duka

  1. Hii ndio Tanzania bwana: Jamaa alifunga duka na kuzima simu kisa kwenda kuangalia mechi ya Simba

    Peace be upon ya'all, Niko mkoa X kwa wiki 3 kwa ajili za shughuli fulani, sasa katika mkoa huu kuna jamaa tulisoma pamoja kitambo na mwaka 2020 kama bahati nilifanikiwa kukutana nae nilipokuja mkoa huu. Kwakua nilikua na haraka tukabadilishana namba. Next day shedule yangu ilikua tight...
  2. Ununuzi wa awali wa pointi za matumizi 1,000 zenye thamani ya $10 million kwa bei ya TZS 300,000 tu

    Mradi wa kimapinduzi wa tovuti ya udalali wa mauzo ya bidhaa na huduma kutoka pembe zote za dunia kwa kutumia teknolojia mpya ya private blockchain ijulikanayo kama Hyperledger Besu. Niko mbioni kutengeneza tovuti ya kipekee kabisa ambayo haijawahi kutengenezwa hapa duniani...
  3. O

    Nafasi za kazi ya kuuza duka

    Wasichana wawili wa kuuza duka, wanahitajika: Waombaji wawe na sifa zifuatazo: 1.Wawe wasichana wa umri wa kuanzia miaka 19 mpaka 23 2.Wawe na elimu ya Kidato cha nne 3.Wasiwe na familia/kuolewa wasiwe na mtoto/watoto. 4.Wawe na uzoefu wa kuuza duka, na kufanya miamala ya kifedha(uwakala)...
  4. M

    Sasa unaweza kuangalia mauzo ya duka lako ukiwa popote

    Habari za saa hizi wote kwa ujumla. Tumshukuru Mungu kwa uzima . Nakuja kwenu nikiwa nawaletea habari njema wale wenye maduka ,supermarket,pharmacy na kadhalika. Tuna mfumo wa mauzo ambao utakusaidia kuangalia faida,mauzo na manunuzi ya biashara yako ukiwa online sehemu yoyote ile hata kama...
  5. Nafasi ya Kazi -Kuuza Duka (Location: Madale)

    Anatafutwa Binti wa kuuza duka (tarehe ya Mwisho 12/04/2024) 🔹 Awe amemaliza kidato cha 4 au zaidi. 🔸ANAEJUA HESABU. 🔹Umri miaka 25 au zaidi. 🔸AWE ANAISHI MADALE, WAZO, KULANGWA, TEGETA au maeneo mengine jirani. Njoo DM kwa maelezo zaidi na mawasiliano. MWENYE UZOEFU ATAPEWA KIPAUMBELE
  6. Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Wapendwa week end inaendaje? Wanasema kizuri kula na mwenzako....na nomeona niwashirikishe fursa hii adimu hasa kwa wale wanaofika kariakoo na kujikuta wanauziwa bei ghali kuliko hata huku mtaani... [emoji117][emoji117][emoji117] SOMA HAPO UKIPENDA SAWA USIPOPENDA PITA KIMYA Ngoja nikupe...
  7. Elimu ya kuendesha duka la "mangi" itolewe mashuleni

    Bila shaka duka la mangi ndilo la pili kuajiri watanzaniw wengi baada ya kilimo. Karibu kila mtaa utakuta kuna maduka ya Mangi kuanzia mawili na kuendelea. Umbali wa dakika tano toka hapo ulipo kuna maduka ya mangi mangapi? Watu wengi sana nchi hii wanaendesha maisha kwa kutegemea duka la...
  8. Duka la nguo za watoto

    Habari Naomba ushauri juu ya biashara ya nguo za watoto pamoja na mazaga zaga yanayo husu watoto Nina 5 Milioni, io n pesa ya kununua mzigo tu, namaanisha mbali na kodi ya chumba Je kwa uzoefu wa wenye kuifanya hii kazi, naweza toboa au laaa!!?? Location yangu ni Tunduma
  9. Duka gani nitapata original Tanalith C kwa ajili ya mbao?

    Kwa mwenye kujua, ni duka gani naweza kupata hii dawa original? tafadhali.
  10. Nimefukuzwa kwenye duka la Kene Beibure ili apishwe mbunge Festo Sanga kufanya shopping

    Shame on me. Juzi nilipata mwaliko na catalogue ya duka la KENE BEI BURE nikaona suti fulani na nguo fulani nzuri sana. Nikawapigia simu kwamba leo Ijumaa saa nne asubuhi nitaenda kulipia. Lèo nimeenda, saa nne kamili kuchukua mzigo wangu. Nikaingia kwenye shelves, nikachagua nguo nizitakazo...
  11. Msaada: Mtanganyika kufungua duka Zanzibar

    Wakuu nikitaka kufungua duka Zenji na mie naishi Bara kuna utaratibu wa kufuata au naweza tu jichanganya nao nikafungua nikaendela na business. Nataka kuweka branch Zanzibar lakini nature ya biashara yangu ni duka kubwa kama shopping center hivi.
  12. M

    Msichana wa kuuza Duka la Vipodozi anahitajika

    Anahitajika msichana wakuuza Duka la vipodozi. Vigezo: Awe na uzoefu wa kuuza duka la vipodozi Elimu atleast form 4, awe anajua hesabu vizuri. Kituo cha kazi kipo Tandika Dar es Salaam. Ambae atakua tayari anicheki PM.
  13. Duka la dawa za asili/kisunna

    Habari wakuu, Matumaini yangu mko vizuri na wenye shida Mwenyezimungu awasaidie, Niende moja kwa moja kwenye maada. Wakuu naomba kuuliza kuhusiana na duka la Dawa za asili au kama ilivyozoeleka Dawa za kisunna, utaratibu katika kufungua duka la namna hii, Mtaji uanzie kiasi gani Kwa minimum...
  14. D

    Nauza duka langu la vifaa cha ujenzi

    Habari wakuu, Nauza duka langu la vifaa vya ujenzi lililopo kibamba Dar es salaam maeneo ya Kibwegere duka linathamn ya m8. ( Milioni nane) Mawasiliano yangu ni 0656052164.
  15. R

    Kama una mpango wa kufungua duka la nguo Dar - duka linauzwa

    Kutokana na kuelemewa na majukumu yanayohitaji kusafiri mara kwa mara na kushindwa kuwa na usimamizi wa karibu tumeamua kuuza biashara yetu ya duka la nguo. Kama unataka kuingia kwenye biashara hiyo kwa mtaji wa angalau sh milioni nne njoo chukua duka lililo tayari uanze mara moja. Kwa...
  16. Naomba msaada kujua duka wanalouza mota bei nzuri kwa Dar

    Wanajf natumai mpo poa, Naomba anayejua duka ambalo naweza pata mota kwa bei nzuri ukiachana na autosokoni. Nawasilisha kwa msaada.
  17. P

    Natafuta kijana wa kuuza duka la jumla

    Sifa za mwombaji 1. Kijana anayejituma 2. Anayejua kuandika na kusoma 3. Mkazi wa kigamboni 4. Atakayeweza kufanya kazi kwa siku sita za wiki 5. Mwenye mdhamini aliyemkazi wa kigamboni na awe na mali isiyohamishika 6. Mwenye kitambulisho cha NIDA TUWASILIANE HAPA KWANZA*
  18. Leo nimefukuzwa duka moja Kariakoo na mwenye duka mwenyewe kasema mimi namchunguza

    Hellow members,leo jioni angu haijawa powa sana baada ya kufukuzwa na mwanamama mmoja mmiliki wa duka la viungo pale kariakoo akidai kuwa mimi namchunguza. Ilikuwa hivi mida ya saa saba mchana leo kuna mteja wangu mmoja hivi kutoka mkoa x kanipigia kuwa anataka viungo vifuatavyo kwa bei ya...
  19. TRA kubomoa Duka usiku na kuondoka na bidha kisa Kodi, ni Ujambazi

    Nina laani kitendo cha Wafanyakazi wa TRA kuvamia Duka na Stoo usiku wa mane na kuvunja milango kisha kuondoka na mali walizodai ni Magendo bila mwenye duka kuwepo. Kitendo hicho kimesababisha Wafanyabiashara wa soko la Manispaa ya Tabora kufunga maduka kama sehemu ya mgomo baada ya...
  20. Dawa ya kiburi ni jeuri, nilivyomkomoa ex anaeuza duka kwa kununua condom kila nilipojisikia kumuudhi

    2015 Nilipomaliza form 6 nilipata binti anauza duka tukaweza kuanzisha mahusiano na muda ukiruhusu nilikuwa namvusha kwao nampeleka geto kumchakata, baada ya wiki alianza kuleta ujuaji + vizinga, nakumbuka alikuwa anatuma sana mesej kuniponda na kunifananisha na wenye uwezo, n.k. tuliachana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…