dstv

  1. Greatest Of All Time

    DStv hawataonesha michuano ya AFCON mwaka huu, Azam Tv atangaza kurusha mechi zote

    Kuna barua mtandaoni inatembea ya kampuni ya Multichoice (DStv) kuhusu kutokuonyesha matangazo ya michuano ya Afcon mwaka huu ambayo itafanyika huko Ivory Coast baada ya kukosa haki za matangazo. Kwa upande wa pili, AzamTv wametangaza kuonyesha mubashara mechi zote za Afcon yaani mwanzo mwisho...
  2. C

    TBC vipi haionekani kwenye kifurushi cha bure dstv

    Kwema wakuu, Naona channel ya TBC haioneshi kwenye kifurushi cha bure kingamuzi Cha Dstv. Naona wameiblock mpaka kulipia, nina kama zaidi ya wiki hali Iko hivi. Je ndugu zangu na kwenu Iko hivyo au ni kwangu tu.
  3. Malaika wa Misukosuko

    Kipindi Cha "WATUBAKI" Cha Dstv Kijirekebishe Waache kutumia Lugha zenye Maudhui ya Kingono na Matusi

    Habari Wakuu, Kipindi cha uchekeshaji Kinachorushwa Katika King'amuzi cha Dstv channel Namba 160... Kimekuwa na Maudhui ya Lugha za kingono mno pamoja na Matusi ya rejareja, kwa mwanzo nilivyokuwa nafatilia hiki kipindi nilifikiri ni Bahati mbaya tu Maan muda mwingne Mdomo huteleza ila kadri...
  4. Nifah

    Mapya yaibuka sakata la Wakurugenzi DSTV kusimamishwa, mapenzi pia yahusishwa!

    Wakuu, kama bado hukuwa na taarifa ya kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Maisha Magic Bongo ndani ya DSTV Barbara Kambogi na msaidizi wake bwana Onesmus Ndarite, tafadhali pitia hapa...
  5. BARD AI

    Msanii Ditto afungua kesi ya Madai ya Tsh. Bilioni 6 dhidi ya Multi Choice (DSTV)

    Mwanamuziki, Lameck Ditto amewasilisha vielelezo tisa wakati akitoa ushahidi katika kesi ya madai dhidi kampuni ya Multichoice Tanzania Limited, akiituhumu kutumia wimbo wake bila ridhaa yake katika kipindi cha kampeni ya Afcon 2019. Ditto ambaye jina lake halisi ni Dotto Bernard Bwakeya...
  6. Black jew

    Tetesi: DSTV kuindoa chanell namba 160 Maisha Magic Bongo

    Dstv kuanzia Oktoba, chaneli namba 160 haitakuwepo tena. Zingatia kuwa hii ndio chaneli pendwa na dada mama na wadogo zetu je ni kweli au ni tetesi tu
  7. tutafikatu

    Huu si upotevu wa fedha - Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuweka tangazo DSTV

    Kama Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inadai tumeshindwa kuendesha bandari, na hivyo DP World wanapewa waendeshe, kuna umuhimu gani wa TPA kuwa na tangazo DSTV, wakati hawana ufanisi na wanakwenda kuwaachia waarabu waendeshe? Naona tangazo lake likiunguruma Dstv channel 223.
  8. Meja Jenerali Isamuhyo

    DStv kupandisha vifurushi vyao kuanzia Julai Mosi mwaka huu

    Kuanzia Julai mosi mzigo wa vifurushi vya DStv kwa upande wa Tanzania ndio huu, maoni yako ni yapi?
  9. hunchback

    DSTV Tanzania Wanisababishia Uharibifu Nyumbani

    Wanajukwaa wote nakuja kwenu kwa ushauri nichukue hatua gani. Niliomba fundi kufanya decoder installation mwezi wa tano kutoka kitengo cha huduma kwa wateja. Nikaletewa fundi, wakaja wawili bwana. Wakafunga decoder, wakati wa kufunga miguu ya tv, tv ikavunjika. Wakiwa pale mafundi wakaniambia...
  10. The Boss

    DSTV nimewaheshimu zaidi baada ya kutumia Azam TV

    Sometimes kuna kampuni zinakuwa zinakupa huduma Bora Sana lakini unashindwa kuona Hadi unapoenda kwingineko ukapata huduma mbovu ndo unagundua kumbe wale wengine wako class's ya juu sana. Nimeteseka Sana na Azam TV, kila nikitaka kubadili kifurushi. Wao wanadai nikitaka kubadili kifurushi...
  11. The Dictator

    MSAADA: Nini suluhisho la tatizo la sauti kwenye decoder ya DSTV?

    Wakuu, salam kwenu Jamani, kuna shida imeipata decoder yangu ya DSTV. Tatizo hili limeanza J4 pale nilipoiwasha asubuhi nikashangaa sisikii sauti licha ya sauti kuwa fullbars kwa pande zote; tv na decoder. Inasikika kwa mbali sana hata ukiwa karibu na tv ni ngumu kusikia vizuri. Nilijaribu...
  12. Reality of heaven

    Natafuta King'amuzi cha DSTV

    Habari natafuta mtu yeyote anayeuza kingamuzi cha DSTV aje inbox tuyajenge
  13. DR SANTOS

    Nimenunua kifurushi cha Dstv cha shilingi 23,000 nimepewa Channel nne tu.

    Siku zote nimekua nikinunua compact ya cha 56000 elf kwaajili ya mpira sasa sitakuepo mwezi huu hivyo wife ameshauri tununue cha 23000 maana yeye hafatilii mpira zaidi ya maigizo tu Nikaona isiwe kesi Nikalipa sasa cha kuchekesha ni kwamba zimekuja channels hizo apo kwenye picha yaani...
  14. skydmx

    DStv now Account

    Wakuu natumaini salama Naomba kama kuna member anataka kuuza account ya dstv now anione pm. Nahitaji kutumia ktk simu - please sitaki iptv za dstv
  15. Execute

    DStv badilisheni mtangazaji na utangazaji wa Kiswahili kwenye mechi za Kombe la Dunia

    Huyu mtangazaji wenu anapayukapayuka na hata haieleweki anaongea nini. Kila wakati anapaza sauti na kuongea vitu visivyoeleweka wala kuhusiana na mechi iliyopo mubashara.
  16. V

    Sikujua kama customer care ya DSTV ni ya ovyo sana

    Salaams Wana bodi, Hawa DSTV nimejiunga kifurushi toka jana mpaka kunakucha nimeshaongea na customer care wanne tofauti tofauti lkn hakuna aliyenitatulia tatizo langu. Kibaya zaidi kilichonikera ni kuniblock namba zangu nisiweze kuwapata tena. Kesho nanunua king'amuzi cha mtandao mwingine...
  17. BigBro

    Thomas Mlambo karudi Dstv

    Naona hapa Thomas Mlambo karudi Dstv kwenye Kombe la Dunia. Sijamuona kitambo sana.
  18. ANT DRUGS

    Ujuzi mdogo wahudumu wa DStv

    Wakuu bila shaka ukiacha wakazi wa Dar wengine wote MMEOGA. Kuna kitu kimenishangaza sana.Nililipia kifurushi Dstv lakini Channel hazikufunga ndani ya siku 9.Kila nikiwasha TV yangu nilipokea ujumbe huu THIS CHANELL IS BLOCKED BECAUSE IT MAY NOT BE PART OF YOUR PACKAGE (mwisho wa kunukuu)...
  19. D

    Tofauti na DSTV, king'amuzi gani kitaonesha FIFA world cupa 2022?

    Wakuu Nimekuwa nikitafuta kujua ni kingamuzi gani kitaonesha fifa world cup 2022 ili nikinunue kwa sasa na matumizi ya badae Dstv hapana, sababu sitaweza kumudu kile kifurushi kikubwa chenye epl na uefa hivyo kitakuwa pambo tu
  20. Area 56

    Wale tuliounganishwa na kifurushi cha DStv Business halafu wakatubadilikia tukutane hapa tujifariji

    Wiki chache zilizopita mawakala wa DStv walitushawishi tujiunge na Dstv business kwa kifurushi cha Work Essential ambacho tulikuwa tunalipa 28,000/= na kupata mechi za EPL, La Liga, Serie A, Europa League na mechi chache za Uefa Champions League. Sasa kumbe ulikuwa mtego, watu tukaunganishwa...
Back
Top Bottom