ni wengi kuliko wa kike. Lakini survival rate ya mtoto wa kiume iko chini kuliko ya mtoto wa kike, the same applies to life expectancy ya adult men. So ndio maana wanawake wanakuwa wengi kidogo.
Vifo vya wanaume ni vingi sana tena vijana
Lakini duniani total population tumewapita wanawake kidogo
 
Back
Top Bottom