Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,418
Mnaweza kubisha ila Airport ni geresha kusema ndio imejenga jangwa.
Mafuta nakataa kabisa maana yaligundulika siku nyingi kabla ya dubai.
Matapeli,human trafficking,pesa chafy,udukuzi na kila jambo unalofahamu dili zote ni dubai.
Hush pup yule mnaijelia alikuwa anaishi dubai.
Utakatishaji wa pesa wa kiduku hupo dubai.
Warusi wamejazana dubai na wanaijeria,pamoja na mascammer ofisi zao zipo dubai.
Mikataba mibovu hipo dubai.
Dhahabu chafu hipo dubai.