dunia

  1. The Sheriff

    Benki ya Dunia yasitisha kufadhili mradi wa REGROW. Mradi huo unahusishwa na ukiukaji wa Haki za Binadamu nchini Tanzania

    Mnamo Aprili 18, 2024, Benki ya Dunia imesitisha mara moja utoaji wa fedha kutekeleza mradi wa REGROW nchini Tanzania kuanzia mara moja. Hatua hii ni baada ya taasisi ya Oakland Institute kufanya advocacy kwa niaba ya niaba ya wakazi wa maeneo ambayo wataathiriwa na mradi huo. Mradi huo wa dola...
  2. Mwande na Mndewa

    Mambo matano ya Hayati Rais Magufuli yaliyoshtua Dunia

    1. Acacia Hayati Rais John Magufuli alipiga marufuku usafirishaji mchanga kutoka machimbo ya madini kwenda nje ya nchi, Hayati Rais Magufuli alisema wawekezaji wamekuwa wakikiuka taratibu kwa muda mrefu na kusema Tanzania imeliwa vya kutosha na kumuagiza waziri wa nishati na madini kusimamia...
  3. P

    Aliyemtuhumu Mbunge wa Singida Magharibi Elibariki Kingu kumshambulia adaiwa kufariki

    "Watanzania wenzangu mimi nilipigwa tarehe 8/3/2020, nilipigwa na Elibariki Kingu alinipiga nikaenda Mandewa hospitali ya Mkoa, nikaenda Benjamini Mkapa wakanipeleka Muhimbili, nikatibiwa na kufanyiwa operation mbili kichwani, nikaambiwa nirudi mwezi wa 8 lakini sikuweza kurudi kwasababu...
  4. MINING GEOLOGY IT

    Leo tarehe 22, Aprili ni Maadhimisho ya Siku ya Dunia

    Siku ya Dunia ni siku inayotengwa kwa ajili ya kuadhimisha masuala yanayohusu mazingira, uhifadhi wa asili, na uelewa wa changamoto za kimazingira zinazokabili ulimwengu wetu leo. Kila mwaka, tarehe 22 Aprili, watu duniani kote hushiriki katika shughuli mbalimbali kama vile kufanya usafi wa...
  5. I LOVE YOU DUCE

    Asanteni sana, japo replies zilikuwa chache lakini JF imenifungulia dunia Jana na Leo

    Wakuu, baada ya kuweka Uzi hapa Jana juu ya project proposal yangu, Jana usiku wakuu wa shule tatu walinitafuta(mmoja ni WA shule ya public , wengine wa wa wili wa private school)na directors mmoja wa shule ya private Kani pm Leo mida ya sanne. Japo Kwa uchache nimeshare ideas zangu na wao, na...
  6. Utajua wewe

    Dunia imeisha, Transgender ni mbaya kuliko vita vya Israel

    habari wana JF!! Leo kati pita pita zangu mtandaoni nikapishana na baadhi ya video za kichafu za transgender, nilisisimka mpaka ndevu sikuwahi kujua maana ya transgender. Hapo nazidi kuamini kuwa siku za mwisho zipo na masiha atarudi, video zile ni mbaya kuliko hata vita. GOOBYE JF,NAMRUDIA...
  7. itakiamo

    TANZIA Muigizaji Bi. Ubwa afariki Dunia

    Aliyekuwa Muigizaji wa tamthilia ya Zahanati ya kijiji Bi Ubwa amefariki leo tarehe 20/4/2024. Hakika sisi ni wa Mungu na kwake tutarejea. ======= Msanii wa maigizo nchini aliyefanya vizuri katika tamthilia ya "ZAHANATI YA KIJIJI" wengi walimfahamu kwa jina la BI UBWA amefariki dunia leo...
  8. Stuxnet

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Mzee Emil Lesheya Woiso amefariki leo asubuhi. Msiba upo nyumbani kwake Tegeta karibu na IPTL. Alikuwa mmiliki wa Tarakea Restaurant pale Mwenge na Cornelius Girls Secondary School pale Tegeta Skanska
  9. L

    Hadithi ya mafanikio ya Huawei ni muhimu katika kurekebisha mandhari ya uchumi wa dunia

    Hivi karibuni, kampuni kubwa ya teknolojia ya China, HUAWEI, ilitoa ripoti yake ya mwaka 2023, ambayo inaonyesha kuwa operesheni za kampuni hiyo kwa ujumla zilifikia malengo, na kutimiza mapato yanayotokana na mauzo kote duniani ya dola za Marekani bilioni 99.18, na faida ya jumla ya dola za...
  10. The unpaid Seller

    Nilikuwa mbishi lakini nimekubali Iran ndiyo mbabe wa Middle East na Dunia kwa ujuma, hakuna cha USA, China wala Russia

    Wakuu, long live to you all. Baada ya kutembeza kichapo kwa Israel hivi majuzi, kichapo cha baruti za matango hakika Iran imetuonyesha umwamba wake. Asilimia 99% ya balistic missile zote yametunguliwa yani wanarusha baruti zao zaidi ya 500 alafu moja tu ndio linatua ardhini likimjeruhi mtoto...
  11. MK254

    Israel yaendelea kutoa kipigo kwa HAMAS huku dunia ikiibembeleza isijibu Iran

    Napata wasiwasi kwanini dunia inatumia nguvu nyingi kuishawishi Israel isishambulie Iran, kipi wanachokijua tusichokua na habari nacho, maana kama tujuavyo Israel ni wazee wa mipango ya kimya kimya, hawapigi makelele kuhusu wanachotaka kukifanya, tunashtukia wamefanya. Kwa mfano kipigo...
  12. Ncha Kali

    Katika Dunia yenye takribani watu Bilioni 8 leo, zaidi ya watu Bilioni 110 wamewahi kuishi na kufa

    Hii itukumbushe kuwa hii Dunia tunapita, na itusaidie kupunguza kama sio kuacha kabisa kiburi na kujipa umuhimu. Waliowahi kuishi na kuondoka ni wengi zaidi ya waliopo leo, na kila mmoja kwa wakati wake alikuwa na umuhimu wake. Hivyo nafasi ya wewe kuishi leo isikufanye ufikiri kuwa ni ya...
  13. Mto Songwe

    Kwanini ukatili wa kutisha wa Japan hauzungumzwi sana tofauti na wa Mjerumani katika vita vya pili vya dunia?

    Katika maisha yangu ya kusoma vita vikubwa vilivyowahi kupiganwa duniani basi vita vya kwanza na vya pili vya dunia haviachi kugusiwa. Sasa katika kufundishwa kwa vita hivi vikuu vya dunia hasa vita vya pili kuna jambo moja nimegundua. Jambo lenyewe ni kuwa katika maadui wanao zungumziwa sana...
  14. Nyani Ngabu

    TANZIA O.J.Simpson afariki dunia. Alichomoka kesi ya mauaji ya mkewe na rafiki yake wa kiume pamoja na ushahidi kumnyooshea kidole

    Mwanamichezo maarufu, O.J. Simpson amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76 kwa kansa. Simpson pamoja na michezo anakumbukwa kwa kesi ya mauaji ambapo alituhumiwa kumuua mkewe Nicole Brown(35) pamoja na rafiki wa kiume wa mkewe, Ron Goldman(26) mwaka 1995. Katika utetezi wake, upande wa...
  15. Kasiano Muyenzi

    Dunia hii sio ya wanyonge

    Katika msitu , watu dhaifu huawa huko ili wasipitishe udhaifu. Kwa njia nyingi, jamii ya wanadamu ni msitu. Kuna nguvu mbaya dhidi yako. Lakini kile ambacho hakikuui kinakufanya uwe na nguvu zaidi. Ulipewa maisha haya kwa sababu una nguvu za kuishi. Kwa nini sasa uwe mnyonge? Zingatia kuwa...
  16. Mzee makoti

    Dunia ni ya ajabu sana

    As/aleikum wakuu Dunia ina mambo sana, kuna jamaa ametangaza kuuza nyumba yake kikawaida uku akimtegemea Mungu, imepita miaka ajaiuza, na nyumba ipo sehemu nzuri tu, akaona bora amtafuta mtaalamu anaemjua yeye, akaja akamfanyia ya uongo na kweli, akamuambia haidhidi wiki au mwez utaiuza, kwel...
  17. Ricky Blair

    Maajabu ya Dunia

    Nachojiuliza ni kwanini Uganda, Mozambique na Gabon zipo kw hii organization ya Waislamu wakati idadi yao ya waislam ni chini ya asilimia 20% na Central African republic pia observer ila pop yao chini ya 20% kama Urusi.
  18. Pfizer

    Siku ya afya Dunia 07 April 2024

    Siku ya afya Duniani
  19. L

    NATO inaigeuza vita ya Russia na Ukraine kuwa vita ya dunia

    Katibu mkuu wa NATO, Jens Stoltenberg hivi karibuni alifanya ziara nchini Marekani, lengo likiwa ni kujadili mwendelezo wa kuiunga mkono Ukraine na kuhakikisha mwendelezo wa upatikanaji wa silaha kwa Ukraine, wakati vita kati ya nchi hiyo na Russia ikiendelea. Hii inajumuisha kuridhiwa kwa...
  20. Papaa Mobimba

    Polisi: Watu 15 wafariki dunia kwa kusombwa na maji kuanzia Aprili 1 - 7

    TAARIFA KWA UMMA Kuanzia Aprili 1,2024 hadi Aprili 7,2024 watu 15 wamefariki dunia kutokana na kusombwa na maji ya mvua zinazoendelea kunyesha, wengine wakiwa wanaogelea, wengine wakiwa wanavuka maeneo ambayo maji yanatiririka kwa kasi na wengine kutokana na kutumbukia kwenye mashimo/madimbwi...
Back
Top Bottom