dunia

  1. Unawezaje kumwambia mke wako sasa hivi umenenepa bila kuanzisha Vita ya Tatu ya Dunia nyumbani?

    Unene unapoteza umbo zuri la asili na pia nguo hazipendezi tena mwilini. Nguo zinakuvaa badala ya kuzivaa. Wanaume wengi wanashindwa kufikisha ujumbe huu kwa wake zao. Uhakisia ni kuwa unene unafanya wanaume wengi kutafuta michepuko. Mke anabadilika ghafla kutoka kale ka binti ulikokatolea...
  2. L

    China yabeba jukumu muhimu la kuwa nchi inayohimiza amani katika Afrika na dunia kwa ujumla

    China inaendelea kuonesha umuhimu wake duniani hasa katika bara la Afrika baada ya kutangaza kwamba itateua mjumbe maalumu katika pembe ya Afrika, ambayo imekuwa ikikabiliwa ni migogoro kila uchao. Hii pia inaonesha kwamba nchi hii kubwa ya Asia ina wasiwasi na hali ya usalama katika kanda hiyo...
  3. Huu ni mwaka wa kusafiri sana kuifaidi dunia

    Mwaka 2022 unagawanyika kwa mbili. Ni mwaka mzuri. Usikubali ukaishi maisha ya dhiki na kutofurahia maisha. Unafanya kazi ili iweje kama huwezi kutenga siku kadhaa za kufurahia maisha? Dhamiria kuufanya mwaka huu kuwa mwaka wa kujipa nafasi binafsi. Au kama uwezo unaruhusu, basi jipe nafasi na...
  4. F

    Dunia itoze rushwa kodi

    Kwakuwa imethibitika kwamba rushwa haiwezikwisha asilani duniani, nadhani tuanze kutoza kodi rushwa kubwa kubwa ambazo zihalalishwe na kupangiwa utaratibu wa kupokelewa/kutolewa kupitia akaunti za benki ili serikali zichukuwe kodi zao huko huko. Huenda serikali zikajikuta zinaingiza mapato...
  5. L

    Jamii ya kimataifa yahimizwa kufanya juhudi za pamoja ili kufufua uchumi wa dunia

    Rais Xi Jinping wa China hivi karibuni amehutubia Kongamano la mwaka 2022 la Baraza la Uchumi wa Dunia kwa njia ya video, akihimiza jamii ya kimataifa kushirikiana katika kukabiliana na changamoto zilizosababishwa na janga la COVID-19, na kujenga dunia nzuri. Katika hotuba yake, Rais Xi amesema...
  6. Dunia ni ngumu jitahidi kufurahi kila uwezapo

    Unaempenda hakupendi au anakupenda kwa manufaa yake binafsi. Anaekupenda unamuona si wa hadhi yako. Unapokutana na anaekupenda kwa dhati na wewe ukampenda kwa dhati, Kuna jambo litatokea mnaweza kushindwa kuoana. Mkioana mmoja anaweza kufa mapema. Mnapendana lakini matatizo hayaishi...
  7. Waziri Nape: Natoa siku 7 waajiri kuwalipa Waandishi wa Habari waliofariki kwenye ajali. Tambueni tu leseni zenu ziko kwangu

    Waziri wa Habari na Mawasiliano ya teknolojia ya Habari Nape Nnauye ni miongoni mwa waliofika uwanja wa Nyamagana kuungana na RC Mwanza, Injinia Robert Gabriel na Waombolezaji wengine kuaga miili ya Waandishi 6 waliofariki kwenye ajali jana. Natoa siku saba kuanzia leo kwa waajiri wote, kama...
  8. Wabunge wa JMT msipompa 'Uspika' Dkt. Tulia Ackson hakika 'nitawadharau' mpaka dunia itakapopinduka

    GENTAMYCINE sijawahi Kukosea ama nikimpenda au nikimchukia Mtu (na hata rekodi zinanibeba) hivyo hata kama Watu wanachukua Fomu za Kugombea Uspika ila kwa Vigezo vyangu vingi na Sababu zangu nyingi namuona Naibu Spika Dk. Tulia Ackson anafaa na ndiyo Chaguo sahihi hasa kwa Bunge la sasa na...
  9. Sidney Poitier amefariki dunia

    SIDNEY POITIER AMEFARIKI DUNIA LEO AKIWA NA MIAKA 94 Mwanangu yuko mbali na mimi wakati anakua hapa Dar es Salaam mara nyingi nikimuhadithia movies tulizokuwa tukizipenda wakati sisi wadogo na pia wale waigizaji maarufu nyakati zetu. Tukipita mjini nikawa namuonyesha majumba ya senema...
  10. I

    Swali! Hivi unapofariki inakuwa umeiaga dunia au dunia ndo imekuaga?

    Nimekuwa nikisika Mara kwamara mtu anapofariki au kufawatu wanasema ameaga dunia, Sasa mi huwa najiulizaga kila siku ameiaga vipi na dunia iko wapi ili na sisi tuiage kabla kabisa ya madhira haya ya kufa. Mi nafikiri huwa hatuiagi Mana afterall dunia is too theoretical and vacuum kwa hiyo dunia...
  11. Ushauri wenu, dunia naona mviringo!

    Mimi si mwanachama na mchangiaji sana huku MMU, lakini hata bubu aking'atwa ataongea hata neno. Huku kuna walimwengu wa maisha halisi ya kibantu. Hadithi ni ndefu lakini nitaifupisha. Nina mke na watoto, tena wakubwa tu. Katika mishe mishe za safari mikoani huko, sitaji mkoa lakini nilikaa...
  12. TANZIA Pemba: Watu 9 wafariki dunia baada ya boti kuzama baharini. Zoezi la uokoaji kuendelea asubuhi

    Watu 9 wamefariki dunia na wengine 6 kuokolewa wakiwa hai baada ya boti kuzama baharini Kisiwani Pemba wakati watu hao wakitokea Chakechake kwenda kisiwa cha Panza kwenye shughuli za mazishi. Zoezi la uokozi limesitishwa usiku na litaendelea Januari 5, 2022 asubuhi. Shahidi katika tukio hilo...
  13. Nimebaini Watanzania ni Vinara wa mambo haya

    NIMEBAINI WATANZANIA NI VINARA(SUPERPOWER) WA MAMBO HAYA; Anaandika Robert Heriel. Kwa wasomi wa somo la Historia watakubaliana nami kuwa hapa Duniani kuna mataifa ni superpower na yapo yalikuwa hivyo. Mpaka sasa taifa la Marekani ndio superpower wa Dunia yetu huku taifa la Uchina likimpa...
  14. B

    Salamu kwa Tutu zinapowaamsha watema Nyongo

    Shujaa mpenda haki ametutoka. Tributes kwa maisha yaliyopotea zinapoendelea kumiminika tuna mengi ya kujifunza. Hizi hapa ni za Mh. Samia: Salamu hizi zimewaamsha watema nyongo kwa misingi hii hii: Tofauti kabisa na salamu za wengine. Sisi tunakwama wapi? Ni kweli hatupajui?
  15. TANZIA Askofu Desmond Tutu afariki kuamkia leo akiwa na umri wa miaka 90

    Rais Ramaphosa amethibitisha kifo cha mshindi wa Nobel na miongoni mwa watu muhimu kumaliza ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini, Desmond Tutu katika umri wa miaka 90. Tutu aligundulika kuwa na saratani ya kibofu mwishoni mwa miaka 1990 na amelazwa mara kadhaa kwa maradhi yanayohusiana na...
  16. Krismasi ni sikukuu ya wote, tutoe kwa wengine na tushereheke pamoja. Merry X-Mas!

    Wanabodi, Hizi ni salamu zangu za Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa kwa ajili ya Krisimasi kwa Wanabodi wetu. Merry Christmas And Happy New Year!. Japo makala hizi ni za lugha yetu adhimu ya Kiswahili, kwa vile kesho ni sikukuu ya Krisimasi ni sikukuu ya kutoa, ili kuwezesha na wengine...
  17. Ndugai: Toka Magufuli aage Dunia, umuhimu wa Dodoma unafifishwa kwa makusudi kabisa

    "....wakati fulani Dodoma ilikuwa mchaka mchaka wa hakika kuelekea kuwa Mji mkuu wa Serikali ki vitendo na hata ulipokuwa unawaangalia Viongozi wakuu wa Serikali ulikuwa unaona nyuso za haja za kulimaliza hilo mapema kabisa." "...sasa hivi kila warsha na kongamano ni Dar!" "...hii siyo...
  18. Kweli Dunia inaenda mbio sana leo Mbowe ni maarufu kuliko vikao vikuu vya CCM?!

    Tokea tarehe 16 hadi 18 jana huko Dodoma kulikuwa na vikao vikuu vya CCM tena vikiongozwa na Rais wa Nchi ambaye ni kiongozi wa hicho chama. Ajabu tofauti na vikao vya huko nyuma vya CCM hivi vya sasa havina mvuto na hamasa kama zamani.Yaani vimepoa kuzidiwa hata na umaarufu wa Mbowe aliyepo...
  19. DUNIA KWANINI INAUPIGANIA USHOGA?

    Wiki hii nilitaka kutokufanya lolote, nikasema nijikumbushe enzi za nyuma kidogo, Kipindi cha ujana ambacho niliweza kukaa ndani nikatazama movies siku nzima. Basi nikatoka nje ya mji niliopo, nikakodisha hoteli nikapewa movies niangalie wiki nzima. Japo sikuwa na nguvu ya kutazama movies...
  20. Huenda binadamu ni silaha za kibaiolojia zilizoletwa duniani kama virusi wa kansa ili kuiharibu Dunia

    Tofauti Kati ya Dini Na sayansi/filosofi kuhusu Sababu ya Sisi kuwepo duniani Na Nani ametuleta mahali hapa Ni Moja: Approach ya Dini katika kuelezea Sababu yetu kuwa hapa duniani inaanzia kwenye hitimisho (Religion approach is from the conclusion) kwamba Mungu ndio ametuleta hapa duniani ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…