Daah hii balaa sasa, BBC imeripoti kwamba The Palm ya Dubai imeshambuliwa na Iran media zimeconfirm hilo.
Je iran anachokitafuta atakipata?
https://www.bbc.co.uk/news/live/cn5ge95q6y7t?post=asset%3Aa853ff12-7157-47ec-9e43-37c88fd7eb07#post
Habari wakuu ..!
Msimu ujao wa sikukuu hizi za wakristu na waislamu hasa pasaka, wauzaji na maduka mengi hasa ya simu huwa yanatoa offer kwa bidhaa zao.
Nilikuwa nina mpango wa kuvuta Samsung Galaxy S22 Ultra kwenye hizo offer ila nimefatilia mara kadhaa kwenye mitandao na maoni ya watu...
Algeria imeanza mchakato wa kusitisha makubaliano ya huduma za anga na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), ambayo yalisainiwa mwaka 2013.
Uamuzi huu unaweza kuathiri sekta za kiuchumi kama usafiri wa anga, utalii, na usafirishaji wa mizigo kati ya mataifa hayo mawili.
Mvutano katika uhusiano wa...
Salaam Wakuu,
Tangu kilichoitwa uchaguzi wa 29 Oktoba 2025 kumalizika, Samia Suluhu ameshindwa eti kufanya kazi zake sababu ya unyanyasaji kijinsia. Inadaiwa watanzania wanamsononiesha kwa kumzushia mambo ambayo hajawahi fanya.
Martha Mlata Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida
Kwamba Watanzania...
Rais samia ameondoka nchini kwa kificho. Hatujui anakwenda kukutana nani, atakaa siku ngapi na ameandamana na nani. Ni ajabu. Kwanini tufichwe wakati anatumia fedha zetu mbali na kutumia jina letu maana anakwenda kule eti kutuwakilisha wakati anajiwakilisha? Huu nao ni ufisadi wa kimfumo...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Kasafiri na ndege ya ATC B737 with registration number 5H-TCQ. Flight number TC 4401. Tena imetua kwenye private airport. Ushahidi huu hapa.
Kwanini siku hizi kuna kijificha ficha sana na shughuli za rais inabidi ziwe wazi
Britanicca
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema uzinduzi wa Ofisi ya Uwakilishi ya Benk ya CRDB Dubai ni kielelezo cha uhusiano mzuri wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) chini ya uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia...
Mgeni Rasmi ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akipokepelewa na viongozi wa Serikali pamoja na uongozi wa Benki ya CRDB katika hafla ya uzinduzi wa kihistoria wa Ofisi ya Uwakilishi ya Dubai, tukio linaloashiria upanuzi wa...
Wakuu poleni na matatizo yanayoikumba nchi yetu. Poleni kwenu mliopoteza ndugu, jamaa, na marafiki kutokana na yaliyojiri oct29
Bila kuwachosha. Kuna msemo maarufu usemao """Wajinga ndiyo waliwao"""'
Ilikuwa tarehe 20 mwezi wa 11 mwaka 2025 ndo siku ambayo kwa mara ya kwanza nilihisi...
Saudia imezishambulia meli 2 za Falme za Kiarabu zilizokuwa zimebeba silaha za kivita kwa ajili ya kugawia waasi ili wauwe watu wasiokuwa na hatia huko Yemen.
Inaonekana hawa DUBAI wao maslahi mbele uhai wa watu nyuma.
=====
The Coalition to Support Legitimacy in Yemen on Tuesday said it...
Huyu Prime Minister wa Ethiopia sio poa aisee. Leo nilikuwa naangalia hii video inaonesha jinsi Addis Ababa inavyokua kwa kasi in just short time
Watu wanahamishwa uswazi wanapelekwa kwenye makazi bora, wanaongeza viwanda na uwekezaji kila kona, wanapanda miti everywhere, maghorofa yanajengwa...
Wenzetu wanazidi kusonga mbele.Usalama wa dubai swala la wizi unaweza kuwa umezibitiwa sana.
Sasa wamekuja na ATM ROBOT ambayo itajileta yenyewe na kutoa pesa.
😄 Kibongo itakuwaje ikaitwa uswahilini si wanaikaba huko huko.
Mnaweza kubisha ila Airport ni geresha kusema ndio imejenga jangwa.
Mafuta nakataa kabisa maana yaligundulika siku nyingi kabla ya dubai.
Matapeli,human trafficking,pesa chafy,udukuzi na kila jambo unalofahamu dili zote ni dubai.
Hush pup yule mnaijelia alikuwa anaishi dubai.
Utakatishaji wa...
Mtu unakwenda kwaajili ya Starehe zake anasingizia kutafuta wafadhili:3Heading: hata ubunge ujaupata
===============
Miongoni mwa sababu kubwa zinazo mpeleka Dubai ni pamoja na kuzungumza na baadhi ya Taasisi kwa ajili ya uwekezaji mkubwa katika Soko la Ujiji liliopo Jimbo la Kigoma Mjini...
Haya yamesha kula nyama za watu, ukiisha anza kula nyama za mtu huwezi kuacha.
Yameshakuwa manyangau , hayakamatiki.
Tunatokaje hapa tulipofikia? Tumpuuze Polepole au tumuunge mkono for a second Indepencence/liberation strugle!?
Wakati wa hafla iliyofanyika Kempinski wakati wa utawala wa Kikwete, kuna mwekezaji mmoja kutoka Dubai alitamka kuwa wanamvisha Kikwete na walimpa zawadi ya suti ambazo zilimbamba vizuri. Habari ilipokuwa si siri tena, Kikwete kama kawaida akajitokeza na kudai anasingiziwa na magazeti...
1. Kuna wakati nawaza hivi Tanganyika ingekua eneo kama ilipo Dubai hali ingekuaje?
2. Miaka zaidi ya 60 bado tunaomba misaada wa kutahiri (kuondoa govi) vijana na ARV toka kwa Watu wa-Marekani na bado tunachekelea.
NB: Bado tunavaa chupi za mitumba, kuagiza viberiti na vijiti vya kuchomea...
Niko bar hapa wanapiga kuachwa! kuachwa! Kuachwa ni shughuli pevu. Miezi kadhaa tulikuwa na mipango ya kutafuta eneo la kupumzika kwa muda kidogo. Tuliangalia maeneo mengi mazuri il ndio hivyo nimekula za uso.
Aisee huyu mrembo akisema turudiane, lazima niende sehemu sijawahi kwenda ili tuanze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.