Kitu pekee Samia anapambana na ccm kwa ujumla ni kutaka uongo uwe officialized na uwe documented.
Na unajua madhara ya kua documented?
Madhara yake ni kua hizo taarfa ndio zitakua Rasmi kwa vizazi na vizazi na zitakutumika kama reference.
leo hii Dunian taratibu inaanza kutumia Data za watu...
Mapogo ni mojawapo ya hadithi maarufu na za kusisimua zaidi kuwahi kutokea katika ulimwengu wa simba. Walitawala kwa nguvu, ujanja na ushirikiano wa kipekee, lakini mwisho wao ulionyesha kuwa hata watawala wakubwa hawaishi milele.
Mwanzo wa Mapogo (2006)
Mapogo walitokea katika eneo la Sabi...
Wanaume Wengi ni wazembe wa kujitaftia maarifa ila ukitaka kuweka confidence na kuweka ego au aura !
1. Soma sana makala , vitabu na majarida ya topic kadhaa hii ni tabia yangu toka shule Mpaka nikaitwa encyclopedia ya
shule (Britanicca) dawati langu lilijulikana hata kwenye hoja za kikanda na...
Hamjambo!
Kwa mtu mgeni akiingia humu JF anaweza kufikiri Mtandao au forums hii niya wapinzani.
Itisha polls zozote zile. Polls itakayohusisha CCM humu JF lazima ishindwe kwenye kura kwa kiwango cha kutosha.
Juzi niliitisha Polls fulani hivi ya kishikaji. Kuona watu wanamaoni gani kuhusu...
Apocalypse ni neno la asili ya Kigiriki (apokalypsis) lenye maana ya ufunuo, kufunuliwa au kuwekwa wazi kwa jambo lililofichika.
Mfano leo uwezi kufanya uwovu alafu ukasema ule sio uwovu na wala sikufanya ukaona hakuna mwenye kumbukumbu.
Mifumo yote ambayo dunia imeifanya na kuifanya dunia...
Siku hizi mwanamke akienda sokoni akiwa ananunua matango akiyashika na kuchagua kubwa soko Zima macho kwake! 👀 👁️
Mtu ukienda kununua mafuta ya nazi unaenda kununua kwa kificho wakati unaenda kupaka tuu kwa matumizi ya ngozi Yako.
Ukinunua zako Nazi na mihogo ule vitu asili watu wote macho...
Hili swali nimelikuta sehemu nikavutiwa na mjadala wake,
Hivi kabisa mwanaume amlinde mwanamke dhidi ya nani? Mjusi? Mende? Panya? Buibui? au Mdoli? Lol,
Ni lini Mwanamke akahitaji ulinzi wa mwanaume? Mwanamke siku zote hujilinda dhidi ya mwanaume na sio otherwise,
Hivi mnajua dunia ingekua...
Nikikumbuka uswahilini kuku anachaondolewa ni manyoya na kinyesi vengine vinabaki.
Kwa dunia ya sasa ijaweka wazi ila wanadai mwanadamu ambaye kashafariki anaweza kuondolewa viungo ndani ya mda maalumu hata vyote na vikafanya kazi kwa mwanadamu.
Tungepata Jokeri.
Kwa hili niwape kongole wazee wa geti jeusi wale wazee wa kitengo, huo ushauri mlioupa imekaa vizuri sana, maana Dunia haituelewi hadi muda huu, hata wafanyabiashara wa sekta ya utalii hawaelewi Nini kimetokea.
Embassies na High Commission zote nchini, tayari wameshatuma salamu kwenye nchi zao...
Ushawai kujiuliza kwanini baadhi ya watu wana nguvu, heshima, ushawishi na nafasi ya kubwa katika jamii. Basi ipo hivi Dunia haijaumbwa kuwaheshimu watu dhaifu, kwa hiyo pambana ili uheshimike. Ndiyo maana wenye sauti kubwa mara nyingi ni wale wenye nguvu ya fedha, maarifa, ujasiri au ushawishi...
Kumekuwa na ongezeko la watu wanaodai kuwa Dunia si duara bali ni bapa (flat). Ningependa kusikia kutoka kwa wanaoamini nadharia hiyo.
Maswali yangu ni haya:
Mnasemaje kuhusu mchana na usiku? Vinatokeaje ikiwa Dunia ni bapa?
Jua na Mwezi vinazungukaje juu ya Dunia bapa?
Kwa nini meli...
Wadau za wakati huu,
Tuna muda kidogo hatujaonana uzi wangu wa mwisho wiki kama 3 zilizopita lakini katika kukaa kwangu na kufikiria nimefanya uchambuzi pamoja na utafiti mbalimbali kuhusu hii mada yetu hii ya leo. Mada hii ya leo imeibuka baada ya siku moja swali hili kutokea: "Kama...
Ukianza kuelewa teknolojia hata kidogo lazima ujiulize maswali kadhaa kuhusiana na habari zao NASA...
Mara ya kwanza 'wametua' mwezini miaka ya 1960... mawasiliano ya simu yalikuwa duni na hata picha zile za black n white watu walingoja filamu isafishwe mara nyingi ndani ya siku kadhaa... ILA...
Kwa sasa dunia inakoelekea kuzuri sana,yaani kule bahari ya shamu Houthi ukikatiza tu unapasuliwa na kule Homz Waajemi ukikatiza unapasuliwa.
Waendelee hivihivi mpaka watambue kwamba Iran siyo mtoto kwa sasa amekuwa mtu mzima ana ndevu anatakiwa kusikilizwa na kuheshimiwa siyo mtoto kama...
Dunia imekuwa kama jela kwa wale wenye ufahamu wa kina. Wenye akili na macho ya ndani huona udanganyifu, uovu, na unafiki unaotawala jamii.
Kwao, maisha si mchezo wa furaha bali ni mzigo wa maswali yasiyo na majibu. Wanateseka kwa kuona ukweli ambao wengine wanaukwepa.
Ufahamu wao unawafanya...
Wakifanikiwa wanakanusha,Wakishindwa wanadai ulikuwa na kosa watalitafuta mda wanaojisikia.
Kwa dunia hii mshaingia kwenye rekodi mbaya na uchafu wenu.
Mnavutiwa mda ili mkishawekwa kitimoto msianze kulalamika kuwa tunawindwa.
Tanzania imeendelea kuonesha uwezo wake katika jukwaa la kimataifa la UNESCO baada ya Bi. Rose Kinabo kuiwakilisha nchi katika Jukwaa la Vijana Wataalamu wa Urithi wa Dunia 2026, linalofanyika sambamba na Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia jijini Busan, Jamhuri ya Korea.
Katika kuonesha...
Ndugu zangu Watanzania,
Dunia Yatikisika ,Dunia Yatetemeka ,Dunia yaripuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo baada ya kishindo kikuu kilichosikika Duniani kote baada ya Marekani kuikosoa vikali sana na kutaka Mahakama ya ICC kufutwa haraka sana .
Marekani imepaza Sauti yake iliyoitetemesha Dunia...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Juma Zuberi Homera (Mb.) ameipongeza Jamhuri ya Korea kwa kufanikiwa kuwa mwenyeji wa Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia ya UNESCO (48th Session of the World Heritage Committee), kinachofanyika katika Jiji la Busan kuanzia tarehe 19 hadi 29 Julai 2026...