dunia

  1. JamiiForums Tanzania Huyu Malaika anayetenganisha Dunia ya Uhai na Dunia ya Wafu (Kuzimu)

    Wasaalaam Kipindi kile tungali wadogo ,tuliishi kwa ngano na hekaya za kutisha kutoka kwa wazee wetu , hadithi kedekede katika mjumuiko mmoja wa wajukuu na watoto kadha wa kadha, wakimsikiliza mzee mmoja aidha awe na sharafa zenye mchanganyiko wa Weusi na weupe unaoleta ukamilifu wa Rangi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Tunajifunza nini kwa Siasa za Dunia hasa Makamu akionekana na 'Pistol' Kiunoni, ila Mkuu wa nchi hiyo hiyo akiwa 'Huru' kabisa?

    Na mnavyojitahidi Kujilinda na hizo 'Pistol' zenu kwa Uwoga wenu na Kujihisi kwa 'Madhambi' mliyofanya mjitahidi pia hata Corona 'iliyowakosakosa' na Dally Kimoko Viruses mjilinde nayo kwa 'Silaha' hiyo hiyo. Karibuni sana hapa Kwetu Herzegovina.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mwalimu aliyewahi kunyanyaswa na Mkurugenzi wa Tanga Jiji amefariki dunia

    Mwalimu ambaye aliwahi kudhulumiwa fedha zake za uhamisho na akajibiwa vibaya na mkurugenzi wa Tanga Jiji amefariki dunia juzi na amezikwa leo mkoani Arusha. Mwalimu huyo alinyimwa fedha za uhamisho na alipofika kwa mkurugenzi alijibiwa vibaya na kupoteza fahamu kisha kupelekwa hospitali kwa...
  4. JamiiForums Tanzania TANZIA DR. Theophir Kayombo afariki dunia

    Aliekuwa mgombea ubunge kupitia hatua za awali za kupata kupeperusha bendera ya c.c.m Musoma mjini Dr. Kayombo afariki ktk hospital ya Mkoa wa Mara alfajiri alipokuwa akipata matibabu. Kayombo the Dr. alikuwa maarufu sana pale alipoimbwa na mwanamziki Bestnaso! Kesho mwili utasafirishwa...
  5. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA TANZIA: Daktari Bingwa Mishipa ya Fahamu na Ubongo Ronald William Hodge Afariki Dunia

    Mwendazake alihudumu akiwa Daktari Bingwa wa Mishipa ya Fahamu & Ubongo (Neurologist) Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando
  6. JamiiForums Tanzania Kenneth Kaunda afariki dunia akiwa na miaka 97

    Mzee Kennedy Kaunda amefariki mchana wa leo wakati akipatiwa matibabu kwenye hospital ya Maina ===== MAISHA YA AWALI Kaunda ni mtoto wa mwisho katika familia ya watoto wanane. Alizaliwa katika hospitali ya Misheni ya Lubwa katika kitongoji cha Chinsali, katika Mkoa wa Magharibi mwa Northern...
  7. JamiiForums Tanzania Kufanya kazi na watu wanaoielewa dunia ni raha sana

    Watu wanaielewa dunia kwa kusoma, kusafiri, kuchangamana na jamii tofauti nk. Ukipata bahati ya kufanya hata kazi za ndani kwa watu wa aina hii unapata ahueni. Kazi za ndani kwa houseboy au house girl atahakikisha kabla ya ajira una sehemu ya kuishi ambayo unamudu kuilipia. Inawezekana ikawa...
  8. JamiiForums Tanzania TANZIA Mchekeshaji Jumanne Alela maarufu kama "Mzee Matata" wa Mizengwe afariki dunia

    Taarifa zinaeleza kwamba amefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Muhimbili alikolazwa tangu tarehe 13 June ======== MWIGIZAJI wa Kikundi cha Maigizo cha Kashkashi kinachorusha mchezo wao wa kuchekesha wa Mizengwe kupitia Televisheni ya ITV, Jumanne Alela almaarufu Mzee Matata...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la uchumi wa China katika nusu ya kwanza ya mwaka 2021 laleta matumaini ya kufufuka kwa uchumi wa dunia

    Takwimu zilizotolewa mwanzoni mwa wiki hii na Idara ya forodha ya China zinaonyesha kuwa, katika nusu ya kwanza ya mwaka huu hadi kufikia mwezi Mei, uchumi wa China uliendelea kupata ongezeko, ambapo uuzaji bidhaa kwa nchi za nje ulikuwa na ongezeko la asilimia 30.1, na uagizaji wa bidhaa...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kichekesho cha dunia: Yanga vs Ndanda FC 2016

    Tuesday , 10th May , 2016 Mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara kati ya wenyeji Ndanda FC na Yanga uliokuwa ufanyike Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara sasa utafanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Jumamosi. Afisa habari wa Shirikisho la Soka nchini (TFF) Alfred...
  11. JamiiForums Tanzania Dunia ina mambo, ukiwa na pesa unaweza kufanya chochote

    Wahenga wenzangu wa zamani nadhani mtakua mnamkumbuka dada kama si mama ambaye alipata kuimba kua dunia ina mambo...ooh mwanangu dunia ina mambo ..dunia hii mama lukumba lukumba dunia ina mambo mwendo wa ngamia.. Katika pitapita zangu kwenye mitandao nikakutana na habari ambayo imenishangaza...
  12. JamiiForums Tanzania Huwa nachukia sana 'Unafiki' kama huu hasa pale Mtu maarufu au wa Kawaida tu anapofariki dunia

    gersonmsigwa Mwamba ' Fredwaa ' nilikuwa na hamu sana ya kukutana nawe siku moja, lakini haikutokea na leo umelala milele. Nilitaka kukwambia wewe ni Mwanamapinduzi wa utangazaji. Mimi mtangazaji mwenzako nilivutiwa sana na jinsi ulivyokuwa unaupigwa mwingi sana kwenye microphone 🎤. Sindano 5...
  13. JamiiForums Tanzania TANZIA Mtangazaji Fred Fidelis ''Fredwaa'' afariki dunia kwa ajali ya gari

    Mtangazaji Fred Fidelis maarufu kwa jina la Fredwaa amefariki dunia leo tarehe 12 Juni, 2021 baada ya kupata ajali eneo la Kawe. Kwa wale wakongwe, utamkumbuka Fredwaa kwa lipi? ==== Dar es Salaam. Mwandishi wa habari Fred Fidelis maarufu Fredwaa amefariki katika ajali ya gari iliyotokea...
  14. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Tanzania nchini Qatar, fursa ya Kombe la Dunia 2022 hiyo inakuja

    Good afternoon jamiiforums Ndugu zangu mnaofanya kazi ubalozi wa Tanzania huko mjini Doha nchini Qatar, kombe la dunia la mwaka 2022 lipo njiani linakuja, tunaomba mjipange hata kama budget ni finyi fanyeni kile kidogo kilicho ndani ya uwezo wetu. SEPTEMBER, 2018 - JPM: "Mabalozi sasa...
  15. JamiiForums Tanzania Kama watafanikiwa kuzaana sana, wachina watachukua dunia kirahisi

    Hamjamboni wanangu jamvini? Nina suala linanisumbua hasa kwa wale ambao bado ni vijana. Kwa sasa, mamlaka nchini China zimeruhusu wachina kuzaa watoto watatu kila familia. Kabla ya hatua hii, walikuwa wanaruhusiwa kuzaa watoto wawili baada ya kuwa na sera ya mtoto mmoja kwa miongo mingi...
  16. JamiiForums Tanzania Ukiwa mnene unakula sana; ukiwa mwembamba una roho mbaya. Dunia inataka nini?

    Hii dunia haina shukrani kabisa, sababu kunenepa utaambiwa unakula sana, ukikonda utaambiwa una roho mbaya ndio maana hunenepi. Mnataka mtu awe na mwili wa aina gani? Au naombeni picha za ukubwa wa mwili elekezi kwa dunia ili watu waige hapo.
  17. JamiiForums Tanzania Mungu anapitisha kisulisuli, anaisafisha dunia.

    Habari wanakamati! Naomba muungane nami kuupata huu ujumbe. Mungu anaisafisha dunia, na kila bonde litasawazishwa, kila kilichotukuka kinashushwa, kila anayeigiza utakatifu atafyekwa. Hii dunia inasafishwa sasa. Ujumbe tayari. Mithali. 10:25 Kisulisuli kikiisha pita asiye haki hayuko tena.
  18. JamiiForums Tanzania Serikali ijikite kukusanya kodi, iachane na mikopo ya kubembelezewa na Benki ya Dunia kuhusu COVID 19

    Lazima kutambua wakati wote benki ya dunia ni benki tu kama zingine kipaumbele chake ni faida. Wenye hisa wakubwa ni marekani na nchi za ulaya. Kwa mfumo wa kibepari wafaidika namba moja na benki ya dunia ni mabepari wakubwa wa nchi hizo. Kutokana na hivyo nchi changa sio rahisi kupata...
  19. JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee Chrisant Majiyatanga Mzindakaya Afariki dunia

    Wandugu, Mwanasiasa mkongwe humu nchini bwana Christian mzindakaya amefariki dunia. Mzindakaya amefariki jioni hii katika hospital ya taifa ya Muhimbili ulipokuwa akipatiwa matibabu. Wakati wa uhai wake bwana Mzindakaya aliwahi kushika nafasi mbalimbali ikiwemo kuwa mbunge wa Sumbawanga kwa...
  20. JamiiForums Tanzania TANZIA Salehe Songolo, aliyetengeneza Meli za MV Mbeya na MV Songea afariki Dunia

    Mmiliki wa kampuni ya songoro Marine amefariki Dunia akiwa mkoani Mbeya Mwananchi limeripoti.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…