Kusafirisha Nyama ya Nguruwe kwenda Dubai

Kusafirisha Nyama ya Nguruwe kwenda Dubai

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,813
Nimepata tenda ya kupeleka Nyama ya Nguruwe (Halal meat) kwenye hoteli za Dubai. Nahitaji kuajiri wafanyakazi watatu walio tayari kusafiri Kati ya Dar-Dubai kila baada ya wiki mbili, awe na passport na umri usizidi Miaka 45.

**Pia, awe na sifa za ziada zifuatazo,

1. AFYA: Awe tayari kupima Afya ,(TB, HIV na Hepatitis).

2. UMAHIRI WA LUGHA: Awe anazungumza kiufasaha lugha ya Kiarabu na Kiingereza na uzoefu wa Masoko ya nchi za Kiarabu UAE, Qatar, Bahrain, Oman, Kuwait na KSA **Tuna Mpango wa kutanua biashara zetu nchi jirani (GCC) na UAE.

3. ELIMU: Bachelor of Commerce (B.Com) au Bachelor of Business Administration (BBA) toka Chuo kinachotambulika. Kwa ajili ya kutafuta Masoko zaidi nchi jirani Bahrain, Qatar na Kuwait.

4. Dini yoyote hatubagui.

Tunavyo Vibali vyote vya kusafirisha Nyama na Leseni ya Biashara Dubai, UAE

UPDATE 29/03/2025
**Mzigo wa kwanza umeingia Dubai tarehe 29/03 Alfajiri. Hapo buchani Dubai utapata na viungo vyote toka Tanzania( baada ya Nyama kukatwa) kabla ya kufanya delivery FIVE LUXE Hotel Dubai.
 
Attachments

  • eidequrban_16713339.mp4
    539.5 KB
Nimepata tenda ya kupeleka Nyama ya Nguruwe kwenye hoteli za Dubai. Nahitaji kuajiri wafanyakazi watatu walio tayari kusafiri Kati ya Dar-Dubai kila baada ya wiki mbili, awe na passport na umri usizidi Miaka 45.

**Pia, awe na sifa za ziada zifuatazo,
1. Awe tayari kupima Afya ,(TB, HIV na Hepatitis),
2. Awe na uzoefu wa Masoko ya nchi za Kiarabu UAE, Qatar, Bahrain, Oman, Kuwait na KSA.
3. Elimu Bachelor of Commerce, Bachelor Of Business Administration toka Chuo kinachotambulika.
4. Dini yoyote hatubagui
*Vibali vya kusafirisha Nyama na Leseni ya Biashara vipi kamili.
Namba nne imekaa kimtego sana
 
Hatimaye wazee wa kobaz wamefikiwa
 
Back
Top Bottom