dubai

  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtanzania anayeishi Dubai aatua Tanzania kwa ajili ya kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura

    Mtanzania JACKSONBILLZ aishie Dubai, mapema leo hii, Machi 30, 2025 ametua Tanzania kwa lengo la kuja kujiandikisha kwenye Daftari la kudumu la wapiga kura. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
  2. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Kusafirisha Nyama ya Nguruwe kwenda Dubai

    Nimepata tenda ya kupeleka Nyama ya Nguruwe (Halal meat) kwenye hoteli za Dubai. Nahitaji kuajiri wafanyakazi watatu walio tayari kusafiri Kati ya Dar-Dubai kila baada ya wiki mbili, awe na passport na umri usizidi Miaka 45. **Pia, awe na sifa za ziada zifuatazo, 1. AFYA: Awe tayari kupima...
  3. M

    JamiiForums Tanzania AGIZA BIDHAA MBALIMBALI KUTOKA DUBAI-SALU DXBTZ GENERAL TRADING

    KWA MAHITAJI YA SIMU,LAPTOPS NA SPEA ZA MAGARI KAMA INJINI,GEARBOX,TAA,INJECTORS,SPARK PLUGS ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KUTOKA DUBAI NJOO UAGIZE NASI. SALU DXBTZ GENERAL TRADING NDIO SULUHISHO. TUMEKUWA TUKIFANYA SHUGHULI HII KWA MUDA WA MIAKA 4(MINNE) HADI SASA KWA UAMINIFU WA KIWANGO CHA JUU...
  4. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Matatizo/Mambo 7 Ya Kukagua kwenye Simu Used Kutoka Dubai , Uk , USA Kabla ya Kununua Kwenye Maduka ya Kariakoo.

    #Mwanakidigitali utajisikiaje umetoa pesa yako kununua simu kisha ukauziwa simu yenye matatizo kibao. Moja kati ya hofu ya Wateja wengi kutoka Tanzania wanapotaka kununua simu / Laptop used kutoka Dubai ni kuuziwa bidhaa zenye shida kedekede na pia bidhaa feki. Nimekuwa kwenye soko la...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Utengenezaji wa game ya GTA umezidi bei ya bajeti la jengo la Dubai lile refu

    Siwezi shangaa kuona bajeti kubwa ikitengwa kwa watu wa programmer ambao wanashindana na idara kubwa za hisabati na mainjinia wa ovyo pamoja waziri mkuu wetu naye kuwepo ufikiri ni VETA. Programmer ina beba uwezo kubwa wa kumaliza mengi mambo ya software. Leo hii kwa nini ccm wanaogopa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ndugu vijana wawili mabilionea wanaofahamika kwa kutoa motisha ya maendeleo mitandaoni (Motivational speaking) wanaswa Dubai kwa ulanguzi wa Cocaine

    Ndugu wawili vijana waliojipatia umaarufu mtandaoni Tiktok kwa kuishi maisha ya kibilionea na wakitoa motisha kwa vijana wengine kupambana wakamatwa Dubai na Cocaine.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB Yatangaza Hatua ya Kihistoria ya Kupanua Huduma Zake Hadi Dubai Inaposherehekea Miaka 30

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Slaa (wapili kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila (wapili kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela wakizindua rasmi...
  8. Kanye2016

    JamiiForums Tanzania Connection ya Ajira Nchini Canada, Dubai, Qatar & Scandinavian Countries

    Habarini Wakuu!!!! Nahitaji mwenye Connection ya Ajira kwa nchi hizi (Canada, Dubai, Qatar, Denmark, Finland, Iceland, Norway,Sweden). Kama mnavyojua Bongo ajira ni kipengele kidogo, Sasa katika kuangalia mtandaoni naona wenzetu Wakenya wanasafiri sana nchi hizo kwenda kufanya kazi, na siku...
  9. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kama China na Dubai zingesimamisha uzalishaji, ni wapi pangekuwa kimbilio la wafanyabiashara wa Tanzania?

    Nalenga kupanua wigo wa kufikiri! Ni wapi bidhaa za bei rahisi zinapatikana tofauti na China & Dubai? Vipi Thailand? Nasikia Pakistan nako kuna bidhaa bora na za bei rahisi hata kuzidi Dubai na China! Kuna mwenye uzoefu wa hizo nchi? 🙏🙏🙏
  10. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Dubai, China, Uturuki, au South Africa?

    Kama unataka kufanya ziara ya kuangalia fursa za kibiashara, hasa kuangalia bidhaa za kuzileta nchini, ni nchi ipi inaweza ikawa sahihi zaidi kuitembelea? Muda wa ziara ni wiki mbili! Nchi ipi kati ya hizi? DUBAI, CHINA, UTURUKI, au SOUTH AFRICA? Kwa nini?
  11. milele amina

    JamiiForums Tanzania Hadi 2030, Zanzibar itakuwa kama Dubai!!

    Mitano Tena! Zanzibar imepata wapi fedha
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Yaliyopo Dubai yanatisha

  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Marcus Fakana (18) afungwa Jela mwaka mmoja Dubai, kwa kosa la kufanya mapenzi na msichana wa miaka 17

    Marcus Fakana, kijana wa miaka 18 kutoka Tottenham, London Kaskazini, amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja gerezani huko Dubai baada ya kufanya mapenzi na msichana wa London mwenye umri wa miaka 18. Kwa mujibu wa taarifa, wawili hao walikutana wakati wa likizo wakiwa na familia zao. Msichana...
  14. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Natafuta Watanzania waishio Dubai

    Habari za jioni wana jamii naomba msaada kwa mtanzania yeyote aishie dubai kwa mtanzania yeyote atakaye guswa kusaidia awe wakike au wakiume naomba aniambie nimtafute kupata huo msaada. Msaada ninao hitaji ni invitation letter kutoka kwa mkazi wadubai pamoja na copy ya passport yake ili niweze...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Shirika la ndege nzuri (gharama) kwa trip y Dar to Dubai

    Salam wadau. Naomba kufaham Shirika la ndege lenye bei nafuu kwa trip ya Dar es Salaam kwenda Dubai. Shirika hilo likiwa na huduma ya VISA itapendeza zaidi. Naomba kuwasilisha wadau
  16. B

    JamiiForums Tanzania Ndege kutoka Dar es Salaam kwenda Dubai

    Salam wadau, naomba kufaham shirika la ndege lenye bei nafuu kwa ajili ya trip ya Dar es Salaam to Dubai. Pia shirika hilo likiwa na huduma ya kushughulikia VISA litakuwa na sifa ya ziada. Naomba kuwasilisha
  17. W

    JamiiForums Tanzania Una Mpango wa kwenda Dubai hivi karibuni? Haya ndo masharti unatakiwa kufahamu ili uweze kufurahia safari iliyo salama

    Fahamu mambo ambayo huruhusiwi kuyafanya unapotembelea Dubai 1. Ingawa Dubai ni kitovu cha mitindo, hauruhusiwi kuvaa Nguo fupi, zinazobana sana, au zenye kufichua Mwili kwa kiasi kikubwa katika maeneo ya Umma. Hakikisha unavaa Mavazi yanayofunika Mabega na Magoti unapokuwa hadharani 2. Pia...
  18. PSL god

    JamiiForums Tanzania Mume aliyegongewa mke wake na baltasar wa guinea asafiri kutoka dubai kuvunja ndoa

    Hahaha wakuu ogopeni sana mitandao ile connection imezidi kugharimu ndoa za wakubwa serikalini guinea humo ndani Hii ni video inayoonyesha Mume aliyechapiwa na anasikitika sana maana alikuwa dubai kwenye biashara zake ila marafiki zake walimtonya mbona mkeo kaonekana kwenye video huko...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa vifaa vya magari used kutoka Dubai

    Husika na mada tajwa hapo juu , naomba muuzaji wa spear za magari used au mpya kama ipo spear hii naomba uniambie bei yako hapa nahitaji rejeta full pamoja na caulling yake na reserve tank ya coolant ni shilingi ngapi ukiwa mpya au used ya Japan au Dubai ,gari aina ya Toyota Brevis 1JZ FSE
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Kama Dubai, Hazina Sovereignty, - No Capacity to International Treaty, Kama Tumeingia Mkataba na Dubai, Kwanini Zanzibar Izuiwe Kujinga OIC?!

    Wanabodi, Japo fani ya sheria ni fani moja simple sana, ndani ya sheria kuna sheria fulani fulani ni ngumu sana kwa mawakili. Miongoni mwa sheria ngumu ni Criminal Law, Land Law, Law of evidence, Constitutional law na Public International Law. Kwa upande wa sheria ya katiba, constitutional...
Back
Top Bottom