Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,143
- 6,946
Jumapili nilisahau pesa kidogo tu elfu 50 kwenye suruali yangu sasa jana jioni nimekuta shemeji yenu kaifua, mimi nikavunga, na leo ile suruali nimeitinga 😂
Ili kujihakikishia kama ni kweli nimesahau au laa, nakumbuka jumapili nilikuwa na elfu 80 dogo alikuwa anaumwa hivyo nikachomoa elfu 30 nikampa ampeleke hospital, ikabakia 50, sasa asubuhi zile haraka haraka zangu nikavaa suruali nyingine nikabeba na wallet waya.
Baadae nakumbuka kuna 50 yangu ninayo home, kufika home nikakuta imefuliwa, nikavunga, leo asubuhi pia nimetoka kimya ngoja nirudi jioni nione.