duka

  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Biashara zilivyo yani mteja unamuelekeza duka lengine kumbe ilo duka nalo huyo mteja siku akienda kuuliza kilichopo hawafanyi kama kwako alivyokosa

    Kuna mambo hata siyo ya kwenda kwa mganga wa kutafuta mashaikh na wachungaji ni wewe kujua kwa nini umepoteza wateja. Hii tabia ya kujifanya unamuelekeza nenda kwa fulani basi wateja wakiona umewaelekeza kwa fulani kesho anaweza kwenda kwa huyo na kinapokwisha mteja anaweza kuuliza kinapatikana...
  2. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kupata Leseni ya Biashara ya Duka la fremu

    Umuhimu wa Leseni ya Biashara kwa Duka la Rejareja Inatambulisha biashara yako kama halali. 2. Inakusaidia kuepuka kufungiwa biashara na mamlaka husika. 3. Inakupa nafasi ya kupata mikopo, zabuni, na tenda mbalimbali. 4. Ni nyaraka muhimu ya kuanzisha akaunti ya biashara na kufanikisha...
  3. youngkato

    JamiiForums Tanzania Badilisha whatsapp yako kuwa duka

    WhatsApp imekuwa moja ya sehemu muhimu zaidi ya kuuza bidhaa na huduma zako moja kwa moja kwa mteja. Wengi wanaitumia kwa mawasiliano ya kawaida, lakini wachache wanaitumia kuuza kwa mkakati. Hapa chini tunajadili njia saba kuu na kuzichambua kwa kina uwezo wake, changamoto na mbinu za kuzitumia...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayejua duka la jumla la simu na vifaa confine vya electronics anitaarifu ninashida

    Msaada tafadhal
  5. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Mbeya Mjini kama kuuza duka, ufundi mitambo na n.k.

    Natafuta kazi Mbeya Mjini kama kuuza duka, ufundi mitambo na n.k. Nina stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering) 0756704145
  6. stakehigh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwenye maandamano ya GenZ wa kenya kuna matukio ya wizi pia, Duka la Smoothers limeporwa

    Katika LIVE moja iliokua inaendelea kule mjini TIKTOK wakati wengine wakiwa na mabango vikundi kadhaa vilkua bussy na uizi katika mduka ya Smoothers, Polisi wameingilia kati lakini walikua wameshaiba vitu vingi Kama ulikua unadhan GenZ wa kenya ni wana mapinduzi basi fikiria tena, huenda...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Ukirithishwa duka limejaa bidhaa Kariakoo haimaanishi sasa mambo yako ni safi, Lissu na timu yake wamerithi Chama bila kujua misingi yake

    Lissu na timu yake wasipokaa vizuri na Mbowe, ni wazi kuwa CDM itawafia mikononi mchana kweupe. Chadema kimefika kuwa chama kikuu cha siasa kuwahi kutokea Tanzania sio kwa majungu na ubaguzi, bali kwa hekima na bidii kubwa zikiambatana na kujitolea mali nyingi. Wamuulize Mbowe amepoteza...
  8. youngkato

    JamiiForums Tanzania Ukiweka bango mbele ya duka lako unadaiwa kodi, ukiweka speaker kubwa hudaiwi kodi

    Bando hata likiwa dogo, wakija wanakwambia lipia kodi. Speaker hata kama inaongea mtaa mzima wanasikia, hakuna mtu atakudai kodi. Speaker ni muhimu sana kwenye biashara yako
  9. youngkato

    JamiiForums Tanzania Una duka la kuuza nguo na viatu? Fanya hivi ili kupata wateja wa online au walioko mbali na duka lako!

    Una duka la kuuza nguo na viatu? Fanya hivi ili kupata wateja wa online au walioko mbali na duka lako! Chukulia duka ni kama ofisi ya kukusanyia mizigo yako na watu kuja kuchukua nguo. Kwanini? Wapita njia ni wachache sana kulinganisha na watu walioko mbali Kwanza lazima ujue, utauza sana...
  10. godiusngunda

    JamiiForums Tanzania Anaitajika mfanyakazi wa kuuza duka la nguo:

    Naitaji mfanyakazi wa kuuza duka la nguo za kike kariakoo. Vigezo:
  11. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO KERO Kulikoni mbona Bohari ya Dawa (MSD) mmefunga Duka la Dawa - Mpanda? Tunaomba huduma irejeshwe

    Duka la Dawa la MSD Mpanda Mkoa wa Katavi linalomilikiwa na Bohari ya Dawa (MSD) sasa ni zaidi ya wiki moja limefungwa bila taarifa yoyote kwa Wananchi jambo ambalo imekuwa kero ambayo inasababisha kukosekana kwa dawa ambazo Wananchi tunalazimika kununua kwa bei nafuu. Kukosekana au kufungwa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Sinza duka linafunguliwa saa 5, kuna T shirt 4, Jinsi 3 ila ndani full AC, Wifi, Dstv, Nje imepaki ndinga ya milioni 50+, wenzetu wanafanye?

    Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please. Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni...
  13. Kitambi chakufutia tachi

    JamiiForums Tanzania FULL TIME: NBC PL | Young Africans 6-1 Ken Gold | KMC Complex | 05/02/2025

    Ligi NBC kuendelea leo majira ya saa kumi na robo alasiri katika uwanja wa KMC Complex ambapo Yanga watakuwa wenyeji wa Ken Gold. Yanga wanaingia katika mchezo huu wakiwa katika nafasi ya pili wakiwa na wamecheza michezo 16 wakishinda michezo 14 na kupoteza 2 huku wakifunga magoli 36 na...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kweli Congo imelaanika, hata askari mwenyewe anaiba (loot) kwenye duka analopaswa kulilinda. Tazama video hii.

    https://youtu.be/CC6XA5sI2ds?si=c7E0JJ-KkqyzA3JH
  15. T

    JamiiForums Tanzania Karibu Tukuhudumie katika Duka Letu la Uwakala Lililopo Tandika

    Karibu katika duka letu la Uwakala, Digital Financial Bridge (DFB), lililopo Tandika Sokoni. Tunatoa huduma za miamala ya simu kwa mitandao yote ikiwemo: Tigo Pesa Airtel Money M-Pesa Halo Pesa T-Pesa Azam Pesa Pia, tunatoa huduma za miamala ya benki mbalimbali kama vile: Absa Access Bank...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Najutia kufuata ushauri mlionipa kumuonea huruma muuza duka auze bidhaa zake, wachache mlionishauri niweke huruma pembeni mnajua biashara

    Kuna uzi niliweka humu jamiiforums Nilimruhusu msaidizi auze bidhaa zake ndogo ila zinamlipa kuzidi mshahara wake. Je, nifanye maamuzi gani? Summary / Muhtasari: Msaidizi aliniomba aanze kuuza bidhaa zake, Sina uzoefu sana kwenye biashara niliona nitakuwa kauzu nikimkatalia, nilitaka kuonekana...
  17. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Duka la waarabu Alwasif lanunua kipande cha lami Kariakoo, parking system wamuuzia parking 3 ila hapaki hata gari

    Hili ni duka la waarabu la kuuza vitambaa Kariakoo, mtaa wa Ndanda na Narun'gombe, anamikiki duka moja tu ila amenunua maeneo ya frame mbili zingine pembeni ya duka lake , Lengo lake la kununua kipande cha barabara ni kuzuia harakati zozote za watanzania wengine kujitafutia kipato, Hizi ni...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Duka la dawa linauzwa tabora mjini

    Duka la dawa Muhimu DLDM LINAUZWA mwenye nalo, anaondoka Tabora bei ya kutupa million 3 tu pamoja na dawa Bei haipungui Duka Lina kabati 2 nyuma Kila moja futi 8 kimo 4 upana Kabati 1 mbele futi 5 kimo 4 upana Pembeni pia partition 3 vioo urefu wa 4×3 Duka Lina lesseni ya biashara ina expire...
  19. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Wakati Diamond Platnumz akitoka kwenye international shows ulaya na Africa.. Ali Kiba anaenda kufanya show ya kuzindua duka mkoani Morogoro

    Wakuu nna habari ya kuwajuza kuhusu industry yetu ya burudani. Ali Kiba wiki hii mwishoni ataenda kufanya show ya kuzindua duka la mavazi. Hongera sana Kiba kwa kuaminika na muuza duka na kukupa nafasi ya kupafomu mbele ya wateja wake. Diamond ndani ya wiki hizi mbili amekuwa busy na show za...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kukokotoa mahesabu ya duka

    Ninayo app nzuri ya kupiga mahesabu ya duka.Inafaa kutumia wakati wa kufanya stock. 1. Unaweza kujua duka lako limekuingizia sh. kwa mwezi au kwa mwaka. 2. Inaonyesha thamani stock iliyopo dukani 3. Inaonyesha Kila bidhaa unayouza Ina faida ya sh. ngapi 4. Kama Kuna upotevu wa fedha inaonyesha...
Back
Top Bottom