Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,347
- 2,754
Unaweza sema haiwezekani? lakini kwa nchi ya China imewezekana 👋Ndani ya chini ya dakika 45, China imerusha roketi 4 tofauti kwenda angani! 😱🛰️
Kati ya Septemba 15–16, 2026, China ilifanikiwa kurusha roketi 4 tofauti ndani ya takribani saa 45, kutoka vituo 3 tofauti vya kurushia roketi. Uzinduzi wote ulifanikisha kusafirisha mizigo yao angani kwa mafanikio.
🚀 Roketi hizo zilikuwa:
1. Zhuque-2E – LandSpace
Roketi binafsi iliyobeba satellites 10 kwa ajili ya mtandao wa Qianfan, unaopangwa kufikia takribani satellites 15,000.
2. Gravity-1 – Orienspace
Ilirushwa kutoka platform ya baharini karibu na Shanghai, ikiwa imebeba satellites nyingine 9 za Qianfan.
3. Long March 12 – CASC
Roketi ya serikali iliyobeba satellites 9 kwa mtandao mwingine wa China wa broadband unaoitwa SatNet.
4. Pamoja na Kuaizhou-11
Ilipeleka satellites 2 za Earth observation/radar kwa ajili ya Spacety.
🔥 Hii inaonyesha jinsi China inavyoongeza kasi kwenye space technology, satellite internet na safari za anga. Unaonaje na Sisi Tanzania tukianza kurusha satellite zetu angani 🇹🇿.